israel

  1. Israel yapiga kura na kukubali kusitisha mapigo kwa siku tano ili HAMAS waachie mateka 50

    HAMAS wameachiwa unafuu wa mapumziko ya kipigo kwa siku nne, nayo itaachia mateka 50 wa Israel na imeambiwa itaongezewa siku moja kwa kila ikiachia mateka kumi kwa siku, ila baada ya hapo kipondo kitaendelea, na pia hamna cha wafungwa kuachiwa kutoka kwa Israel. Pia haijaelezwa mateka wasio...
  2. Tujiandae na Vita ya Tatu ya Dunia

    Habari wakuu zangu, Kuna msemo unasema "Jela hakuna mateso ila wanao leta mateso jela ni wajelajela wenyewe." Hivyo hivyo duniani ni mahala salama, pana maji, vyakula ardhi nzuri, na vyote Mungu alitoa bure. Yaani ule bure, unywe bure, ujenge popote bure, uwinde bure, uvue samaki was baharini...
  3. FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
  4. Israel na Hamas zinakaribia kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kubadilishana mateka na wafungwa

    Wanaukumbi. Maafisa wa Hamas 'wanakaribia kufikia makubaliano ya mapatano' na Israel na kundi hilo limetoa majibu yake kwa wapatanishi wa Qatar, Ismail Haniyeh alisema katika taarifa. Taarifa hiyo haikutoa maelezo zaidi, lakini afisa wa Hamas aliiambia Televisheni ya Al Jazeera kwamba...
  5. Kwa haya maagizo ya Mungu juu ya Taifa la Israel (1 Samweli 15: 2-3) Kanisa halina budi kuomba

    Ndugu watu wa Jf amani ya Bwana ikae nanyi. Awali ya yote naomba ninukuu 1Samweli 15: 2 - 3 iwe ndio msingi wa mada yangu. 2 - Bwana wa majeshi asema hivi "Nimeyatia moyoni mwangu mambo hayo Amaleki waliyowatendea Israeli, jinsi walivyowapinga njiani, hapo walipopanda kutoka Misri." 3 - "Basi...
  6. Mazayuni wa Israel wasalimu amri na kukubali masharti yote ya Hamas ya kusitisha mapigano baada ya kuchezea kichapo jana na juzi

    Mazayuni wamechezea kichapo cha maana jana na juzi kutoka kwa Hamas, Hizbollah na Wayemeni kilichopelekea wao kukubali masharti yote ya Hamas ya kusimamisha mapigano. Ikumbukwe kuwa mpaka juzi, Wayahudi walikuwa hawataki kabisa kusikiliza yeyote duniani na kusema hawasimamisha mapigano mpaka...
  7. Ndugu wa mateka wapambana vikali na wabunge ndani ya Knesset nchini Israel

    Vita vikali vya maneno vimetokea kwenye bunge la knesset nchini Israel baina ya wabunge wahafidhina wa kiyahudi na makundi ya ndugu za mateka wanaokisiwa 247 walioko Gaza. Mapambano hayo yamesababisha kushindikana kupitishwa sheria ya kifo kwa wafungwa wa kiarabu walioko kwenye magereza ya...
  8. Saudia na Marekani wanaisaidia Israel kuua watoto na kuiangamiza Palestina

    Yako mataifa kadhaa ya kiarabu na mataifa ya kiislamau ambayo yameonekana kufanya uzembe katika vita vya Gaza.Hata hivyo taifa la Saudia linaongoza kwa kusaidiana na Marekani kuipa nguvu Israel iue na kuangamiza mpango wa kuundwa kwa taifa la Palestina. Iran iliahidi mstari mwekundu ukivukwa...
  9. B

    Israel anavyolazimisha tulishwe matango pori

    Hii dunia ni ngumu sana. Kwamba IDF inataka tuonyeshwe wanachotaka wao? Hii sasa si ndiyo ile ya mambo zetu na VPN na wale waheshimiwa wa pande za kwetu? Au zile mambo zetu na jamiiforums.co.tz badala ya jamiiforums.com? Kwamba IDF kaona mahandaki ya HAMAS hospitalini, ila tuonyeshwe tu vile...
  10. Meli ya Israel yatekwa Yemen

    Meli ya Israel imetekwa na Wapiganaji wa Houthi ikiwa na ma baharia wa Kijapani, hii imefuatia tangazo la hivi majuzi kuionya Israel kua meli zake zote zitalipuliwa zikikatisha Yemen [emoji779] [emoji1267][emoji1134]Israeli Ship Seizure Update Israeli media confirmed that Houthis attacked a...
  11. Israel yapoteza Wanajeshi wake 350 ndani ya siku mbili

    Video hiyo inaonyesha jeshi la Israel likikimbia na kupoteza wanajeshi wake wengi kutoka maeneo ya Gaza baada ya kupata uharibifu mkubwa wa rasilimali zao za mapigano, huku vifaru na magari ya kivita yakiharibiwa na wapiganaji wa Palestina. Licha ya kuingia katika maeneo mengi katika eneo la...
  12. Israel imeshaua wacheza muziki na mateka. Izuiwe kujichukulia sheria mkononi

    Ukweli umeanza kujulikana kuwa waliokufa kwenye tamasha la muziki eneo la Nova wengi wao waliuliwa na helikopta za Jeshi la Israel na sio wanamgambo wa Hamas. Kuhusiana na mateka wengi wao itakuwa wameshauliwa na Israel yenyewe na wachache wametoroka na wapiganaji wa Hamas. Msemaji wa jeshi la...
  13. Wanajeshi wa Israel wagundua miundo mbinu zaidi ya kigaidi chini ya hospitali ya Shifa

    Shughuli inaendelea na hakuna kitakachosazwa.... IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari says troops found additional underground infrastructure at Shifa Hospital today, and are still searching the complex for information on the hostages., “We continue to deepen our operational activity at Shifa...
  14. Israel haipigani tena na Hamas.Inaua watu kinyama.Dunia isimame kabla janga kuliko corona halijatokea.Tanzania kwa uchache iitishe maandamano kulaani

    Tuachane na vita vya Israel na Hamas.Hivi vita vimeisha na Israel haiwezi kuwapata Hamas wala mateka. Uchunguzi wa kitaalamu ukihusisha mizozo mengine ya kivita ya miaka ya karibuni unaonesha Hamas wameyeyuka kabisa na kilichobakia ni mahandaki na alama zao nyengine kuwa walikuwepo Uchunguzi...
  15. Mbona Israel hawajamtambua mateka wa Tanzania aliyekufa

    Taarifa zimezagaa kuwa mmoja wa mateka wawili wa kitanzania waliokuwa huko Gaza ameshafariki dunia.Mateka huyo anaitwa Clemence Felix Mtenga, mwenye umri wa miaka 22. Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa na Bbc Israel ilikubali kuwa kweli ameuwawa lakini katika orodha za waliotajwa kufa tayari...
  16. Kuuliwa kwa Kevin Darwin, colonel wa MOSSAD mwenye shabaha kumeihuzunisha Israel yote. Alipelekwa Gaza kuwasaka viongozi wa Hamas

    Kuna baadhi ya watu wamepata dhana kuwa vita vinakaribia mwisho Gaza, kumbe ndio kwanza viko katikati ya safari. Kifo cha Colonel Kevin Darwin hapo juzi huko Gaza kumeleta huzuni kubwa mjini Tel Aviv na Israel yote.Afisa huyo muhimu wa Mossad amepewa jina la sifa kama black mamba kutokana na...
  17. BBC inathibitisha kuwa ISRAEL inaweka silaha katika majengo ya raia!

    Wanaukumbi. Naona vyombo vya habari ambavyo vilikuwa vinasambaza propaganda za Israel vimeona vinakwenda kuabika mbele ya dunia kwenye hili sakata la SHIFA HOSPITAL BBC, FOX NEWS waliogozana na Jeshi la Israel hadi Hospital lakini wakapewa masharti sehemu za kufika na kuchukua picha...
  18. Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

    Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa masikitiko na huzuni imetangaza kifo cha Clemence Felix Mtenga, Kijana Mtanzania ambaye ni miongoni mwa Watanzania wawili ambao pamoja na raia wa Mataifa mengine walikuwa hawajulikani walipo tangu...
  19. B

    Aibu: Israel na ushahidi wa mchongo Gaza

    Ni aibu kubwa kwa taifa kama Israel kuwa waongo waongo hivi: 1. Hadi sasa wameshindwa kuthibitisha HAMAS kutumia vituo vya hospitali kwa vita. ==> Hapa wametengeneza hadi clips za manesi fake tokea kwenye ile kambi pendwa ya wale wasiojulikana. 2. Wamejielekeza kuonesha dunia kuwa watoto wao...
  20. N

    Usipuuze uwezo wa Medani wa Jeshi na watu wa Israel

    Hakuna kitu kinatisha kwenye historia na maisha yote ya binadamu kama vita, ukiingia kwenye vita ya mtu mmoja mkatwangana mangumi lazima kuna mmoja au wote mtatoka mmeumia. Kushinda ndani ya uwanja wa medani katikati ya mapigo ya moto sio hadithi ni kitu kinatisha sana. Katika kitu kinanivutia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…