Leo nimeona Magari Magari kweli kweli ya jeshi la Polisi ni magari imara sana kukabiliana na Uhalifu.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya aina ya Robur Armored TLC300 kama mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.
Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo Kamanda wa...
Wakiasi dhidi ya Waziri Mkuu, MKs walipitisha usomaji wa awali wa mswada wa upanuzi wa Ukanda wa Magharibi
Kikao katika ukumbi wa kusanyiko wa Knesset huko Jerusalem mnamo Oktoba 22, 2025 (Chaim Goldberg/Flash90)
Katika hali ya aibu kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, wabunge wa mrengo wa...
BREAKING: Ujerumani imesaini mkataba wa kombora wa Euro BILIONI 2 na Israel.
Wakati wengine wakikabiliwa la kuitenga Israel, Ujerumani inanunua makombora ya Spike ya RAFAEL kwa idadi kubwa. Ulaya inahitaji teknolojia ya ulinzi ya Israel.
ISRAEL YAZINDUA MFUMO MPYA WA KOMBORA LINAONGOZWA NA LASER 🇮🇱
Kutana na LAHAT ALPHA, kombora hilo ni Game-Changer ambalo hufunga shabaha kutoka umbali wa zaidi ya KM 20. Hawezi kuliona wakati linasafiri. Halihitaji GPS kujenga Shabaka . wewe Eleza tu, laser, na kombola linaendelea kuharibu...
Habari ndio hio Ayatollah Ali Khomen baba lao, anasema Rais wa marekani Trump alienda israel ili ku raise morales zao sababu zipo chini sana baada ya kipigo walicho pokea tokea Iran, sababu tuliwapiga kwenye mishono kabisa
https://youtu.be/rQUxgNIqK4I?si=DCx0a1ZAmEPUrVwy
Huwa nawashangaa sana watu wanaosema Israel inapiga vita, Israel haipigani vita huwa inajilinda, wanaopiga vita ni kina Iran na vikundi vyake.
Israel wana deal na targets kubwa zaidi kama wakuu wa jeshi wa Iran, Houthi, Hezbollah, na vikundi vingine kibao na hata manaibu wakuu wa majeshi, wakuu...
Rais wa Lebanon Joseph Aoun anachapisha kwenye ukurasa wake rasmi maudhui ya hotuba ya Mbunge wa Lebanon Alain Aoun (mpwa wa Rais wa zamani Michel Aoun):
Wakati umefika wa kumaliza mzozo na Israeli na kuelekea kwenye utulivu na ustawi
Onyo la picha!
Mara tu baada ya kutangazwa kusitishwa kwa mapigano huko Gaza, Hamas walichukua wanaume 8 ambao waliwashuku kushirikiana na Israel bila kuwa pele ka Mashaka ani wakawafunga vitambaa usoni na kuwapiga risasi mbele ya umati mkubwa wa "raia wasio na hatia" waliokuwa wakishangilia...
Magaidi wa Hamas kama ilivyo kawaida yao wamevunja makubaliano kwa kuleta Maiti za watu 3 na mzoga wa mpalestina mmoja kitu ambacho ni utovu wa nidham
Kwenye makubaliano ilitakiwq waachilie Maiti za wayahudi 28 waliowateka Oct 07,203 cha ajabu jana walileta maiti 4 tu kinyume na makubaliano na...
Baada kichapo kikali kwa magaidi wa Hezboullah Rais wa Lebanon, Joseph Aoun, alisema: 'Lazima tujadiliane na Israel, Beirut haiwezi kwenda kinyume na mwelekeo wa sasa ambapo Mashariki ya Kati inaelekea'
=====================
You can share an article by clicking on the share icons at the top...
Wananchi wa Palestina, unaweza kusema, ni watu wenye bahati mbaya sana, na kwamba kwao kitu amani, ni jambo litaendelea kuwa gumu kwao.
Wapalestina maelfu wasiokuwa na hatia wameuawa, kutiwa ulemavu, na kupitia mateso mbalimbali kutokana na operation za kijeshi za Israel zilizosababishwa na...
BREAKING NEWS: Rais wa Indonesia anatarajia kuitembelea Israel kesho, vyombo vya habari vya Israel vinaripoti.
Natumaini hili litatokea. Wakati wa kufanya amani. 🇮🇱🇮🇩
Shirika la Habari la BBC imeripoti kuwa Mateka saba wa kwanza wa Israel walioshikiliwa na Kundi la Hamas huko Gaza wameachiliwa leo na wako chini ya uangalizi wa Shirika la Msalaba Mwekundu (ICRC), tayari kukabidhiwa kwa jeshi la Israel (IDF), jeshi hilo limethibitisha
Taarifa za kuachiliwa...
Wanaukumbi.
Preparations underway for exchange of Israeli captives, Palestinian abductees under Gaza ceasefire..
===
Maandalizi yanaendelea kwa ajili ya kubadilishana mateka wa Israel, watekwa nyara wa Kipalestina chini ya usitishaji vita wa Gaza...
Magaidi wenye damu za watu mikononi mwao wakiandaliwa kuachiwq huru kutoka magereza ya Israel walikokuwa wamefungwa kwa mauaji ya watu wasio na hatia.
Waangalie walivyo na afya nzuri kinyume na mateka wa Israel watakao achiwq na magaidi hao!!
Wakati mwingine tunapigwa changa kwa kujazwa ujinga.
Israel inaaminika iko juu kiuslama na kijeshi. Je ilikuwaje ikashindwa kuwaokoa mateka wake kwenye eneo dogo kama hili tena lisilo na nchi wala jeshi?
Wazungu wamejua kututenda kwa kutujaza ujinga na woga.
Spika wa bunge la Israel Knesset amemwalika rasmi rais Trump kuhutubia bunge la Knesset.
"Ni heshima yangu kuu na pendeleo kubwa kualika rasmi rafiki mkubwa na mshirika wa Wayahudi katika historia ya kisasa."