israel

  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Gustavo Petro, Rais wa Colombia ashangaa kuona mataifa makubwa ya kidemokrasia yakishindwa kuizuia Israel kuua watu Gaza

    Raisi Gustavo Petro ameonesha kutoamini kinachoendelea Gaza mbele ya mataifa makubwa yanayojinadi kusimamia utawala bora wa kidemokrasia. Hata hivyo mbele ya mshangao wake raisi huyo alipata jawabu kwa kusema,hayo yanayotokea ni kutokana na kuwa wamiliki wengi wa mabenki na taasisi za kifedha...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Misri na Israel waanza kupigana Rafah. Askari wa Misri afa

    Kumetokea urushianaji wa risasi baina ya vikosi vya Israel na vile vya Misri vilivyo upande wa pili wa mpaka eneo la Rafah ambapo askari kadhaa wa Misri wamejeuhiwa na mmoja kati yao kufa. Tayari kuna mazungumzo ya kupunguza hamasa za kivita huku kila upande ukisema unafanya uchunguzi kujua...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas wateka askari wapya wa Israel ndani ya Gaza.Mateka wa zamani baadhi wapatikana wakiwa wamekufa.

    Abu Ubaida,yule msemaji machachari wa Hamas ametoa video ikionesha askari kadhaa wa Israel waliotekwa nyara baada ya wenzao kufa na wengine kujeruhiwa. Kwa mujibu wa Abu Ubaida tukio hilo lilitokea ndani ya kambi ya Jabalia kaskazini ya jiji la Gaza ambayo kwa wiki kadhaa imekuwa kitovu cha vita...
  4. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Israel imefanikiwa kupata miili Mingine mitatu ya mateka waliouwawa na Kushikiliwa Mateka tokea October 7, 2023

    Bodies of 3 hostages recovered from Gaza IDF, Shin Bet, locate and recover bodies of Michel Nisenbaum, Hanan Yablonka, and Orion Hernandez Radoux, who were murdered on October 7. The bodies of three, hostages Hanan Yablonka, Michel Nisenbaum, and Orion Hernandez Radoux, were rescued overnight...
  5. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) yaagiza Israel kukomesha mara moja ushambuliaji wa kijeshi huko Rafah

    Wanaukumbi. Kwa Upendeleo: 13 Dhidi ya: 2 Mahakama ya kimataifa ya uhalifu pia ilitoa kauli zifuatazo: ✅ Mahakama inabainisha kuwa hali ya kibinadamu huko Rafah ni janga baada ya wiki za mashambulizi ya mabomu. ✅ Mahakama inakumbuka kwamba hali ya maisha ya wakazi wa Ukanda wa Gaza imezorota...
  6. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israel ilitangaza kuwa kamanda wa ngazi ya juu Asaf Hamami amefariki na kumfanyia mazishi ya jeneza tupu, Hamas waonyesha video yupo hai

    Wanaukumbi. Serikali ya Israel ilitangaza kuwa kamanda wa ngazi ya juu Asaf Hamami amefariki na kumfanyia mazishi ya jeneza tupu. Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mkewe Sara, walifanya ziara ya rambirambi kwa familia ya Kanali Asaf Hamami, kamanda wa Brigedi ya Kusini huko Gaza, iliyoanguka...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Israel ni taifa teule na hata Quran imekiri hivyo, baadhi ya upendeleo kwa macho yetu tunauona

    QURAN Allah alichagua manabii wengi (sio wote) wayahudi akiwemo Musa, licha ya wayahudi kuwaua mara kadhaa, Allah aliendelea kuchagua wayahudi, upendeleo huu sio bure una sababu zake. Allah aliwaokoa utumwani wakiwa misri, Farao alikuwa na kiburi lakini Allah alimpa mitihani migumu mpaka...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Tunaposema Israel ya wayahudi ni taifa teule tuwe tunaelewana kwa facts, Hata Quran imekiri Allah kuwapa upendeleo wayahudi

    moved
  9. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Machafuko ya middle east na uchokozi wa Israel ni wazi kuwa inataka kutengenezwa vita ya 3

    Hakuna asiyefahamu kuwa Bara la Asia ndiye tajiri mkubwa wa imani za kidini takribani asilimia 60 ya dini zimetoka katika bara la Asia niwazi kuwa ndiyo bara lenye ustaarabu mdogo kuliko mabara mengine hapa duniani,na kwasababu hizi imetengenezwa mfumo wa dini ili kuzitawala akili mbovu za hawa...
  10. data

    JamiiForums Tanzania Biden kasimama na Israel na kuipinga ICC.. Inatisha.

    https://www.axios.com/2024/05/20/biden-reaction-netanyahu-arrest-warrants-gaza
  11. I

    JamiiForums Tanzania Israel yasikitishwa na muendesha mashtaka wa ICC

    Waziri Mkuu Bibi, katika kauli thabiti na pasipokupepesa macho ametoka hadharani kulaani kile alichokiita makosa makubwa ya Muendesha Mashtaka wa ICC. Netanyahu anasema Israel itajilinda na Israel hii ya leo si ile ya enzi za Manazi wa Ujerumani. My take: Je, Muendesha Mashtaka wa ICC amechoka...
  12. ward41

    JamiiForums Tanzania TUSIAKUZE MAMBO, WA ISRAEL NI WA KAWAIDA

    Kuna watu wanawakuza wa Israel kana kwamba wana uwezo watisha Sana. Jibu ni hapana. Wa Israel ni wakawaida. Hawana utofauti na jamii nyingine. Wana akili kama binadamu yeyote au kama wewe. Hawana kitu cha ziada. Kinachowawafanya Wa Israel wa survive ni maombi ya wa kristo duniani. Ukweli ni...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Arrest Warrant ya ICC ni ya Kipuuzi hakuna hapa Duniani mwenye Ubavu wa Kumkamata Israel Premier Netanyahu na Ole wao Wathubutu watakiona cha Moto

    Yaani kabisa uhusike katika Kulihujumu Taifa Teule na Mungu Israel halafu eti LAANA yake Mwenyezi Mungu isikupate?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mwendesha Mashkata wa ICC aomba Hati ya Kukamatwa kwa Netanyahu na Waziri wake wa ulinzi kwa uhalifu wa kivita huko Palestine

    Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa uhalifu wa kivita. Mwendesha mashtaka, Karim Khan KC alisema kuna sababu za msingi za kuamini kwamba...
  15. X

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya hewa. Wengine waliokuwa kwenye helicopter hiyo ni pamoja na Governor wa East Azarbaijan, Ayatollah...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

    Tunaona taarifa na mjadala kuhusu ajali ya helkopta inayodaiwa ilimbeba Rais wa Iran. Ikumbukwe siku chache Iran ilivamia Israel kwa makombora /ndege zisizo na rubani na Israel waliahidi kulipiza kisasi. Je, ni kweli majasusi wa Israel wameweza kuingia kwenye mifumo ya mawasiliano ya Iran? Je...
  17. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Hivi ule Mpango wa Israel kujaza maji kwenye mahandaki kule Gaza uliishia wapi?

    Mwanzo kulikua na huo mpango wa kujaza maji kwenye mahandaki wanayoishi Hamas ( kwa mujibu wa IDF) je ule mpango uli fail? Hii nchi kwa sasa jamani inahitaji maombi kila mtu lwa imani yake maana Viongozi wanagombana kila kukicha Serikali imeparaganyika Waziri Mkuu Netanyahu kajifungia ndani...
  18. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israel inaingia katika hali mbaya ya kisiasa, Netanyahu hatakiwi

    Wanaukumbi. BREAKING: 🇮🇱 Israel inaingia katika hali mbaya ya kisiasa Kiongozi wa Upinzani wa Israel Gantz atoa kauli ya mwisho kwa Netenyahu kuhusu vita vya Gaza: "Lazima uchague kati ya ushindi na maafa. Ifikapo Juni 8, mpango wa utekelezaji wa kuendeleza vita lazima uwasilishwe, ikiwa...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Breaking Kiongozi Mkuu wa kigaidi auawa huko Rafah na Jeshi la Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Israel imemuua Kiongozi Mkuu wa kundi la kigaidi la Islamic Jihad Katika operesheni ya kijeshi huko Rafah Kiongozi huyo mkubwa wa magaidi anaenda kwa jina la Islam Khamayseh alikuwa anasakwa na IDF Kwa muda mrefu kwa mauaji aliyofanya Mungu ibariki Israel IDF kills...
  20. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Israel yalalamika Hezbollah kupokea Mitambo ya ulinzi wa Anga (Air defense) kutoka Iran

    Katika hali ya kishangaza sana na kuuchekesha Ulimwengu taifa la mchongo Israeli leo limetoa taarifa kuwa wanamgambo wa Hezbollah kutoka nchi ya Lebanon 🇱🇧 wamepokea mitambo ya ulinzi wa anga kutoka Iran ( hii ni kweli ). Na kuelezea masikitiko yao kuwa dunia ipige kelele kitendo hicho...
Back
Top Bottom