QURAN
Allah alichagua manabii wengi (sio wote) wayahudi akiwemo Musa, licha ya wayahudi kuwaua mara kadhaa, Allah aliendelea kuchagua wayahudi, upendeleo huu sio bure una sababu zake.
Allah aliwaokoa utumwani wakiwa misri, Farao alikuwa na kiburi lakini Allah alimpa mitihani migumu mpaka kulazimika awaachie
Allah alifanya njia baharini kuwe na nchi kavu waweze kuvuka
Hata baada ya Allah kuwaoyesha ushahidi kwamba yeye ndie Mungu wao, wapo walioabudu ndama lakini Allah aliwasamehe
Kwa miaka 40 Allah aliwakinga na joto kali jangwani kwa kuweka mawingu wapate kivuli
Allah aliweza kuwapa maji wakiwa jangwani kwa kugeuza mawe yawe maji
akili za ziada na utajiri -

- Marekani nchi yenye mbilionea wengi wa mataifa mbalimbali, Wayahudi ndio wanaongoza kwa kuwa na mabilionea wengi licha ya kuwa asilimia 2 tu ya wamarekani
- wana utamaduni wa kujali na kuipenda elimu tangu zamani, katika kila wayahudi 10, sita wana degree.
- Israel ni nchi ndogo ila imeaminiwa na Makampuni maarufu ya teknolojia takribani 350 kuweka ofisi zao Israel maalum kwajili ya ugunduzi na uendelezaji wa Teknolojia. mifano ni Google, Microsoft, Apple, Intel, Ibm, Nvidia, Amazon, Oracle, n.k.
- Israel ni nchi ndogo inayoongoza kwa mrundikano wa tech startups / vituo vya kubuni teknolojia, hizi start up huwa zinawaingizia pesa kibao, start up moja inauzwa mpaka trilioni 10.
- Himaya kubwa ya Roman Empire yenye makao makuu ulaya ilivamia Israel na kuwapeleka wayahudi utumwani ulaya, hata huko ulaya waliweza kufanikiwa kuwa matajiri wakubwa licha ya kunyimwa ardhi.
- Noble Prizes nyingi zaidi ni za wayahudi