israel

  1. B

    JamiiForums Tanzania Je, wanachi wa Israel Wanagoma kwenda vitani?

    Taarifa katika vyombo vya habari Israel zinasema Israel inataka kupitisha sheria ya kuwataka wananchi wote wa Isarael kujiunga jeshini iliwaende vitani kwani askari wengi aidha wanaumwa au hawataki kuendelea na vita dhidi ya Wapelestina. Kumetokea mvutano kweny bunge kwa baadhi ya vyama kupinga...
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hezbollah imekataa mazungumzo yoyote na Israel wataka vita waache kuwaonea raia wa Gaza

    Wamakumbi. BREAKING: 🇱🇧🇮🇱 Hezbollah imekataa mazungumzo yoyote na Israel. Vita vya kiwango kamili ni hakika zaidi Mjumbe Maalum wa Marekani, Amos Hochstein, anatangaza kwamba juhudi za kidiplomasia za kutuliza mivutano kati ya Israel na Hezbollah zimeshindwa rasmi, kwani Hezbollah...
  3. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa Hesboullah mbona Israel kama anawaogopa kuliko Iran?

    Siku ninavyoenda naona kama wanazidi kupata nguvu. Nimeona wamepost video ya drone iliyokusanya maeneo yote umya kimkakati ya Israel ikiwemo vyanzo vya maji. Satellite immage ikionyesha mameli katika bandari ya haifa, ambayo hadi sasa live yako vilevile. Nomeona wamepiga picha za kambi za...
  4. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Hezbollah: Hakuna sehemu itabaki salama ndani ya Israel

    Nasrallah ameipa onyo Israel kuhusu vita inayotazamiwa kutokea baina ya Lebanon na Israel, lakini pia Hezbollah imetoa onyo kwa nchi ya Cyprus endapo itakubali kutumiwa na Israel katika vita hivyo. Inaonekana Hezbollah hawatanii, Israel ana kazi kubwa ya kufanya hapo mashariki ya kati...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Alichosema Netanyahu ni sawa na anayosema Zelensky na ni kukiri kuwa Israel haiwezi tena kupigana na Hizbullah.

    Hapo jana Benjamin Netanyahu,waziri mkuu wa Israel amemlalamikia raisi Biden wa Marekani kwamba amezuia shehena ya silaha tangu mwezi Mei na hiyo ndiyo sababu ya kudorora kuipiga Rafah ili kufikia malengo. Kwenye video fupi ya malalamiko hayo Netanyahu amejipa moyo kwamba katika ziara ya karibu...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel imepiga mabomu mpaka hatimaye wameanza kulalamika kuishiwa na mabomu

    Maajabu ya dunia yako mengi na kila siku huwa yanaongezeka.Ipo haja hiki walichofanya Hamas nacho kikaingizwa kwenye maajabu hayo. Mmoja ya mateka 4 waliookolewa wiki iliyopita maeneo ya Nusreita huko Gaza amepeleka salamu mbaya kwa waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu.Salamu hizo...
  7. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Netanyahu aulalamikia Utawala wa Biden kwa kuchelewesha kutuma msaada wa silaha za kivita

    Jamaa bila aibu ameanza kulialia kwenye media kama mwenzake Zelensky akiilalamikia marekani kuchelewesha kutuma silaha za kivita israeli. Hakika mazayuni ni mazayuni. ======== Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu slammed the Biden administration for withholding military aid in a video...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Mtaalam mkuu wa mizinga ya rocket ya Hezbollah auawa na Israel

    Mabkira wanaendelea kuisha kule akhera --- The Israel Defense Forces killed a senior member of Hezbollah’s rocket unit in a drone strike in southern Lebanon Monday morning, as a top Biden administration official was in Jerusalem for meetings with Israeli leaders aimed at preventing further...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzani wa Israel ataka kuuzuliwa Netanyahu

    Kinara wa upinzani wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema wakati umefika wa kuiangusha serikali ya utawala huo inayoongozwa na Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu. Yair Lapid amesema hayo na kuongeza kuwa, utawala wa Netanyahu unapasa kuangushwa kwa namna unavyoendeshwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kambi ya kijeshi ya Israel yateketea kwa moto baada ya kushambuliwa na HAMAS

    Duru za habari zimetangaza kuwa, kambi moja ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni karibu na Ukanda wa Ghaza imeteketea kwa moto baada ya kushambuliwa na wanamapambano wa Izzuddin al Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS. Kwa mujibu wa...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Palestine Islamic Jihad kupeleka wapiganaji Lebanon kuongeza nguvu iwapo Israel itatangaza vita vya wazi na Hizbullah

    Kuishi kwa uhasama na jirani zako au kwa kuonesha kwamba wewe ni mbabe daima kuna madhara makubwa. Na hapa ndicho ninachopenda kukitolea taarifa kufuatia tangazo la kundi la Palestine Islamic Jihad (PIJ) kusema limeazimia kupeleka wapiganaji nchini Lebanon kupitia tawi lake la Syria ili...
  12. Kapepo

    JamiiForums Tanzania Israel achoma Hezbollah

    Israel akitembeza kichapo kizito kwenda kwa Hesbollah kwa kutumia style zile za kizamani 😂😂😂 source aljazerra
  13. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania Na Ukristo wangu huu ninaichukia the so called Israel hadi natetemeka

    Ninajua Wapalestina sio wakazi halisi wa ile ardhi hilo linafahamika ila shida ni hawa wazungu wa Ulaya ya Mashariki na Kaskazini kujifanya wao ndo Waisraeli na kuwauza wenzao ilhali wamewakuta pale. Eti wanajinasibu wao ndo wazawa wa ardhi ile kisa wanaongea Kiebrania na kutenda tamaduni za...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hizbullah waanza kuzipiga ndege za Israel

    Kwa mara ya mwanzo vikosi vya Hizbullah nchini Lebanon vimetoa tangazo la kuzirushia makombora ndege za kivita za Israel na kuzilazimisha kurudi zilikotoka. Kufuatana na taarifa ya aljazeera makombora ya kusaka ndege kutoka ardhini kwenda hewani yametumika kuzilenga ndege hizo ikiwa ni siku...
  15. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hamas wamekubali pendekezo la Israel la kusitisha vita na kuondoa majeshi yote Gaza na kubadilshana wafungwa

    Wanaukumbi. 🚨 HAMAS ILITUMA MAJIBU KUHUSU PENDEKEZO LA KUSITISHA MAPIGANO KWA WAPATANISHI PAMOJA NA MABADILIKO. Haniyeh na Nakhaleh walikabidhi majibu ya pendekezo la "israeli" la kusitisha mapigano kwa Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar. Majibu ambayo yalikabidhiwa ni pamoja na...
  16. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Mlipuko kwenye gari Israel waua watatu ikidaiwa ni Iran

    Vyombo vya habari vya Israel vinachambua hili kuwa hii huenda ni mauaji ya kisiasa na ya kulipa kisasi. Inadaiwa ni Iran keshafanya yake. BREAKING 3 Israelis died in a car explosion in Ashkelon, Israeli media talks about assassination Iran imekua na majasusi wengi sana ndani ya mifumo ya...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi unaendelea kufuatia taarifa kuwa Houthi wameanza ushirikano na Al Shabaab kupambana na Israel

    Hali inazidi kuwa tete katika mashariki ya kati na kwa Israel kufuatia taarifa kwamba wapiganaji wa Houthi wameanza mazungumzo ya kuwapatia wanamgambo wa Alshabaab silaha kama walizonazo wao ili kuongeza nguvu katika vita vya meli zinazopita bahari zilizo karibu nao zenye uhusiano na Israel na...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Shida iliyopata Israel kuokoa mateka wanne hawatajaribu tena. Ndio imewatia nguvu Hamas na raia wa kawaida kupambana zaidi

    Taarifa zaidi za operesheni ya kuokoa mateka 4 wa Israel zimezidi kutoka na kuonesha ilikuwa ni shughuli mbaya ya uokoaji iliyosababisha vifo vya watu 274. Wengi wao walikuwa ni wanawake na watoto na hata kama kulikuwa na Hamas kadhaa tukio hilo limelaaniwa na mataifa kadhaa na kuliona...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Hezbollah inavyoitembezea kichapo Israel kimyakimya

    Siongei sana. Sina maneno mengi! Video yenyewe iliyosheheni operation za Hezbollah inajisemea. Tazama! https://m.youtube.com/watch?v=JpONxjW0X9Q
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Kwa kupoteza hao mateka wanne, HAMAS hawatapata wafungwa 200 kutoka Israel

    Masharti ya HAMAS yalikua kwamba kwa kila mateka waliyemshikilia, watamuachia iwapo watapewa magaidi wao 50 walio kwenye magereza ya Israel, sasa hapo wamepoteza wafungwa wanne, hiyo ina maana magaidi 200 wataendelea kuozea Israel. Mpaka leo sijakaa nielewe faida gani HAMAS walikusudia kwenye...
Back
Top Bottom