israel

  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Spain yazuia meli ya silaha zinazokwenda Israel kutia nanga nchini mwake.

    Hapo majuzi taifa la Spain liliizuia meli iitwayo Marianne Danica kutia nanga kwenye moja ya bandari zake kwa vile ilikuwa imebeba tani 26.8 ya silaha za miripuko kupeleka Israel. Meli hiyo ilikuwa ikitokea India na iliomba kutia nanga kwenye bandari ya Cartagena mnamo Mei 26. Waziri wa mambo ya...
  2. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Mateka watatu wa Israel wakutwa wamekufa aibu kwa mashabiki wa Hamas na Ugaidi kwa Ujumla kazi inaendelea

    Jeshi la IDF linaendelea na Kazi ya kutafuta Mateka kila kona ya mji wa Rafah.. mwendo ni kata funua hadi kieleweke. Masikitiko sana kupata Mateka wakiwa hai.. South Africa na Uturuki wanaona aibu tu na watakuja kujutia upumbavu wao. Aljazeera wagoma kuandika Habari. hahaha Msemaji wa IDF...
  3. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Ninachokiona kwa Israel ni kuchanganyikiwa na vita!

    Kwa mtazamo wangu bila kwenda mbali, nikwamba Islael kashindwa vita! alichobaki nacho ni War Madness!. Amebaki kupiga huko na huku akiua watu wasiyo na hatia akidhani anawaua watesi wake, kitu ambacho siyo! Mji wa mwisho kuuteketeza utakuwa ni Rafah, lakini nako ataambulia patupu na mateka...
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Huku jeshi la Israel likijaribu kuingia Rafah wapiganaji wa Hamas wameibuka maeneo mengine mengi ya Gaza.

    Kwa ukaidi wa hali ya juu jeshi la Israel limesema litaingia Rafah ili kuwamaliza Hamas.Hata hivyo vijana wa Hamas wameonekana kujikushanya maeneo mengine mengi ya Gaza wakitoa upinzani mkali kwa jeshi hilo. Miongoni mwa maeneo yaliyolazimisha Israel kupeleka vikosi vyenye zana nzito ni pamoja...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Israel kutokushinda vita ni kujipiga yenyewe kwa asilimia 40 kutokana na woga

    Huku vita kati ya Hamas na Israel vikikaribia kuvuka miezi 7 siri zaidi za udhaifu wa jeshi la Israel zinaendelea kufichuka. Pamoja na kusifiwa kwa ubora wa vifaa na ukubwa wa jeshi la Israel imeelezwa kuwa jeshi hilo limekuwa likijitia hasara kubwa kwa kuua askari wake na kuangusha droni zake...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania UAE yaitaka Israel ikome kuwahusisha na kile wanachokiita kuitawala Gaza baada ya vita

    Waziri mkuu wa falme za kiarabu,Abdullah bin Zayed amemshushua waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu kwa kauli yake aliyoitoa hivi karibu kwamba nchi ya UAE, Saudi Arabia na mataifa mengine ya kiarabu yatasaidia kuiendesha Gaza baada ya vita. Waziri huyo kwanza amemtaka Netanyahu kutambua...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mjukuu wa Mandela: Babu angekuwapo angewaunga mkono HAMAS na Wapalestina dhidi ya Israel!

    1. Huu ndiyo ulio ukweli mchungu wenye kuakisiwa vyema nyuma ya jitihada zote za Afrika Kusini hadi ICJ huko dhidi ya Israel. 2. Kwamba kuna mpenda haki wapi kwetu aliyebakia CCM, CHADEMA, ACT, UDSM au wapi wa aina ya mjukuu huyu wa Mandela? 3. Kwamba nani anaweza kuthubutu kwa na hakika...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas watekeleza ahadi yao kuwa uvamizi wa Rafah hautakuwa kama piknik kwa jeshi la Israel

    Mbinu za hali ya juu zinazotumiwa na wapiganaji wa Hamas kupambana na askari wa Israel wanaoelekea kuivamia Rafah,zimeelezwa na wachambuzi wa kuvita kuwa wapiganji hao bado wamejipanga kuendelea na mapigano na hawajakata tamaa ya kupata ushindi japo wamezingirwa na wanapambana na jeshi lenye...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Saudi Arabia kukamata kila atakayeikosoa Israel

    Wenye dini yao wamebadilisha mkondo na kukubali kustaarabika, vipi ndugu zetu Waswahili mbona mnashupaza shingo.... Saudi Arabia is arresting individuals criticizing the Israeli occupation over its genocidal war on Gaza on social media platforms as normalization talks reach an advanced stage...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Vita vya Palestine na Israel ni vita ya kugombania Ardhi na mipaka yao kwa miaka maelfu Kabla ya ukristo na uislam, ni ujinga kudhani nivita ya kidini

    Wakuu kwa kifupi Vita ya Israel na Palestine ni ya Karne nyingi zilizopita kabla ya ukristo na dini nyingine Na kinachagombaniwa siku zote ni maslahi ya hayo mataifa mawili Na historia inaonyesha Kuna kipindi Israel inapigwa na kutaliwa na Palestine haswa pale wanapomwasi Mungu wao Na pia Kuna...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Israel ilisharidhia kama HAMAS, haya mengine ni siasa Natenyahu apate pa kufichia uso!

    1. Wengine husema siasa ni mchezo mchafu na hasa maelfu ya maisha ya watu yanapopotea kwa ubinafsi yaani ego ya mtu, labda hata ni mmoja tu! 2. Kutokea meza ya mazumgumzo Cairo, yasemekana Natenyahu kumbe alishafika bei kwa kutaka au kushurutishwa. 3. Kwamba tulipo, tuko kwenye tutoke...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Vifaru vya Israel vimeanza kuingia Rafah

    Mlionywa kufuga magaidi, haya... Israeli tanks have rolled into Rafah. What does this mean for the Palestinians sheltering there? ERUSALEM (AP) — The Israeli tanks that entered the periphery of Rafah early Tuesday stoked global fears that an offensive on Gaza’s southernmost city could endanger...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo Hamas waliyokubali ili vita visimame.Na kama Israel itayakataa basi bora vita viendelee

    Msemaji wa Hamas,Osama bin Hamdan alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini Beirut jana Jumanne, amesema iwapo Israel itaendelea kutoyazingatia mambo hayo na kuendelea na kuivamia Rafah basi hakuna namna nyengine ila ni kuendeleza vita. Walichokubali Hamas ni : 1 .Kuwepo usitishwaji...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ukigeu geu wa Israel kuelekea makubaliano ya kusimamisha vita, kikwazo kwa Amani Gaza!

    1. Yamekuwapo mazungumzo kwa azimio thabiti la makubaliano ya kusimamisha vita linaloendelea kujadiliwa kwa takribani miezi 2 sasa. Pendekezo hili likiwekwa mezani na Marekani, Qatar na Egypt kwa pamoja mbele ya HAMAS na Israel, mahasimu; wafikie makubaliano sasa. HAMAS wayakataa mapumziko...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Israel imeuchukua mpaka wa Rafah unaounganisha Misri na Gaza, Mizigo na watu kuvushwa chini ya uangalizi na idhini ya Israel

    Kwa lugha nyepesi ni kwamba misaada, watu na vinginevyo haviwezi kuingia moja kwa moja Gaza mpakani Rafah bila ukaguzi na idhini ya Israel. Jeshi la Israel limechukua udhibiti wa mpaka wa Rafah na Misri. Jana usiku, kwa idhini ya Baraza la Vita, Netanyahu aliagiza ifanyike operesheni huko...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kwa Israel kukishikilia kituo cha mpaka cha Rafah ndio imekamilisha kampeni yake ya kutumia chakula kama silaha ya vita

    Alfajiri ya kuamkia leo jeshi la Israel kwa kutumia vifaru na mashambulizi ya anga wamefanikiwa kufikia kituo cha mpaka wa Gaza na Misri na kukishikilia kituo hicho kutokea upande wa Gaza. Mara baada ya kufanikiwa kukishika kituo hicho jeshi la Israel limezuia uingizwaji wa misaada ndani ya...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Vita ya Israel na Hamas imeua Wapalestina 34,789 hadi sasa

    🚨 Israeli forces killed at least 54 more Palestinians and injured 96 others over last 24 hours in Gaza 💢 At least 34,789 Palestinians killed, mostly women and children, and 78,204 injured in Israeli onslaught on Gaza since Oct. 7 At least 34,789 Palestinians have so far been killed in...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Maridhiano kusimamisha vita, Israel yajikuta njia panda!

    1. Haipo shaka vita au mazungumzo ya maridhiano kama ilivyo siasa, nayo ni sayansi. 2. Izingatiwe sayansi siyo ya kila mtu, labda arts huko. Sayansi ya maridhiano, vita au siasa; huingii kichwa kichwa. 3. Tambo mbali mbali kwenye sayansi hii ndiyo kwao. Kisemwacho hadharani si lazima kuwa kile...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas wameibamiza Israel kwenye kona baada ya kukubali kusitisha vita na kuachia mateka. Netanyahu alaumiwa na kila mtu

    Hamas imetoa tangazo rasmi la kukubali mapendekezo ya kusitisha vita na kuachia baadhi ya madai yao. Tangazo hilo limeleta furaha kubwa kwa watu wa Gaza na hata Israel japo limekuja huku Israel imeshatoa tangazo la kuhamisha watu mashariki ya Rafah tayari kurudia mashambulizi yale ya nguvu...
  20. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Yemen watangaza Kufunga Mediterranean Sea kwa meli yeyote inayoelekea Israel

    Hii ndo habari mpasuko kwa wale jamaa zetu wa Houth kutoka Yemen baada ya kufanikiwa kwa zaidi ya 100% kufunga bahari nyekundu (red sea) kwa meli kuelekea Israel sasa wamekuja na operation mpya. Safari hii wamesema meli zote bila kujali ni ya nchi gani ni marufuku kupita Mediterranean Sea...
Back
Top Bottom