Maoni yangu hii vita haitatokea. The fact kwamba wahasimu hawa wawili, wakiwashirikisha Super Power walio upande wao wamefikia hata kuzungumzia silaha za Maangamizi (kunazungumzwa sasa Nuclear), hii inanifanya nikumbuke Maandiko ya Biblia kuwa Mungu hataacha mwanadamu aiharibu dunia beyond...
Wakati vita vikali baina ya jeshi la Israel na majeshi washirika wa Iran vikikaribia,imetajwa kuwa mashambulizi ya mara kwa mara ya Hizbullah kuzilenga rada na vituo vya ulinzi wa anga vya Israel kumeleta athari kubwa kwa Israel kujilinda kutokana na maroketi yanayorushwa na kundi hilo kutoka...
NB: Paschal Mayalla naomba utupe fasiri sahihi ya sentesi hii (Revenge is a dish best served Cold)
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekucha Mashariki ya kati
Spika wa bunge la Lebanon na mshirika mkubwa wa Hezbollah ameichimba mkwara Israel lazima ichezee kichapo kwa tuhuma za mauaji ya Kiongozi...
Wadau hamjamboni nyote?
Jeshi la Israel limepuga marufuku marubani wake wote kusafiri nje ya nchi hiyo kama tahadhari ya maandalizi ya vita dhidi ya Iran, Hezbollah na washirika wao
Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa kikosi cha Anga Meja Jenerali Tomer Bar,
Taarifa kamili hapo chini:
===
Amid...
Nchi kadhaa zimekuwa na hofu kubwa ya mashambulizi makali ya Iran dhidi ya Israel na kupanuka kwa vita katika eneo la mashariki ya kati.Hofu hiyo ni kutokana na kiapo cha Iran kulipiza kisasi kutokana na kuuliwa kwa Ismail Haniye.
Miongoni mwa nchi zenye hofu zaidi ya vita hivyo na kwa maslahi...
Iran yadai Israel inapenda kuchochea migogoro na vita nchi nyingine lakini yenyewe Haina Uwezo Wala Nguvu za kuanzisha Vita dhidi ya Iran!
Wadau hamjamboni nyote?
Siyo maneno yangu hayo ni mapya kutoka Tehran Kwa naibu waziri mambo ya nje Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ALI BAGHER.
Naibu waziri...
Gazeti moja la Kizayuni limetangaza kuwa, kiyama kitaishukia Israel iwapo Iran na Hizbullah zitaamua kufanya mashambulio ya pamoja dhidi ya utawala wa Kizayuni.
Gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronot limetangaza habari hiyo katika toleo lake jipya kabisa na kusisitiza kuwa, utabiri wa mashirika...
Wakuu hii ndiyo habari mpya kwa Sasa, Israel imetangaza dhamira ya kumuangamiza kiongozi mpya wa Hamas Yahaya Sinawar kwa kile ilichodai ni kuhusika kwake na mashambulizi ya Octoba 7 nchini Israel.
Yahaya Sinawar itabidi Aishi kama panya maana kwa msala huu hakuna atakaye taka kukaa naye...
Ni bahati mbaya kuwa mashariki ya kati mpalestina ni mhanga wa udhwalimu.
Kwamba yalimkuta tokea 1947 huko, kumbe ana uchaguzi upi mwingine?
Kwa hakika Gen Z wamepata funzo:
"Haki hupiganiwa kwa wivu mkubwa hata kama ni kwa kupoteza kila kitu yakiwamo maisha."
Kwamba vita ni rasilimali ziwe...
Breaking News Rais wa Iran amsihi Kiongozi Mkuu Ayatollah khamenei asithubutu kuishambuli Israel, ahofia anguko kubwa la uchumi litakalopelekea kuanguka Kwa utawala wa Kiislamu nchini humo
Wadau Hamjamboni nyote?
Hizo ni taarifa mpya kabisa za ndani Rais amemuonya Kiongozi wake Mkuu kuwa...
Shirika la Utangazaji la Israel lisema kuwa uteuzi wa Sinwar unashangaza na ni ujumbe kwa Israel kwamba yu hai na kwamba uongozi wa Hamas huko Gaza uko imara, upo na utabaki.
Kwa upande wake, mchambuzi wa masuala ya Mashariki ya Kati wa gazeti la Times of Israel, Avi Iskharov, amesema kuwa...
Iran imesema kwamba itaishambulia nchi ya Israel ndani ya masaa 24 yajayo Iran haijajulikana itafanya mashambulizi Gani lakini marekani wamesema kwamba Iran unaweza kuyatumia makundi yake yanayowaunga mkono kutoka nchi za Lebanon, Syria na Yemen kuishambulia ISRAEL apo kesho usiku.
Na katika...
Wayahudi wanaikimbia Israel nakwenda kusalimisha viwiliwili vyao Nchi za watu na kibaya zaidi image yao imechafuka chuki dhidi yao imeongezeka kuliko enzi za WWII
⚡️🇮🇱BREAKING: Israeli director Barak Heymann in an article on "Haaretz":
More Israelis are leaving and do not want to live in such...
Hapo juzi wajumbe wa Israel walielekea nchini Misri bila mwaliko rasmi ikitaka mazungumzo yaliyodorora ya kusitisha vita yafufuliwe tena.Hiyo ilikuwa ni siku mbii tangu kuuwawa kwa Ismail Haniye ndani ya Iran ambapo Iran imeahidi kulipiza kisasi.
Sambamba na hatua hiyo ya Israel leo Iran...
Wadau hamjamboni nyote?
Kikao cha Waziri Mkuu Benjamin Netanyau na wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama yaani IDF, shin bet na mossad kilichoketi muda mfupi uliopita kimeamua kufanya shambulizi dhidi ya Iran badala ya kusubiri kujibu shambulizi kutoka Iran
Taarifa kamili zikipatikana muda...
Wadau hamjamboni?
Mahandaki maalum Kwa Viongozi wakuu Israel yameansaliwa na idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel almaarufu shin bet
Mahandaki hayo yapo jijini Yerusalemu na yanauwezo mkubwa kuhimili mashambulizi ya makombora na viongozi hao watasalia huko kwa kipindi chote cha vita
Taarifa...
Kuna watu kwa sababu ya kukosa maarifa huwa wanapinga ulinzi wa Mungu juu ya Israel.
Wanadai Israel ailindwi na Mungu lakini inalindwa na MAREKANI, ulaya, UINGEREZA. Nataka kulifafanua hili. Mungu haonekani kwa macho ya mwili wa mwanadamu. Ila ameweka kanuni.
Utaratibu wa Mungu hapa duniani ni...
Ukisoma nyuzi za humu unaweza kuogopa. Utajua world war 3 ipo karibu siku mbili nyingi, Palestina/Israel itakuwa umeangamizwa ndani siku tatu zijazo.
Hivi Ukraine ime survive vipi hadi leo, je watu wanaendelea na maisha kama kawaida?
Leo nimetamani kumchana makavu mchungaji wangu..
anadanganya kanisa eti mkono wa Mungu bado uko juu Ya Israel🤬🤬
Eti Mungu anailinda Israel dhidi ya wabaya wake ambao ni Arab nations, Jamani nimeishia kusema amina ila...
Mchungaji wangu nimemsamehe tu kwa sababu ana Elimu ndogo sana na siwezi...
Kufuatia viashiria vya vita kuibuka wakati wowote huko Mashariki ya Kati UK na US wameanza kuwaondoa Raia wa Lebanon na Iran
Afrika Mashariki tuungane Ili nasi tuwaondoe Raia wetu kwa haraka
Credit: BBC
Soma Pia:
Hezbollah yawahamisha haraka maofisa wake waandamizi kutokea kambi yao kuu kusini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.