israel

  1. A

    JamiiForums Tanzania Submarine network kutoka Lebanon to Cyprus ndio chanzo ya kuwauwa Macommander Wa Hezbullah

    Habari ndio hio, watu wanawasifia Israel oh anauwezo wa kugundua kila kitu, hamna lolote. Sababu ya Israel kuwauwa makamanda wa Hezbullah ni Cyprus, alijidai yeye ndio atagharamia kila kitu na ku control kumbe ni Israel ndio katoa pesa ili apate access ya kuwanasa Hezbullah ukweli ndio huo. ---...
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hezbollah yachoma tena Israel

    Wanaukumbi. Ripoti ya roketi kugonga hoteli ya Gosher na roketi iligonga Barja moja kwa moja Kombora la "Kornet" lilitua kwenye shabaha ya kijeshi karibu na makazi ya Avivim huko Magharibi mwa Galilaya. Pia Hezbollah ilifafanua kuwa siku ya Jumatatu tarehe 07-08-2024 Mujahidina wa Islamic...
  3. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Vituo vya Kijeshi vya shambuliwa huko Israel

    Israel anapigwa mande bila mate 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥BREAKING: 🇱🇧🇮🇱 Starting two hours ago, Hezbollah launched a huge wave of attacks on Israel The entire occupied Golan Heights was under fire from hundreds of Hezbollah missiles. Dozens of settlements along the border, including the city of...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Israel Kasalim Amri Kwa Hezbollah

    Waisrael huko na magazeti yao wamegundua moto unao wangojea huko Lebanon, sio Missiles tu zinawasubiria na drones, lakini kuna ndege vita kuliko F16, ambayo wanatamba nayo Israel ni drones ambazo hazina tofouti na F16 zina ruko 30,000ft. Zinauwezo wa kupita kwenye Radar bila kuonekana, na zina...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa njema Mke wa Waziri Mkuu Victoria mteule Uingereza ni myahudi, Mungu ibariki Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Hii ni habari njema kwa Wana Israel mke wa Waziri Mkuu mteule Uingereza aendaye kwa jina la Victoria Starmer ni myahudi Mungu ibariki Israel Victoria Alexander was raised in north London. Her father is a former accountant from a Polish-Jewish background and her mother...
  6. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania Kwenye mzozo wa Palestine na Israel, wawili hawa, nani alikuwa na malengo muhimu dhidi ya mwenzake? Je, yametimia?

    Kuna maswali mengi sana kuhusu mgogoro wa nchi hii ya Israel na mamlaka ya bandari ya Palestine Palestine ndiyo wa kwanza kuvamia Israel, bila shaka hawa ndio walikuwa na malengo mahususi dhidi ya Israel Wapalestine wa Tandale, wao wanakwambia, baada ya Wazayuni kujibu mapigo, eti...
  7. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kuanzia wiki iliyopita pekee, wanajeshi 12 wa Israel waliuawa

    Wanaukumbi. ⚡️Vyombo vya habari vya Israeli: Kuanzia wiki iliyopita pekee, wanajeshi 12 wa Israel waliuawa. Si haba wauaji wa watoto wanazidi kupata haki yao nao wajue uchungu wa vifo. Leo majeruhi wengi kati ya wanajeshi wa Israel kutoka kaskazini mwa Israel, Golan na Gaza, walihamishiwa...
  8. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Wanamgambo wa Israel waunguzwa ndani Merkava Battle Tank

    Wanamgambo wa Israel wakiwa kwenye uwanja wa mapambano na Kifaru chao aina Merkava wameviziwa na makomando Hamas kisha kuwekewa mabomu bila wao kushtuka baada sekunde 3 kikalipuka na kubaki majivu
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel yafanya majaribio ya mizinga yenye uwezo wa kupiga kilomita 1,800 KM

    Mwendo wa maandalizi...... Kwa kifupi sasa hivi swali la kujiuliza ni lini yataanza maana ukanda ule unaelekea kuchafuka. Israel conducted a test launch for a missile with a range of up to 1,800 kilometers, (1,118 miles) pro-Kremlin Telegram channel Rybar reported on Thursday. The missile...
  10. Ritz

    JamiiForums Tanzania Iran wamewaambia UN iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah"

    Wanakumbi. MPYA: 🇮🇷🇮🇱 Iran katika Umoja wa Mataifa: "Iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah" Iran imesema katika Umoja wa Mataifa kwamba iwapo Israel itaanzisha vita vikali dhidi ya Hizbullah nchini Lebanon...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel yapigwa vibaya ndani ya Gaza. Wapi Hamas wanapata silaha? Inashangaza

    Baada ya Israel kuuzingira mji wa kusini wa Rafah na kuudhibiti ukanda wa Philadephi unaotenganisha na Misri ilitarajiwa kama walivyojitapa Israel ingekuwa ndio mwisho wa nguvu za Hamas. Maelezo yaliyokuwa yakitolea na Israel ni kwamba Hamas wana mahandaki wanayotumia kuingiza silaha Gaza...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Picha: Daktari gaidi aliyeuawa na Israel

    Huyu daktari alipouawa mlipiga makelele kwamba IDF inaua hadi madakatari, mkaambiwa ni ligaidi la kiislamu hamkutaka kuamini haya picha zimeanza kujitokeza lilivyokuwa limekubuhu, ifahamike kwenye ugaidi wa kiislamu huwa hamna cha msomi wala nini, wote lao moja, piga tu. =====================...
  13. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Israel’s army says it killed a Hamas weapons expert

    Israel’s army says it killed a Hamas weapons expert The Israeli army claims it killed Muhammad Salah, who was allegedly involved in weapons development and production for Hamas, in an air attack overnight. The army said on X that Salah also commanded several Hamas squads that produced weapons...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Afisa ugavi wa HAMAS auawa na Israel

    An IDF drone carried out a targeted attack on a vehicle carrying Hamas's Lebanon supplies director, Ayman Ratma, in the Bekaa Valley of Lebanon on Saturday, the military reported. Ratma had reportedly helped to direct weapons supplies for Hamas and Jamaa Islamiya in Lebanon. The army said that...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Kombora kutoka Jeshi la Israel lasambaratisha gari kikoneta 49 mpakani mwa Lebanon

    Wadau hamjamboni nyote? Gaidi Mkuu na Kiongozi wa Hamas aendaye kwa jina la AYMAN GHATMA ameuawa kwenye shambulizi la kombora kutokea kwenye ndege hatari za Jeshi la Israel. Alihusika kusambaza silaha Kwa Hamas na magaidi wenzie waliopo Lebanon Mungu ibariki Israel Senior member of Hamas...
  16. Paul Alex

    JamiiForums Tanzania Israel ingeachwa yenyewe one vs one na Hamas ingepigwa!

    Wakuu salaam! Nimeijifunza kidogo Israel, uwezo wake kiteknoloji, uwezo wake kiintelijensia, uwezo wake kiuchumi na structure ya uongozi wake! Kwanza nianzie mwisho.. Huwezi niamini ila ukitafuta taarifa utaona, ISIS, Hamas, Hezbollah wana stable structure za uongozi compared to Israel...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya waarabu yaanza kuagiza raia wake waondoke Lebanon, huku Israel ikianza maandalizi ya kuifanya Lebanon iwe kama Gaza

    Lebanon iliachia nchi yake itumike na magaidi wa kiislamu, sasa leo hii inapotaka kufanywa kama Gaza, waarabu wanaihama badala ya kubaki wapambane dhidi ya Israel. ================== The Kuwaiti Foreign Affairs Ministry has called on its citizens who are currently in Lebanon to leave the...
  18. Mwalimu Adolph Longino

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa jeshi la Israel: Hamas ni 'wazo' ambalo haliwezi 'kubomolewa'

    Msemaji wa jeshi la Israel, Daniel Hagari, anaonekana kutilia shaka lengo kuu la vita vya Israel vya Gaza baada ya kupendekeza kuwa Hamas ni 'wazo' ambalo haliwezi 'kubomolewa.' Chanzo: Al Jazeera The IDF signaled its agreement, saying it was acting to achieve Israel's war goals "tirelessly"...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Majenerali wakuu wa Jeshi la Israel wameidhinisha mpango ya vita vya kuishambulia vya Lebanon

    Breaking: Majenerali wakuu wa Jeshi la Israel wameidhinisha mpango ya vita vya kuishambulia vya Lebanon Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha huko middle east. Mayahudi wamechoka na uchokozi wa magaidi wa Hezbollah na dasa wameamua kujibu mapigo Majenerali wa ngazi za juu kabisa wa Jeshi la Israel...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Ahmed Hassan Salame, gaidi lililoongoza mashambulizi ya Oct 7 dhidi ya Israel, lauawa

    Hakuna anayesazwa, wote lazima wakatafune mabikira kuleeee. IDF and Shin Bet intelligence led to the elimination of Hamas terrorist Ahmed Hassan Salame Alsauarka in a targeted airstrike, with no civilian casualties. Operating on intelligence provided by the IDF and Shin Bet (Israel Security...
Back
Top Bottom