israel

  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel inaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano - Donald Trump!!!

    Trump amesema "Netanyahu anaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano na yeye nitaongoza kipigo hicho!! Katika mahojiano na jarida la Time linaloadhimisha siku 100 tangu arejee Ikulu ya White House, Rais wa Marekani alidai kuwa hakusimamisha Shambulizi dhidi ya vituo vya...
  2. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Syria yasema yataka Uhusiano rasmi na Israel - Abrahma Accord ishike hatamu

    Mbunge wa Marekani Cory Mills anaiambia Bloomberg alizungumza na Rais wa Syria Ahmed al-Sharaa kuhusu vikwazo vya Marekani, kuondolewa kwa silaha za kemikali, na uwezekano wa Syria kujiunga na Makubaliano ya Abraham. Kiongozi mpya wa Syria ana nia ya kujiunga na Makubaliano ya Abraham, Mbunge...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mahmoud Abbas amechanganyikiwa. Isingekuwa ulinzi wa Israel Hamas wangemuweka ndani

    Hajielewi hata anachosema. Israel inaua na kuvunja majengo na kunyang'anya mashamba ndani ya maeneo yanayotajwa yako chini ya mamlaka yake na hakuna Hamas. Israel katika mapendekezo yote ya kumaliza vita imeshaweka wazi inakataa eneo la Gaza kuwekwa chini ya mamlaka ya Palestina inayoongozwa...
  4. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Askari wa israel aliwa na papa

    Askari wa jeshi lowezi huko palestina aliliwa na papa alipokua akipoza fuvu kwa kuogelea baharini huko palestina Ufuo huo sasa unaogopwa na wazayuni,maana papa walionekana kurudi tena na kurandaranda baada ya kuonja kitoweo cha kilowezi
  5. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Moto mkubwa wazuka Israel

    Moto mkubwa umezuka israel kiasi cha watumiaji wa vyombo vya moto kutelekeza vyombo vyao barabarani Inadaiwa ni kutokana na halo mbaya ya hewa,lakini usiku wa kuamkia leo houthi walifanya mashambulizi na wazayuni wananukuliwa kusikia mishindo mikubwa ya mabomu Israel panawaka kama bandari ya...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Tukiwaambia jeshi la Israel lina mkono mrefu muwe mnaelewa!

    KIPONDO CHA NGUVU 🔴 Kamanda wa Hezbollah Ali Kaid Hashem katika kijiji cha Khania, kusini mwa Lebanon. Kakoswa na kombola la kwanza kaamua kukimbia lakini akakutana na bomu la pili ambalo hakuweza kupona aliangamizwa palepale bila huruma. https://x.com/osint613/status/1914638512684458055?s=61
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukiwaangalia Wanavyoshupaza shingo kutetea Palestina asionewe na Israel alafu ukiona Wanavyotetea Wauaji CCM utaelewa hakuna Masheikh pale.

    Dini ya kweli ni Dini inayosimamia kweli na haki. Dini ya kweli ni dini inayosema kweli haijalishi kweli hiyo inaumiza au inafurahisha. Viongozi wa Dini wa kweli ni Viongozi wanaosema ukweli wa Mungu bila kuogopa utawapendeza au kuwafurahisha Watawala. Viongozi wa kweli wa Dini ni wale...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Rais wa Lebanon asema hana haraka na kuwanyang'anya silaha Hizbullah wakati Israel inaendelea kuvunja mkataba wa amani wa Novemba 2024

    Uhusiano wa serikali ya Lebanon na chama cha Hizbullah umezidi kuimarika baada ya raisi Joseph Aoun kukasiririshwa sana na mauwaji yanayoendelea kufanywa na majeshi ya kiyahudi ya IDF ndani ya ardhi ya nchi yake.Tamko hilo linafuatia baada ya shambulizi lililoua watu wawili leo. Katika...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel inavuna ilichopanda mashariki ya kati na Afrika.Tatizo hawataweza kuandaa na kula karamu yake

    Kuna taarifa kuwa hakuna utawala wa nchi yoyote ile ya kiarabu na kiislamu ambayo haina kiongozi wa ngazi ya juu ambaye si wakala wa Israel.Baadhi ya nchi zina mpaka kiongozi mkuu ambaye ni mjumbe anayefanya kazi za kiyahudi. Utafiti huo umekuwa ukitajwa muda mrefu lakini haikujulikana ukweli...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kombola la Ballistic kutoka Yemen lapopolewa asubuhi hii huko Israel

    Baada ya magaidi kupata kipondo cha kufa mtu baada ya hifadhi zao za mafuta kuangamizwa Wahouth wa kaamua kumali Zia hasira zao kwa kurusha makombola ya Ballistic kwa israel ambayo nayo yote yamepopolewa kwa ustami wa hali ya juu na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel. Wahouthi sasa hivi...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hamas wapata kipondo baada ya maficho yao kuangamizwa na majeshi ya Israel

    Hamas huko Gaza wanaendelea kupata kichapo cha mbwa-koko baada ya Jeshi la anga la Israel kuyashambulia maficho yao. Inasemekana magaidi wote waliokuwa wamejichimbie eneo hilo hat uko nao wameangamizwa!!!
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu atembelea wanajeshi wake huko Gaza

    Waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu a.k.a. BIBI leo hii kaamua kuwa te Bełda wanajeshi wake walioko huko Gaza aliambatana na Waziri wa Ulinzi wa Israel na Mkuu wa Majeshi wa Israel na kuwatia moyo kwa kuwaambia kuwa wako huko kwa ajili ya kulinda Taifa lao na wako huko ili...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Shambulizi la Israel laua mhudumu wa afya Gaza, tisa wajeruhiwa

    Shambulio la angani la Israel limepiga lango la Hospitali ya Kuwaiti katika eneo la Muwasi, na kusababisha kifo cha mhudumu wa afya na kuwajeruhi wengine tisa, wakiwemo wagonjwa waliokuwa wakitibiwa. Shambulio la angani la Israel limepiga lango la Hospitali ya Kuwaiti katika eneo la Muwasi...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Katika kipindi hiki cha Pasaka jamaa mmoja ameenda na kondoo Hekaluni huko Israel

    Katika kipindi hiki cha Pasaka huko Jerusalem Israel jamaa mmoja jana alienda Hekaluni akiwa na kondoo kwa nia ya kwenda kutoa sadaka ya kuteketezwa baadaye Alikamatwa na polisi walieko kwenye eneo hilo ambalo ni Takatifu kwa Wayahudi, Wakristo na waislamu. Eneo hilo lilikabidhiwa waislam...
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Israel yanaendelea kuharibu mahandaki huko Gaza

    Majeshi ya Israel yaendelea kuyaharibu mahandaki yanayotumiwa na magaidi wa Hamas huko Gaza. Hapo chini inaonekana handaki lenie zaidi ya kilomita moja likiangamizwa kwa ustami mkubwa na majeshi ya Israel
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo mlima wa mizeituni huko Jerusalem Israel.

    Ukiwa kwenye mlima wa Mizeituni Mji wa Yerusalem unaonekana hivi
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania Israel Olatunde avunja rekodi na kuwa mwanariadha mwenye kasi zaidi Ireland

    Vyombo vya habari vya Ulaya vilikuja na taarifa kuhusu bwana mdogo Israel Olatunde ambaye ni raia wa Ireland kwa kuzaliwa na moja ya mwanamichezo ambaye anajitazama kama raia wa Ireland, huku pia akiwakilisha nchi yake kwenye mchezo wa riadha kama Irish man. Wazazi wake ni Wanaijeria kwa asili...
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu atoa salamu za Pasaka kwa wananchi wa Israel

    "Katika usiku wa seder, tunakusanyika na wapendwa wetu kusimulia safari kutoka utumwa hadi uhuru. “Lakini mwaka huu, familia nyingi zitaona viti vitupu—wale mateka wetu bado wanashikiliwa na Hamas, mashujaa wetu walioaga dunia, na waliojeruhiwa ambao wanapigania kufufuka. “Imbeni na kusaidiana...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marubani 1000 wa jeshi la Israel wasaini waraka wa kupinga vita.

    Ni uhakika kuwa nguvu kubwa ya jeshi la Israel ipo kwenye mapigano ya angani kwa kutumia ndege za teknolojia za kisiasa kuwapiga inaoamini ni maadui zake. Jumla ya marubani wa ndege hizo wengi wao wakiwa ni wastaafu wamesaini waraka kupinga kuendelea kwa vita ambavyo wameona havijafikia malengo...
  20. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kipigo kwa Iran kikifika Israel itashirikishwa- Donald Trump

    Mazungumzo na Iran yanayotarajiwa kufanyika kesho kama yatashindikana basi kipondo kwa Iran kitafuatia kabla ya hapo Israel atashirikishwa kikamilifu ili kuondoka kitisho kinachoikabili dunia kwa Iran kumiliki silaha za ki Nuclea.
Back
Top Bottom