israel

  1. U

    Israel yasema wanajeshi 16,000 wamelazwa tokea vita kuanza oktoba 7, 72% wamekatwa viungo

    Wadau hamjamboni nyote? Nusu ya hao wanatatizo la kisaikolojia yaani PTSD 72% wamepoteza baadhi ya viungo vyao Jumla askari wote wanaoitibiwa ni 78,000 ikijumuisha majeruhi wa vita vilivyotangulia kabla ya oktoba 7,2023 Ifikapo 2030 inatarajiwa askari 100,000 watakuwa wakipatiwa matibabu...
  2. Serikali ya Lebanon na Hizbullah wako pamoja kupinga vita vinavyoshinikizwa kwao na Israel

    Waziri mkuu wa Lebanon ambaye anaiunga mkono Hizbullah ameonya juu ya kuzuka kwa vita upya baada ya jeshi la Israel kushambulia maeneo kadhaa ya nchi hiyo na kusababisho vifo visivyopungua 7. Katika tamko jengine tofauti na la waziri mkuu,raisi wa nchi hiyo Joseph Aoun ammbaye ni mkristo...
  3. Majeshi ya Israel yanakamata maeneo huko Gaza bila upinzani wowote na kuweka bendera ya nchi yao

    Baada ya majeshi ya Israel kuingia tena Gaza sasa hivi yameweza kushikilia maeneo mbalimbali bila upinzani wowote kutoka kwa wale vibaka waliokuwa wanavaa Combat kipindi cha ubadirishanaji wa wafungwa. Cha kushangaza Toka vita vianze hakuna hata mmoja anayeonekana kuvaa Combat. Wote wamezivua...
  4. Baada ya magaidi wa Hezboullah kuanza kuishambulia Israel leo jioni hii majeshi ya israel yamejibu mapigo

    Baada ya Israel kuacha kuwashambulia majeshi ya magaidi wa Hezboullah magaidi hao wameibuka tena kwa kuishambulia Israel na bila kupita majeshi ya Israel yamejibu mapigo kwa ngumu sana huko Beirut. https://x.com/osint613/status/1903509350292816241?s=61
  5. Jumuia ya nchi za kiarabu ( Arab League ) waamua kwa pamoja kusitisha ushirikiano wa kijeshi na kiuchumi na Israel

    Jumuia ya nchi za kiarabu umeamua kusitisha ushirikiano wa kijeshi na ki uchumi na Israel baada ya Israel kuanza kuishinikiza Hamas iwawaachie mateka waliowateka Oct 07,2023.
  6. U

    Kombora la masafa lililorushwa kutoka Yemen ladondoka Saud Arabia badala ya Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Mungu anazidi kuipigania Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel:: A ballistic missile launched from Yemen a short while ago, apparently aimed at Israel, fell short in Saudi Arabia, according to a defense source. The missile was identified by...
  7. Israel yafanya Mashambulizi Mazito Lebanon, Jeshi la Lebanon Laangamiza Vituo vya Kurushia Makombora vya Hezbollah.

    Kufuatia kitendo cha makombora kurushwa tokea Lebanon kuelekea Israel, Israel imeshambulia targets mbalimbali za Hezbollah kusini mwa Lebanon. Hezbollah hawajasema kuwa ni wao ndio waliorusha, lakini Israel inaamini ni Hezbollah. Netanyahu ameahidi kufanya mashambulizi makubwa zaidi dhidi ya...
  8. Hizbullah warudi tena uwanjani kuungana na wenzao wa Houth na Hamas kuidonoa Israel

    Maroketi matatu kutoka Lebanon yamerushwa uwelekeo wa Israel. Hii ni mara ya kwanza kwa Hizbullah kurusha maroketi tangu pale walipotiliana saina na Israel kusitisha vita. Kama kawaida ving'ora vililia kwa sauti kali kwenye mji wa Metulla wa kaskazini ya Israel. Inaonekana subira imewashinda...
  9. Israel yatangaza itachukua Ardhi yote ya Palestina kama Hamas hawataachia Mateka

    Waziri wa Ulinzi wa Israel ametangaza kuwa Israel itatumia nguvu zote za kijeshi na kiraia kuwalazimisha Hamas kuwaachilia mateka inaowashikilia. Waziri huyo wa Ulinzi wa Israel ameliagiza jeshi la Israel kuteka ardhi zaidi ya Wapalestina, mpaka hapo Hamas watakapowaachilia mateka. Waziri Katz...
  10. Mkuu Wa Usalama Israel Afutwa Kazi

    Baraza la Mawaziri la Israel limeadhimia kumfuta kazi Mkuu wa Usalama wa Taifa hilo Ronen Bar huku wananchi jijini Tel Aviv wakiandamana kupinga uamuzi huo. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aliwasilisha pendekezo hilo kwenye baraza la mawaziri kwa madai kuwa Bar amekuwa akiendesha mambo...
  11. Wazir Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amfuta kazi mkuu wa Usalama wa Taifa Ronen Bar

    Baraza la mawaziri la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu lilipiga kura kwa kauli moja kuunga mkono kumfukuza kazi mkuu wa Shin Bet Ronen Bar, ofisi ya Waziri Mkuu imetangaza. Siku ya mwisho ya Bar itakuwa Aprili 10, huku serikali ikisogeza hatua ya kumfukuza kazi baada ya hapo awali kuratibisha...
  12. Ukweli Mchungu: Kibwana Shomari ni beki Bora (kitasa haswa) Kuliko Israel Mwenda Hilo halipingiki

    Nimeamua kulitumia Jukwaa hili la habari za Michezo kwa lengo la kufikisha ujumbe kwa benchi la Yanga SC. Ndiyo ni ukweli usiopingika Huu, Kibwana Shomari ni talanta kubwa sana inayofanyiwa Figisu, Kila mmoja ni shahidi huyu bwana mdogo Kipindi na Kocha Nabi alipigika Miguu yote Beki namba 2...
  13. Kahiji kwenye kaburi la babu yako kijijini kwenu acha kwenda Makka na Israel kuhiji kwa mababu wa wenzako

    Africa, Africa, Africa acha kupoteza mamilioni ya shilingi kufanya huu ushirikina kwa mababu wa wenzako huko Israel, Makka na Madina. Nenda kahiji kwa babu yako kijijini kwenu. Au acha kabisa kuhiji maana kuhiji popote pale ni ushirikina tu. Wazungu na waarabu wakakudanganya kuwa kuzuru kaburi...
  14. Baada ya mafile ya Kifo cha JFK kuwekwa wazi kwa Umma, Israel ilishirikiana na CIA kumuua JFK

    March 18, 2025 ndio siku rasmi ambapo Documents zote za siri kuhusu kifo cha aliyekuwa Rais wa Marekani, John F. Kennedy ziliwekwa wazi. Hiyo ni baada ya takribani miaka 52 baaada ya kifo chake. Ikumbukwe John F. Kennedy aliuwawa November 22 Mwaka 1963. Mafile zaidi ya 2,000 yanayohusu kifo...
  15. Houthi warusha kombora la balistiki huko Israel wakati waisrael wenye ndugu mateka wakielekea gaza Ili wachukuliwe mateka au wauawe na jeshi lao

    Usiku wa kuamkia leo ving'ora vilisikika ndani ya Israel kuashiria ujio wa kombora hasimu, wateule hao wa mchongo walioonekana kuhaha kutafuta pahala salama pa kujificha. Hata hivyo IDF ilidai kulitungua kombora hilo wakati houthi walidai lilipiga shabaha yake huko jangwa la Negev Wakati huohuo...
  16. Maajabu ya dunia yanazidi kutusogelea wakati Hamas waliozingirwa wakipigana peke yao dhidi ya Marekani na Israel

    Akitoa tamko la kuiarifu dunia kuwa Israel imerudi vitani Gaza,waziri mkuu wa Israel amesema wanaendelea kupambana huko Gaza dhidi ya Hamas kwa kutumia nguvu zao zote. Naye Donald Trump mara baada ya kuuliwa kwa watu zaidi ya 400 huko Gaza hapo juzi aliipongeza akisema Israel ililazimika...
  17. Hizbullah na serikali ya Syria wafanya mapatano. Ni kitisho kingine kwa Israel

    Baada ya kuwepo kwa taarifa ya mashambuliano ya siku mbili mpakani mwa Syria na Lebanon kati ya wafuasi wa HizbuLlah na wapiganaji wa serikali mpya ya Syria,sasa tukio hilo limefuatiwa na mapatano katika ya pande hizo mbili. Kiasili wapiganaji ya HizbuLlah ni wafuasi wa mrengo wa kishia wakati...
  18. Trump amuomba Putin kuongea na Iran asiangamize Israel

    Katika mazungumzo Yao hii leo Rais Trump alimdokeza Rais Putin kuwa ajitahidi Iran isiwe katika Hali ya kuiangamiza Israel. Wajuvi wa mambo wanaeleza kuwa hatua hii tayari inaonesha kuwa marekani inachukua tahadhari zote kabla ya kupambana na Iran ikiwa ni pamoja na kuwasiliana kwanza na Russia.
  19. R

    Israel yatoa onyo, yaua viongozi watano wakuu wa Hamas waliokataa kuwaachia waisrael waliotekwa

    Hamas imekuwa ikikataa kuaachia mateka na maiti za waisrael na watu wa mataifa mengine waliowateka 7 October 2023, Israel imetoa onyo kwa kuua viongozi watano wa juu kwenye idara za Hamas. Viongozi 5 wa Hamas waliopigwa target. Mkuu wa Kamati ya Ufuatiliaji wa Serikali - Essam al-Dalis. Mkuu...
  20. Haya ni baadhi ya matukio ambayo wapenda haki #FreePalestine wameyakalia kimya. Concern yao ni pale unagusa taifa lolote la mashariki isipokuwa Israel

    Wakristu na Washia kuuliwa Syria march 2025 Vita ilioletwa na wahuthi kusababisha njaa na utapia mlo hapo yemen Waturuki kuwaua wakurdi kwa mashambulio ya ndege huko syria Itikadi kali kuvamia kanisa na kuua waumini congo 2025 Magenge kutoka pakistan na nchi za kiarabu nyingine kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…