Shambulio la Israel katika European Hospital kusini mwa Gaza, ambapo kamanda wa kijeshi wa Hamas Mohammed Sinwar aliangamizwa katika kituo chake cha kamandi kwenye Handaki lililojengwa chini ya Hospitali hiyo.
Umoja wa Mataifa na serikali za Magharibi zilisisitiza mara kwa mara hospitali hiyo...
Wanaharakati hao wameamua kufanya hivo kwa kupanda meli iliyoondoka bandari ya Catania kwenye visiwa vya Sicily ambavyo haviko mbali sana na Gaza.
Mwezi uliopita meli kama hiyo zinazoongozwa na taasisi ya Freedom Flotilla ilishambuliwa na Israel na kuwaka moto kulazimika kuokolewa kwa...
Operesheni ya Israeli ya kushambulia mpango wa nyuklia wa Iran imekuwa tayari kwa miaka mingi sasa Kinachohitajika sasa ni kuidhinishwa tu. Lakini hapa ndio watu wengi hawajui:
Wakati Israeli ililenga maeneo ya nyuklia ya Iran hapo awali, ikiwa ni pamoja na centrifuges na viwanda vya ulinzi...
Baadhi ya wananchi wa Israel wanaopinga mkataba wa kusitisha mapigano na magaidi wa Hamas leo wamejitokeza njia kuzuia Msafiri wa malori yenye misaada kuwapelekea magaidi wa Hamas huko Gaza
Baada ya matishio ya muda mrefu yaliyokuwa yanafanywa na kundi la kigaidi la Houth kushambulia uwanja wa ndege wa Ben Gurion bila mafanikio!! mfupi uliopita, IDF ilishambulia uwanja wa ndege mkuu wa Sana'a na ndege za kundi la kigaidi la Houthi.
Ndege zilizolengwa zilitumiwa na utawala wa...
Hii wamesema baada ya wao kupiga ndege iliyokua imesalia uwanjani, uwezo wa kufunga anga wanayo, nia wanayo na sababu za kufunga wanazo.....
Hawa wana wa Yakubu walibarikiwa sana, ukizingatia makobaz bilioni mbili duniani yamekua yakiomba Israel wafutwe kwenye ramani ila itakua wanayemuabudu...
Wadau hamjamboni nyote? The Israeli Air Force is carrying out strikes on the Houthi-held Sanaa International Airport in Yemen, according to local media.
The strikes come after repeated Houthi missile attacks on Israel in recent days.
Earlier this month, also after repeated attacks...
Tayari minong'ono imesambaa kushangazwa na ushujaa wa wapalestina katika kutetea ardhi na imani zao.
Viongozi wote wakuu wa Hamas kwa mujibu wa Israel wameshauliwa mpaka makamanda wadogo wadogo na bado hakuna malengo yaliyofikiwa.Ufuatao ni muhtasari wa kushindwa kwa mbinu za Israel,
1.Kwa...
Sasa Ile bendera ya Israel inaonyesha nini kuhusu imani yake Gwajima.?
Waisraeli anadhani wana Dini gani?
Askofu Gwajima anataka aonekane kwamba yeye peke yake ndiye mtetezi wa wanyonge.
Hao Waisraeli ndio wanaishambulia Gaza sasa hivi?
Nani anapenda kuona Wagaza wanashambuliwa namna ile...
Kuna watu wengi sana wakishakula Maharage ya jana wanakula mstari wa mbele kueneza uongo wa kila aina kuhusu Israel.
Wengi wanaoeneza uongo huo hata hawajui Historia ya Israel na hawajawahi kufika katika nchi hiyo wengi wamemezeshwa uongo na viongozi wao wa kidini na wengine wamevutwa tu na...
Tuliwambia Yemen hajawahi kushindwa vita USA ilibidi apige mogoti kwa njia ya Oman, alijipeleka kumsaidia Israel kuiondolea blockade alio wekewa kule Red Sea kipigo alicho kipata kutoka kwa Al Houthi mpaa akachanganyikiwa akaomba poa na Al Houthi ili afiche aibu zake.
Israel sa kawekewa...
Huko Yerusalemu sherehe za Siku ya Yerusalemu (Yom Yerushalayim) zilianza jana na leo z inaendelea kwa siku nzima. siku ya leo wanasherehekea kuunganishwa tena kwa Yerusalemu tangu vita vya siku 6 vya 1967.
🇮🇱 Katika siku hii miaka 58 iliyopita, Yerusalemu—Mji Mkongwe na Ukuta wa...
Kama raia wa Kiarabu wa nchi, sina budi kutetea sura ya Taifa la Israeli dhidi ya kauli za kipuuzi, za uongo na za uchochezi dhidi ya Serikali zinazotolewa na viongozi wa nchi mbalimbali... Ajabu sana kuona viongozi kama hao wanajitoa ufahamu kiasi hicho!!!
Netanyahu amesema kama mazungumzo ya US na Iran yatashindikana juu ya Iran kuachana na urutubishaji wa mabomu ya nyuklia basi Israeli itashambulia vinu vya nyuklia vya Iran upesi iwezekanavyo.
Ayatollah Khomenei kasema hawezi kukubaliana na hoja za Marekani za kuachana na utengenezaji wa zana...
Houth wamebadili mtindo wa urushaji wa makombora yao kuishambulia Israel.Tofauti na zamani wapiganaji hao kutoka Yemen wameongeza kasi ya kusihambulia Israel hasa uwanja wa Ndege wa Ben Gurion.
Kwa sasa Houth wamefanikiwa kumudu kurusha hata kombora 3 za ballistic kila baada ya siku 2.
Katika...
Qatar condemns killing of Israeli embassy staffers in Washington
Qatar Munafiq, mfadhri mkuu wa magaidi duniani ambaye pia ni ndumilakuwili chui mwenye ngozi ya kondoo, inalaani mauaji ya wafanyakazi wawili wa ubalozi wa Israel mjini Washington - ambayo yalifanywa na mtu mwenye silaha ambaye...
Hii ni moja ya maajabu ya dunia ukitazama hii ramani.
Waarabu wote hao kushindwa kuwalinda ndugu zao hapo Gaza dhidi ya Israel ni jambo la kushangaza sana.
Hawa wajinga wana umoja wao wa nchi za kiarabu lakini huo umoja wao mpaka sasa umeshindwa hata kuwasaidia ndugu zao wapate chakula kwa...
El Al iliripoti kuibuka kwa asilimia 19 katika faida ya robo ya kwanza, na kufikia dola milioni 96 licha ya mashirika ya ndege ya kigeni kupunguza safari za Israeli. Mapato yalipanda 5% hadi $774 milioni, wakati sehemu yake ya soko ilishuka hadi 44% kutoka 62% mwaka uliopita.
Mkurugenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.