israel

  1. Ritz

    JamiiForums Tanzania Makombora ya Houthi yatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben Gurion nchini Israel uwanja umefungwa

    Wanaukumbi. Vyombo vya habari vya Israel vinaripoti kuwa mifumo ya Arrow-3 na THAAD inayotolewa na Marekani ilishindwa kuzuia kombora la Houthi. Licha ya mashambulizi makali ya anga yanayoendelea, uwezo wa makombora na ndege zisizo na rubani za Houthis unaonekana kubaki bila kuathiriwa...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Askari wa Israel waendelea kufa Gaza.Maelfu watakiwa kwenda kupigana, huku wengi wakigoma.Netanyahu avunja safari ya nje.

    Waziri mkuu wa Israel amevunja ghafla safari yake iliyopangwa kwenda Azerbajan wakati wito wa maelfu ya askari wa akiba umetolewa ili waende kuongeza nguvu kupambana na huko Gaza. Hali hiyo imekuja ikiwa ni zaidi ya miaka miwili ya vita na jeshi la Israel likiwa limefunga mipaka yote ya Gaza na...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aibwatukia Qatar

    Baada ya Qatar kuishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki huko Gaza na kuuita Umoja wa Mataifa "mwiba katika mradi wake wa ukoloni," Netanyahu alijibu: "Wakati umefika kwa Qatar kuacha kucheza pande zote mbili na mazungumzo yake mawili na kuamua ikiwa iko upande wa ustaarabu au ikiwa iko...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Lengo letu kuu ni kuishinda Hamas-Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu!!

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ( BIBI ) lengo kuu la operation ya kijeshi inayoendelea huko Gaza ni kuifuta Hamas ili isije kuwa hatari kwa Israel tena. Gaza sasa itakuwa chini ya Milika ya Israel tena alipoulizwa je yuko tayari kurusu Majeshi ya kimataifa kuweko huko Gaza? Alisema...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hamas huwashambulia raia wa kawaida bila onyo, ilhali Israel hulenga wanamgambo na hutoa tahadhari kabla ya kushambulia maeneo ya raia?

    Israel mara kadhaa husambaza mamilioni ya vipeperushi, kutoa nafasi ya watu kuhama kabla ya kulipua jengo linalotumika kutunza silaha, kuwa na miundombinu ya mahandaki, n.k. Kwanini Hamas huwa hawafanyi hivi, wanapenda mashambulizi ya kustukiza na kulenga zaidi raia wa kawaida, kwanini...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Israel sasa!!

    Kwa kipindi cha miaka 77 Israel imegundua na kutengeneza vifaa hivyo hapo chini kwa madhumni ya kujilinda. Don’t mess with IDF!!
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Syria ikipenda wanaweza kuwafunza adabu Israel nayo ikaanza kuwaheshimu binadamu wenzao

    Inachofanya Israel kwa mataifa jirani ni utovu wa nidhamu mkubwa na kudharau utu wao.Mtua anayekudharau kupitiliza na kukuvunjia heshima lazima utafute mbinu naye umfedheheshe hadharani. Kuingilia mambo ya ndani ya Syria kiasi hiki ni jeuri kubwa ambayo inapasa kujibiwa kwa namna bora...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Anga la Israel lageuka Kaburi kwa makombola kutokea Yemen!!

    Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel yaendelea kuonyesha umahiri wake wa kup opona makombola kutoka Yemen, kątka kipindi cha mwezi April 2025 makombola zaidi ya 26 yamepopolewa kwa ustadi mkubwa na mifumo ya ulinzi wa anga.
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Lengo kuu' la vita ni ushindi, sio kurudishwa kwa mateka- Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu

    Netanyahu anasema 'lengo kuu' la vita ni ushindi, sio kurudi kwa mateka Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anahudhuria hafla ya kumbukumbu ya serikali ya wanajeshi wa Israeli waliokufa, katika makaburi ya kijeshi ya Mlima Herzl huko Jerusalem, Aprili 30, 2025. (Marc Israel Sellem/POOL) Waziri Mkuu...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wadruze huko Syria wasema hawataki misaada ya kichonganishi kutoka Israel

    Viongozi na wanajamii wa Druze huko kusini ya Damascus wameweka wazi kuwa wao wapo pamoja na serikali mpya Syria katika kujenga Syria mpya. Siku chache zilizopita kulisambaa ujumbe wa sauti maeneo ya Ashrafieh Sahnaya ukihusishwa na kiongozi wa jamii ya Druze kumtukana mtume Muhammad saw.Jambo...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Miaka 77 ya UHURU miaka 3,000 ya Umri historia imejirudia Israel

    Miaka 77. Bila shaka, Israel ilirudi katika nchi ya mababu zao na kujenga taifa ambalo linastawi katika eneo ambalo halijawahi kuwataka hapo . Wameshambuliwa, Wamesusiwa, wamesemewa uongo, Wamechukiwa-na bado wanakuwa na kustawi. Wanavumbua vitu ambavyo kwa mwanadamu wa kawaida anashangaa . Wana...
  12. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Wanamgambo wa Israel wazingirwa wakiwa Kambi

    Wanamgambo wa Israel wamejikuta ndani ya mzingiro mkubwa wa moto huku wakitoa kilio cha hofu ya kuteketezwa na kubaki majivu. 🚨 BREAKING: Fires are advancing and reportedly surrounding Israeli occupation forces inside their military bases.
  13. ILAN RAMON

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Hezbollah asema Serikali ya Lebanon inapaswa kufanya zaidi kukomesha mashambulizi ya Israel

    Kiongozi wa Hezbollah asema Serikali ya Lebanon inapaswa kufanya zaidi kukomesha mashambulizi ya Israel Kiongozi wa Hezbollah, Naim Qassem, ameitaka serikali ya Lebanon kuchukua hatua zaidi kukomesha mashambulizi ya kila siku ya Israel nchini humo. Haya yamekuja siku moja baada ya shambulio la...
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya amnesty international: Israel inafanya mauaji kwa wapalestina

    Wanaukumbi. NNA - Katibu Mkuu wa Amnesty International Agnes Callamard alithibitisha Jumanne kwamba vikosi vya Israel vinafanya mauaji ya halaiki kwenye televisheni ya moja kwa moja katika Ukanda wa Gaza. Callamar aliongeza katika ripoti yake: "Amnesty International imeandika mauaji ya halaiki...
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel sasa yafikisha idadi ya watu Million kumi

    Katika mkesha wa Siku ya Uhuru Israel kufikisha miaka 77 , idadi ya watu inasimama kwa watu milioni 10.094: kati yao • Wayahudi milioni 7.732 na wengine (77.6%) • Waarabu milioni 2.114 (20.9%) • Watu wengine 248,000 wasio Waarabu (2.5%) Tangu Siku ya Uhuru iliyopita, idadi ya watu wa...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya mashujaa- Israel

    Leo Siku ya Jumanne jioni, Israeli itaadhimisha Siku ya Ukumbusho kwa askari waliokufa na wahasiriwa wa ugaidi, na ving'ora vya kitaifa saa 8:00 PM na Jumatano saa 11:00 asubuhi. Tangu 1948, wanajeshi 24,981 na raia 4,070 wamekufa, wakiwemo 716 katika vita vinavyoendelea sasa vya "Upanga wa...
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel yakataa mkataba wa miaka Mitano kuwaachia mateka wote wanao sikiliza na Hamas huko Gaza

    Rasmi: Israel haitakubali mapatano ya miaka 5 ya Gaza, Qatar haisaidii mazungumzo ya utekaji nyara ya hivi karibuni Afisa wa Israel anasema kuwa wapatanishi "hivi karibuni wamekuwa na ushawishi ambao haukuwa mzuri kwenye mazungumzo" kwa kuwaachilia mateka kutoka Gaza. Afisa mmoja wa Kiarabu...
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Israel yatoa amri ya watu kuondoka huko Dahiya,Beirut,Lebanon

    IDF imetangaza kwa watu nchini Lebanon kuhama majengo fulani huko Beirut ambayo yatashambuliwa na Drone kutoka angani ambazo zinazunguka juu ya Beirut. Binafsi Siwezi kuvumilia tunapomwonya adui yetu kabla ya kumshambulia. Wajinga gani wanafanya maamuzi haya katika jeshi. Je, hawajifunzi...
  19. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Iran aishutumu Israel kwa mlipuko wa Bandar Abbad

    Mbunge wa Irani anaishutumu Israel kwa mlipuko katika bandari ya Bandar Abbas na kufichua maelezo mapya kuhusu kilichotokea jana: Mohammad Saraj, Mbunge wa Irani, kwenye mlipuko kwenye bandari ya Bandar Abbas: "Mlipuko katika bandari ya Bandar Abbas haukuwa wa bahati mbaya. Kuna dalili za...
  20. Ritz

    JamiiForums Tanzania Vikosi vya Al-Qassam:Jana, tulifanikiwa kuwateka wanajeshi wanne na maafisa wa Jeshi la Israel

    Wanaukumbi. BREAKING: Al-Qassam Brigades: Yesterday, we successfully sniped four soldiers and officers of the Israeli occupation army, killing and wounding them east of the town of Beit Hanoun. ================ BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam: Jana, tulifanikiwa kuwateka wanajeshi wanne na...
Back
Top Bottom