israel

  1. U

    JamiiForums Tanzania Amani itapatikana Mashariki ya Kati kwa Wapalestina kukiri Israel ni Familia teule, takatifu yenye baraka zote za Mungu wao aliye wa kweli

    Wadau hamjamboni nyote? Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa ndugu zetu Wapalestina na waarabu kwa ujumla wao Njia pekee ya kumaliza vita Mashariki ya kati na kuishi kwa amani ni kutambua na kukubali kuwa Mayahudi ni taifa teule lenye baraka zote za Mungu Watambue kuwa kushindana na wsteule hao...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani kuongoza ugawaji misaada Gaza ikiitaka Israel isisogelee karibu.Hamas na UN wanawasi wasi na mpango huo.

    Mwanadiplomasia wa Marekani nchini Israel amefichua mpango ambao utaanza hivi punde wa kuingiza misaada eneo la Gaza ili kuokoa maisha. Huckabee amesema mpango huo utashirikisha makampuni binafsi na kwamba Israel haitohusika isipokuwa kwenye ulinzi tu kwani hilo ni eneo la vita bado.Mpango huo...
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania Tazama operesheni ya "Gates of Hell" mashariki mwa mji wa Rafah. Vikosi vya Al-Qassam vinafanya shambulizi wakiwalenga askari wa Israel

    Wanaukumbi. ⚡️BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam: "Angalia: kama sehemu ya mfululizo wa operesheni ya "Gates of Hell" mashariki mwa mji wa Rafah… Vikosi vya Al-Qassam vinafanya mashambulizi ya kuvizia yakiwalenga askari wa adui karibu na Project Junction mashariki mwa Rafah, kusini mwa Ukanda wa...
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Trump waitaka Israel iweke akili yake sawa isaini usitishwaji vita Gaza haraka

    Wakati raisi Donald Trump akijitayarisha kuanza ziara ya mashariki ya kati hivi punde,utawala huo umeonekana kubadili nia ghafla kuhusiana na vita vya Gaza. Katika ziara hiyo raisi Trump atazitembelea Qattar,Saudi Arabia na umoja wa falme za kiarabu bila kuingiza ratiba ya kuizuru Israel.Balozi...
  5. Ritz

    JamiiForums Tanzania Matukio mawili mauaji ya Askari wa Israel huko Gaza. - Kauli ya Al-Qassam

    Wanaukumbi. ⚡️BREAKING: "Matukio mawili ya usalama" huko Gaza. - Kauli ya Al-Qassam. Al-Qassam ililipua jengo lililokuwa limenaswa na askari wa Israel mjini Rafah na kuwaacha wanajeshi sita wakiwa wamekwama chini ya vifusi. Moto mkali unaendelea huku jeshi likihangaika kuwaondoa maiti na...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kikundi cha askari wa Israel chaangamizwa eneo la Rafah

    Kumetokea mapigano yasiyo ya kawaida eneo la mpaka wa kusini wa Gaza na kupelekea kikundi kikubwa cha askari wa Israel kuripukiwa na bomu wakati wamo ndani ya jengo moja mpakani huko. Habari hizo zimeripotiwa kwa mara ya mwanzo na waandishi wa shirika la Telegraph na haijathibitishwa idadi...
  7. Kindred Spirit

    JamiiForums Tanzania Hali ya Uwanja wa Ndege wa Ndege

    Hali ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Yemen mjini Sanaa siku moja baada ya shambulio kutoka Israel. Hakuna kilichosalia. Inasemekana Yemen wamedai kupata hasara ya dollar za kimatekani nusu bilioni kufuatia shambulio hilo Khaled al-Shaif, the head of the airport, told the Houthis' al-Masirah...
  8. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Houthi waangukia pua dhidi ya kisasi kwa Israel- Kombora laangukia Saudia Arabia

    IDF ilitambua kombora lililorushwa kuelekea Israeli kutoka Yemen na magaidi wa Houthi ambalo liliangukia eneo la ardhi ya Saudi Arabia bila kudunguliwa siku ya Jumatano, kulingana na ripoti katika vyombo vya habari vya Israeli. Siku ya Jumanne, Israeli ilifanya mashambulizi ya anga yaliyolenga...
  9. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Senata Amerikia: Israel sasa ruksa kumpasua Iran hit them Harder and harder do want you want to protect yourself after US Distance to strikes Houthi.

    Baada ya Hauthi kusitisha mapigano, Seneta anayemuunga mkono Trump Tales asema Israeli 'Fanyani muwezavyo kwa ajili ya Kujilinda' Seneta wa Republican Lindsey Graham wa Carolina Kusini, mmoja wa watiifu wakuu wa Trump katika baraza la juu la Bunge la Merekani, amesema Israeli kwa sasa ipo peke...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Hizi ni dharau sio vita tena: Israel anatoa onyo kulipua airport, anaingia anga la Yemen bila upinzani

    Ni siku ya pili ya mashambulizi, siku ya jana kwenye shambulio la kwanza Israel imelipua bandari kubwa ya Hodeidah na kiwanda cha saruji cha al-Imran. Mapema siku ya leo katika muendelezo wa mashambulizi Israel iliagiza Wayemen wanaoishi jirani na uwanja wa ndege wa kimataifa wa sanaa wahame...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wananchi mamilion wa sana'a wanaenda kukosa umeme kutokana na mashambulizi ya IAF

    Anachofanya myahudi ni kurudisha teke kutokana na ngumi aliyopigwa. Adui wa yemeni ni houthi na iran. Ila hawa vijana wa itikadi kali hawatakaa hawaelewe maana wamezoea fujo na mioyo yao ipo engineered tangu utoto kuichukia israel.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Yemen ina tofauti gani na ukuta usio na mlinzi ulioandikwa "usikojoe hapa" ? Inawezekanaje ndege 30 za Israel ziingie bila hata moja kuangushwa ?

    Ndege 30 zimeingia kwenye anga la Yemen kwenye ukanda wa Houthi lakini wameshindwa kuotea hata moja tu ? Hata hivyo, lawama kamili huenda ikaelekezwa kwa Iran, ambao wapo nyuma ya Houthi. Inaonekana kwamba Iran waliwapatia Houthi mifumo ile ile ya ulinzi wa anga ambayo Israel waliidharau kwa...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Israel yaamua kulifunga anga la Yemen!!!

    IDF yatoa onyo la 'haraka' la watu kuhamishwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sanaa wa Yemen Katika hali isiyo ya kawaida, IDF imetoa onyo la "haraka" la kuhamishwa watu kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sanaa wa Yemen. Katika chapisho kwenye X, msemaji wa IDF wa lugha ya Kiarabu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Huu ni ubabe, si tena kujilinda, Yemen walifanikiwa kupenyeza kombora moja tu, kulikuwa hakuna sababu Israel kujibu kwa ndege 30 na makombora 48

    Kulikuwa na ulazima ? hiki kinachofanyika sio haki, hata vitani kuna rsheria zake, Yemen kapenyeza kombora moja kwenye anga la Israel kulikuwa kuna haja gani Israel kutuma ndege 30 na kulipua makombora 48 ? Ni sawa na adui yako yupo mbali anakurushia jiwe moja, badala ya kuokota jiwe umrushi...
  15. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya ndege 30 za Israel zimeanza kunyesha mabomu ndani ya Yemen

    zaidi ya ndege 30 za kivita za Israel zimezingira muda huu ndani ya Yemen huku zikipiga bandari , uwanja wa ndege na vituo vyote vya mawasiliano. Hali ya tahadhari imetolewa muda huu Kwa raia nchini Yemeni kuhama kwenye maeneo yote yaliyo chini ya wapiganaji wa houthi.
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baraza la mawaziri la usalama la Israel liliidhinisha mpango wa Kuitwaa Gaza kutoka mikono ya Magaidi wa Hamas

    Baraza la mawaziri la usalama la Israel liliidhinisha mpango wa kupanua mashambulizi ya kijeshi huko Gaza, kwa lengo la kuishinda Hamas, kudhibiti eneo na kuwaachilia mateka. Mpango huo ni pamoja na kuwahamisha raia, kuwazuia Hamas kuchukua misaada, na kudhoofisha udhibiti wake. Utekelezaji...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hatimae Misri imetajwa rasmi kama mshirika anayepigana upande wa Israel dhidi ya Gaza

    Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya mashariki ya kati,Mohammed Al masry ameseweka wazi kuwa Misri ndiye mshirika mkubwa wa Israel na Marekani kufanikisha maumivu wanayoyapata wananchi wa Palestina eneo la Gaza. AlMasry katika mahojiano yake na aljazeera ,amesema ukweli huo ni jambo ambalo kwa...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Lebanon haitakuwa salama kwa mdomo pekee,bila kuwaachia Hzbullah na Hamas kuifanyizia Israel kama vile wanavyofanya Houth

    Lebanon imehamanika kutekeleza makubaliano ya kusitisha vita na bado kila siku inapigwa katika ya Beirut. Kama kweli wanakerwa na mashambulio hayo basi serikali ya nchi hiyo haina budi iache kuwafutata futata Hizbulllah na Hamas ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakipambana na jeshi la Israel baada...
  19. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Houthi watangaza mkakati kufunga anga la israel

    Wahouthi huko Yemen wametangaza mkakati wa kulifunga anga la israel kwa kupiga viwanja vya ndege Kwa ile shughuli iliyofanywa leo ben gurion, sidhani kama kuna ndege itaeanda israel Shirika la Wahouthi lilisema Jumapili usiku kuwa linajipanga kuweka “marufuku ya jumla ya anga” dhidi ya Israel...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Iran yaonyesha hadharani makombora yake mapya ya hatari uwezo kupiga kilometa 1,200, yaionya us na Israel wasithubutu kuishambulia

    Wadau hamjamboni nyote? Iran yaanika hadharani makombora mapya ya masafa marefu yenye uwezo kupiga hadi kilometa 1,200 Tulishawaambia duniani kote hakuna anayemzidi uwezo kisayansi muiran mkabisha eti Muisrael ana akili kumbe hamna kitu Siku yeyote kuanzia Sasa Wapalestina watatwaa ardhi yao...
Back
Top Bottom