Uingereza kusitisha mazungumzo ya biashara huria na Israel; Wizara ya Mambo ya Nje yasema hatua hiyo 'haitaizuia' Israel katika 'pambano lake na Magaidi'
Kufuatia tangazo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Lammy mapema leo la kusimamisha kwa Uingereza mazungumzo ya makubaliano ya...
Huyu ndiye afisa mkuu wa mwisho wa mrengo wa kijeshi wa Hamas ambaye anachukuliwa kuwa mmoja wa wasanifu wa Oct 07,2023 na bado yuko hai - Izz ad-Din al-Haddad, Kamanda wa Brigedi ya Gaza. Yeye ndiye shabaha inayofuata, shabaha inayofuata ya kuondolewa. Gaidi huyu wa kudharauliwa anayelivunjia...
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameelezea kuwa Israeli itaendelea kudhibiti Gaza nzima licha ya shinikizo la kimataifa ambalo linaitaka kuondoa kizuizi cha vifaa vya misaada ambacho kimeiacha eneo hilo ukingoni mwa njaa.
Jeshi la Israeli, ambalo limetangaza kuanza kwa operesheni mpya limewaonya...
Netanyahu aidhinisha kurejeshwa mara moja kwa misaada ya kibinadamu huko Gaza
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameidhinisha kurejeshwa mara moja kwa msaada wa kibinadamu huko Gaza wakati wa mkutano wa baraza la mawaziri la usalama mapema leo jioni.
Katika taarifa ya kuthibitisha uamuzi huo...
Mataifa ya kiarabu yameendelea kujitusi yenyewe kwa kufanya kikao nchini Iraq na kuondoka bila matamo yanayoendana na wakati.
Katika mkutano huo wa 34 mataifa hayo yamerudia azimio la kuijenga upya Gaza na kwamba wanapinga kuhamishwa kwa wapalestina kutoka ardhi yao hiyo.
Mkutano huo...
Raia mmoja wa Israel mwenye asili ya kiarabu leo akiwa kwenye usafiri wa Umma wakati anashuka alimtemea mate Mwanajeshi wa jeshi la Israel IDF kisha kukimbia tukio hilo lilinaswa na kamera za cctv zilizomo kwenye basi hilo.
Juhudi za kumtafuta zinaendelea baada ya wataalamu wa Forensic-lab...
Houthi wa Yemen wanaoungwa mkono na Iran wamesema wamefyatua makombora mawili ya masafa marefu (ballistic missiles) kuelekea Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion usiku wa kuamkia leo.
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limesema kombora moja la masafa marefu lililolengwa kuelekea Israel liliingiliwa kati...
Netanyau huyu jamaa inawezekana ni muda mrefu alikuwa akitafuta sababu ya kuwachabanga Hamas. Hamas wakajichanganya. Wakajaa kwenye mfumo. Sasa kichaa kapewa panga. Anapasua roho zao.
Hamas wanasema wapo tayari kukabidhi nusu ya mateka. Neta anasema hata mkitaka kaeni nao sisi hatuna haraka...
Waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu a.k.a.(BIBI) leo kabla ya SABATO kuanza hapo saa 12 jioni alishuhudia “LIVE” kipondo kilichokuwa kikishushwa kwa nguvu kwa Wahouth huko Yemen 🇾🇪
Inasemekana bandari zote tatu zinazomilikiwa na Wahouthi hao zimeshambuliwa vibaya sana. Hili ni jibu...
Ndege-vita za Israel sasa hivi zinapiga kwenye bandari zinazomilikiwa na Houth hii inafuatia Jaribu lao la kurusha kombola la balestic huko Israel hata hivyo kombola hilo li lipo polewa na Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel!!!🇮🇱
Magaidi wa Houthi wanaendelea kuchezea shurubu za SIMBA kwa kurusha kombola la Balistic nchini Israel na limepopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel.
Wanaukumbi.
BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam:
"Picha kutoka kwa mashambulizi ya "Simba wa Al-Muntar", ambayo yalilenga askari na magari ya adui katika kitongoji cha Al-Shuja'iya, mashariki mwa Jiji la Gaza, Aprili 25, 2025.
Kanda hii inaonyesha mapigano ya saa mbili huku jeshi la Israel...
Najaribu kujiuliza.
Aliposhambuliwa na Hamas aliwapiga Hadi Sasa hawewezi kabisa kujibu na hawajajibu chochote.
Aliposhambuliwa na Hesbullah aliwapiga sana na kiongozi wao ambaye walikuwa wanamfuatilia miaka yote wakaamua kuumoteza. Hesbullah imepigwa kiasi cha kunyimwa kabisa uwezo wa kurusha...
Ni kweli kabisa Majeshi ya Israel yalijaribu mara moja kutaka kumuua Mwandishi huyo wa Kipalestina Hassan Aslih na kumjeruhi vibaya sana akalazwa Hospitali ambako jana waliamua kumfuata huko huko na kumuangamiza bila huruma yoyote.
Swali linarudi kwa nini Israel ilitaka sana hasa kuwaua...
Kulingana na ripoti kutoka Gaza, mwandishi wa habari wa Palestina Hassan Aslih, anayejulikana kwa kuandika shambulio la Hamas la Oktoba 7 na kuwa na uhusiano wa karibu na Hamas, aliuawa katika shambulio la anga la Israel katika Hospitali ya Nasser huko Khan Younis.
Alikuwa amelazwa hospitalini...
“Yemenia”: Our Aircraft are Insured Against War Globally Except for Yemen’s Airports Due to “International Classification”
Yemen Airways imepinga kwa nguvu taarifa "zisizo kweli na zisizo sahihi" zilizosambazwa na baadhi ya mashirika ya habari ya kimataifa, ambayo yalidai kwamba ndege za...
Maajabu Jordan yagoma kupokea mwili wa gaidi mfungwa wa kundi la kipaleatina Islamic jihad na kuurudisha misri aliachiwa huru na Israel
Wadau hamjamboni nyote?
Moatassem Radad ni mpalestina mwenye asili ya Jordan na alikuwa gaidi hatari wa kundi la kipaleatina la Islamic jihad na
Alikuwa...
Waarabu waliokutana na kisasi Cha Israel wamenyamaza kimya hawatamani hata kuwasikia
Gaza kupitia magaidi wa hamas 7october walichokoza kidogo tu Israel Leo miji yao ni magofu wanagombea CHAKULA Cha misaada
Misri ilipigwa imetulia kimya hata kuwafungulia ndugu zao mlango wa Rafah wakimbilie...
Hamas wamekubaliana na marekani kumuachia raia pacha wa israel na marekani hapo kesho,baada ya mazungumzo ya Hamas na marekani
Marekani hivi karibuni imekua ikiingia makubaliano na makundi hasimu ya mashariki ya Kati bila kuihusisha israel,yakiwemo makubaliano na houthi ambayo yalipiga pande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.