israel

  1. inamankusweke

    JamiiForums Tanzania Iran imefanikiwa kuvuna taarifa nyingi za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel

    Iran leo ilitangaza kuwa ilifanikiwa kukusanya taarifa nyingi juu ya program za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel kwa kuwatumia waisrael Iran inesema nyaraka hizo ni nyingi zikiwa na picha mnato na mjongeo(video) Mwezi April bwana Mizrah na atio, wayahudi wa israel,walidakwa na idara za...
  2. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Hivi Wamarekani wanatumia sheria gani kuweka vikwazo nchi zinazopinga tawala za kisheria lakini wanashindwa kuwachukulia hatua Israel?

    Kuna double standard hata katika nchi ambazo mnaona kuna utawala wa kisheria,Mwenye mamlaka daima hawezi kufanana na wewe hata iweje.
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Sio kwa Ubaya: Ndugu zetu wako nyuma sana kwenye kupambania Ukweli. Ndo mana wameizunguka Israel ila Palestina anapigwa kila siku na wao wapo tu

    Kizazi cha ndugu zetu kilichokuwa na akili kidogo ni kile cha kina Gamal Abdel Nasser aliyekuwa Rais wa Misri miaka ya 1960. Kizazi hiki ndo the Golden Generation ya hawa ndugu zetu. Pamoja na unyonge ila waliweza kusimamia kweli na kuitetea kweli. Waliisimamia Palestina dhidi ya Israel hadi...
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo yanayoikuta Israel kuelekea kushindwa vita na Hamas

    Yale yaliyotabiriwa awali na wachambuzi mahiri wa vita kati ya Hamas na jeshi la Isael sasa ndio yanakaribia kuwa kweli. Msemaji wa jeshi lsrael kwa mdomo wake wakati wa mahojiano na kipindi cha televishei ya BBC amesema kwa sasa jeshi lake lina upungufu wa askari 10,000 ili kuendelea na vita...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Naamini muda sio mwingi Israel ataishambukia Iran ni baada ya kukataa ushauri wa US, Sababu , Nia na uwezo wanao

    Wadau hamjamboni nyote? It's a matter of time before things starts Happening in Iran. Israel await us greenlight before it launches attack
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Askari wanne wa Israel wauwawa huko Gaza

    Wanajeshi 4 wa IDF wameuawa na wengine 5 kujeruhiwa baada ya jengo lililokuwa limetek wa milipuko kusini mwa Gaza kuporomoka. Wanajeshi wanne wa Israel wameuawa na watano kujeruhiwa na mlipuko katika jengo moja kusini mwa Gaza ya Khan Younis asubuhi ya leo, jeshi latangaza. Wanajeshi wawili...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania wafanyikazi wa ujenzi wa Chini Takriban wafanyikazi 1,000 tayari wametua Israel.

    Kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa Operesheni za kijeshi huko Gaza .wafanyikazi wa ujenzi wa China wanarejea Israeli. Takriban wafanyikazi 1,000 tayari wametua, kuashiria mwanzo wa wimbi kubwa la waliofika. Kwa jumla, wafanyakazi 4,000 wa China wanatarajiwa chini ya makubaliano ya nchi mbili...
  8. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Lengo la Mungu kuwatoa Wana wa Israel Utumwani na kuwaua jangwani Kwa maelfu lilikuwa ni lipi?

    Mods Uzi huu usiunganishwe popote unajitegemea. Kitabu Cha mwanzo sura ya 40 ndo mwanzo halisi wa Wana wa Israel kuingia misri na kuwa watumwa rasmi Kitabu Cha kutoka sura ya 3 Mungu anajitokeza na kumuamru Musa aende akawakomboe Wana wa Israel kuwatoa Utumwani. Maandiko yanasema.... Kutoka...
  9. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israel inatoa silaha kwa makundi ya kihalifu wawasaidie kupambana na Hamas huko Gaza

    Wanaukumbi. Israel’s Prime Minister Benjamin Netanyahu has said the country is using armed gangs in Gaza to help fight Hamas, his admission coming after a new wave of military strikes on the besieged Gaza Strip that left at least 52 Palestinians dead. ================ Waziri Mkuu wa Israel...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Israel yaunda kundi jingine la wanamgambo wa Kipalestina huko Gaza na kulipa silaha

    Kiongozi wa Upinzani huko Israel bwana Yair Lapid ameishutumu serikali ya Israel chini ya Benjamin Netanyahu kwa kuunda kundi jingine la wanamgambo huko Gaza na kuwapa Silaha. bwana Yair amesema kuwa kitendo hicho kinahatarisha maisha ya wanajeshi wa IDF maana silaha zitakuja kuishia kwa...
  11. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Israel yasema italipua ghala na kiwanda cha Drone za Hezbollah leo - Raia waanza kuhama eneo husika

    Jeshi la Israel lilidai siku ya Alhamisi kuwa “maandalizi yanaendelea kwa ajili ya kushambulia miundombinu kadhaa ya chini ya ardhi inayotumika kutengeneza ndege zisizo na rubani (UAVs) ambayo imeanzishwa” katika maeneo ya kusini mwa mji wa Beirut. Likitaja makubaliano kati ya Israel na...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Msafara mwengine kuvunja uzio wa Israel huko Gaza utatokea Misri.Ni wa waandishi wa habari,madaktari na wote watakaopenda kujiunga

    Wakati Marekani na Israel wakiendelea na kuwamaliza wapalestina kwa mabomu na njaa,Watu waliobaki na ubinadamu duniani wanazidi kutafuta mbinu za kufika Gaza kuwaokoa wahanga hao. Huku msafara kwa njia ya bahari kupitia Freedom Flotila ambao yumo Greta Thunberg ukikaribia Gaza msafara mwengine...
  13. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ile kesi ya kenya waliofungua kuwashtaki israel kumuua Yesu iliishia wap?

    Mwaka wa 2013 wakenya walifungua kesi kuwashtaki israel kumuua Yesu, mwenye updates kesi iliendaje atutaarifu https://www.timesofisrael.com/kenyan-lawyer-suing-israel-over-jesuss-death/
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wawili waangamizwa katika shambulio la anga la Israel

    Shambulizi la anga la Israel limewaangamiza Mahmoud Abu Nar, mwanachama mkuu wa Harakati ya Mujahidina aliyehusishwa na utekaji nyara wa familia ya Bibas. Na pia Wapalestina wanaripoti kuangamizwa kwa Mahmoud Abu Naar, mjumbe wa baraza la kijeshi la Mujahidina Brigedi na kamanda wa Gaza ya...
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer aishutumu Israel kuhusu Gaza

    Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anashutumu hatua za Israel huko Gaza kuwa "haziwezi kuvumilika" na kutishia vikwazo zaidi, huku akipuuza ugaidi wa Hamas na mgogoro unaoendelea wa mateka. Starmer anapongeza kusimamisha mazungumzo ya FTA na kuwawekea vikwazo walowezi wa Israel, huku akitoa...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ukweli unaouma kuhusu Israel huu hapa!!!

    Wape wape vidonge vyao wakimeza wasimeze Shauli yao!!!! https://x.com/fcjoriginal/status/1913388970823803060?s=61
  17. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Vedeo - Rubio -Marekani yasema NO VISA ya kuingia Marekani kwa wenye chuki binafs na Israel waisahau Marekani

    Free Free Palestina Lengo lake ni Kuiangamiza Israel from the river to the Sea ni Kosa la kimahesabu uhuru hauombwi hivyo na chuki hazijawahi kushinda vita vya muda mrefu.. Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe. Wenye Chuki watasaidiwa kufika Gaza wapigane na Israel na kama hawawezi basi...
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Askari watatu wa Israel wafariki vitani huko Gaza

    Wanajeshi watatu wa IDF wafariki vitani katika Ukanda wa Gaza: Staff-Sajent Lior Steinberg, umri wa miaka 20, kutoka Petah Tikva, daktari katika mapigano (Cpmbat Medic) kutoka kikosi cha Rotem Recon, Kikosi cha 9, Brigade ya Givati, alifariki vitani kaskazini mwa Gaza. Staff Sajent Ofek...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Makomandoo wa Hamas wavamia battalion ya Jeshi la Israel waua wanajeshi 3 huko Gaza, 2 wajeruhiwa vibaya

    Wadau hamjamboni nyote? Three Israeli soldiers were killed and two were wounded by an explosive device during operations in northern Gaza’s Jabalia yesterday evening, the military announces. The slain soldiers are named as: Staff Sgt. Lior Steinberg, 20, a combat medic, from Petah Tikva...
  20. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Warabu Wa Gaza Wafurahia mgao mpya wa Chakula cha Msaada Dezo, wataka mpango huo wa Israel na USA uendelee wasema UN ni Hamas mafisadi

    Mpango huu ni pigo kuu kwa Hamas maana walitaka kuthibiti chakula ili kuandikisha magaidi wapya kwa mshahara wa Chakula cha Kuiibia raia kimabavu.. Israel imesema inafugua vituo vingine zaidi vya kugawa chakula. Aljazeera wameumia sana na ndio wamezidisha chuki na heading news zao hadi wasomaji...
Back
Top Bottom