Israel yashambukia kinu kingine Cha nuclear Iran

Israel yashambukia kinu kingine Cha nuclear Iran

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,252
Reaction score
9,305
Wadau hamjamboni . nyote

Milipuko miwili imetokea karibu na kituo cha nyuklia cha chini ya ardhi cha Fordo nchini Iran, shirika la habari la Fars linalohusiana na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limethibitisha.

Two explosions hit areas near Iran's Fordo nuclear site - IRGC outlet

Two explosions have hit areas close to Iran's underground Fordo nuclear facility, the IRGC-affiliated Fars News confirmed. By Iran International
 
Hicho cha Fordow Israel ataishia kupiga majengo ya juu, lakini vyombo vyenyewe vya kuenrich uranium viko chini sana mile nyingi underground hata Bunker buster hazichimbui
 
Wadau hamjamboni . nyote

Milipuko miwili imetokea karibu na kituo cha nyuklia cha chini ya ardhi cha Fordo nchini Iran, shirika la habari la Fars linalohusiana na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limethibitisha.

Two explosions hit areas near Iran's Fordo nuclear site - IRGC outlet

Two explosions have hit areas close to Iran's underground Fordo nuclear facility, the IRGC-affiliated Fars News confirmed. By Iran International
Loh! Hizo radioactive emissions zitakazotoka hapo kuna usalama kweli? Iran amechagua kuiharibu nchi yao wenyewe! Wategemee mapooza ya kutosha in the near future!
 
Israel inajua kuliko wewe, ndiyo maana imeigeuza Iran shamba la bibi, inajivunia viongozi na mifumo ya Iran itakavyo
Leo asubuhi Iran imetumia drones zaidi ya 200 wakijaribu kulipa kisasi ndiyo maana jioni hii Israel nao wamelipua kiwanda cha kutengeneza drones ( UAVs) pamoja na centrifuges zingine za nuclear....
Kipigo cha safari hii hakuna kupoa tena ni kupiga Tu silaha zote za iran
 
Back
Top Bottom