Magaidi wa Houthi wanaendelea kuchezea shurubu za SIMBA kwa kurusha kombola la Balistic nchini Israel na limepopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel.
Wanaukumbi.
BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam:
"Picha kutoka kwa mashambulizi ya "Simba wa Al-Muntar", ambayo yalilenga askari na magari ya adui katika kitongoji cha Al-Shuja'iya, mashariki mwa Jiji la Gaza, Aprili 25, 2025.
Kanda hii inaonyesha mapigano ya saa mbili huku jeshi la Israel...
Najaribu kujiuliza.
Aliposhambuliwa na Hamas aliwapiga Hadi Sasa hawewezi kabisa kujibu na hawajajibu chochote.
Aliposhambuliwa na Hesbullah aliwapiga sana na kiongozi wao ambaye walikuwa wanamfuatilia miaka yote wakaamua kuumoteza. Hesbullah imepigwa kiasi cha kunyimwa kabisa uwezo wa kurusha...
Ni kweli kabisa Majeshi ya Israel yalijaribu mara moja kutaka kumuua Mwandishi huyo wa Kipalestina Hassan Aslih na kumjeruhi vibaya sana akalazwa Hospitali ambako jana waliamua kumfuata huko huko na kumuangamiza bila huruma yoyote.
Swali linarudi kwa nini Israel ilitaka sana hasa kuwaua...
Kulingana na ripoti kutoka Gaza, mwandishi wa habari wa Palestina Hassan Aslih, anayejulikana kwa kuandika shambulio la Hamas la Oktoba 7 na kuwa na uhusiano wa karibu na Hamas, aliuawa katika shambulio la anga la Israel katika Hospitali ya Nasser huko Khan Younis.
Alikuwa amelazwa hospitalini...
“Yemenia”: Our Aircraft are Insured Against War Globally Except for Yemen’s Airports Due to “International Classification”
Yemen Airways imepinga kwa nguvu taarifa "zisizo kweli na zisizo sahihi" zilizosambazwa na baadhi ya mashirika ya habari ya kimataifa, ambayo yalidai kwamba ndege za...
Maajabu Jordan yagoma kupokea mwili wa gaidi mfungwa wa kundi la kipaleatina Islamic jihad na kuurudisha misri aliachiwa huru na Israel
Wadau hamjamboni nyote?
Moatassem Radad ni mpalestina mwenye asili ya Jordan na alikuwa gaidi hatari wa kundi la kipaleatina la Islamic jihad na
Alikuwa...
Waarabu waliokutana na kisasi Cha Israel wamenyamaza kimya hawatamani hata kuwasikia
Gaza kupitia magaidi wa hamas 7october walichokoza kidogo tu Israel Leo miji yao ni magofu wanagombea CHAKULA Cha misaada
Misri ilipigwa imetulia kimya hata kuwafungulia ndugu zao mlango wa Rafah wakimbilie...
Hamas wamekubaliana na marekani kumuachia raia pacha wa israel na marekani hapo kesho,baada ya mazungumzo ya Hamas na marekani
Marekani hivi karibuni imekua ikiingia makubaliano na makundi hasimu ya mashariki ya Kati bila kuihusisha israel,yakiwemo makubaliano na houthi ambayo yalipiga pande...
Wadau hamjamboni nyote?
Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa ndugu zetu Wapalestina na waarabu kwa ujumla wao
Njia pekee ya kumaliza vita Mashariki ya kati na kuishi kwa amani ni kutambua na kukubali kuwa Mayahudi ni taifa teule lenye baraka zote za Mungu
Watambue kuwa kushindana na wsteule hao...
Mwanadiplomasia wa Marekani nchini Israel amefichua mpango ambao utaanza hivi punde wa kuingiza misaada eneo la Gaza ili kuokoa maisha.
Huckabee amesema mpango huo utashirikisha makampuni binafsi na kwamba Israel haitohusika isipokuwa kwenye ulinzi tu kwani hilo ni eneo la vita bado.Mpango huo...
Wanaukumbi.
⚡️BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam:
"Angalia: kama sehemu ya mfululizo wa operesheni ya "Gates of Hell" mashariki mwa mji wa Rafah… Vikosi vya Al-Qassam vinafanya mashambulizi ya kuvizia yakiwalenga askari wa adui karibu na Project Junction mashariki mwa Rafah, kusini mwa Ukanda wa...
Wakati raisi Donald Trump akijitayarisha kuanza ziara ya mashariki ya kati hivi punde,utawala huo umeonekana kubadili nia ghafla kuhusiana na vita vya Gaza.
Katika ziara hiyo raisi Trump atazitembelea Qattar,Saudi Arabia na umoja wa falme za kiarabu bila kuingiza ratiba ya kuizuru Israel.Balozi...
Wanaukumbi.
⚡️BREAKING: "Matukio mawili ya usalama" huko Gaza. - Kauli ya Al-Qassam.
Al-Qassam ililipua jengo lililokuwa limenaswa na askari wa Israel mjini Rafah na kuwaacha wanajeshi sita wakiwa wamekwama chini ya vifusi. Moto mkali unaendelea huku jeshi likihangaika kuwaondoa maiti na...
Kumetokea mapigano yasiyo ya kawaida eneo la mpaka wa kusini wa Gaza na kupelekea kikundi kikubwa cha askari wa Israel kuripukiwa na bomu wakati wamo ndani ya jengo moja mpakani huko.
Habari hizo zimeripotiwa kwa mara ya mwanzo na waandishi wa shirika la Telegraph na haijathibitishwa idadi...
Hali ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Yemen mjini Sanaa siku moja baada ya shambulio kutoka Israel. Hakuna kilichosalia. Inasemekana Yemen wamedai kupata hasara ya dollar za kimatekani nusu bilioni kufuatia shambulio hilo
Khaled al-Shaif, the head of the airport, told the Houthis' al-Masirah...
IDF ilitambua kombora lililorushwa kuelekea Israeli kutoka Yemen na magaidi wa Houthi ambalo liliangukia eneo la ardhi ya Saudi Arabia bila kudunguliwa siku ya Jumatano, kulingana na ripoti katika vyombo vya habari vya Israeli.
Siku ya Jumanne, Israeli ilifanya mashambulizi ya anga yaliyolenga...
Baada ya Hauthi kusitisha mapigano, Seneta anayemuunga mkono Trump Tales asema Israeli 'Fanyani muwezavyo kwa ajili ya Kujilinda'
Seneta wa Republican Lindsey Graham wa Carolina Kusini, mmoja wa watiifu wakuu wa Trump katika baraza la juu la Bunge la Merekani, amesema Israeli kwa sasa ipo peke...
Ni siku ya pili ya mashambulizi, siku ya jana kwenye shambulio la kwanza Israel imelipua bandari kubwa ya Hodeidah na kiwanda cha saruji cha al-Imran.
Mapema siku ya leo katika muendelezo wa mashambulizi Israel iliagiza Wayemen wanaoishi jirani na uwanja wa ndege wa kimataifa wa sanaa wahame...
Anachofanya myahudi ni kurudisha teke kutokana na ngumi aliyopigwa.
Adui wa yemeni ni houthi na iran.
Ila hawa vijana wa itikadi kali hawatakaa hawaelewe maana wamezoea fujo na mioyo yao ipo engineered tangu utoto kuichukia israel.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.