israel

  1. X

    JamiiForums Tanzania Kwa nini China haijaisaidia Iran kwenye vita vyake na Israel?

    Wengi wamekuwa wakisema China sio mshirika wa kuaminika kwa Iran. Ila tatizo liko kwa Iran yenyewe Kwanza kabisa China haina ushirika wa kulindana na Iran na wala hawajawahi kusign bilateral security and defence partnership. China ikiwa bado haina nguvu kubwa za kijeshi kama sasa imewahi...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Mods Tuanaomba habari zote za Vita ya Israel na Iran ziwe kwenye uzi Mmoja. Zimegeuka kero hapa JF

    Mods tunaomba hizo habari za Vita ya Israel na Iran ziunganishwe kwani zimekuwa kero na nyingi ni za uongo. Nawasilisha.
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Makao makuu ya usalama wa taifa Iran yasambaratishwa na Israel

    Kichaa Myahudi amewehuka, anapiga tu, hivi karibuni mtasikia ikulu na yenyewe ni majivu..... IAF strikes Tehran's Internal Security HQ ByJERUSALEM POST STAFF Israel Air Force jets destroyed Iran's Internal Security Headquarters in Tehran on Wednesday, Defense Minister Israel Katz said. Iran's...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania TETESI: Israel yalipua bunker alipokuwa amejificha Ayatollah

  5. Watery

    JamiiForums Tanzania Israel -Iran war: Watu 585 wafa, 1326 wajeruhiwa kwenye shambulio la Israel Tehran leo

    https://youtu.be/gN12y0uq2Ds?si=RrGmQarChpzzlfmu
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Israel inafanya mambo yote kujilinda na kimkakati, sio mwendawazimu anayeshambulia kila mahali tu

    Kama taifa au kikundi cha watu hawana mpango au njama za kuidhuru na kuingamiza Israel kama taifa na raia wake basi yenyewe inakuwa haina mpango wa kushughulika na hiyo nchi au kikundi cha watu ndio maana Israel haina shida na majirani zake wengine wa karibu kama Misri, Jordan na Saudi Arabia...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Israel Taratibu Ananza Kukiri Ndege Zake Zimeangushwa

    Walikuwa wanakataa sa wameanza kukubali leo wamekiri kuna ndege yao imeangushwa https://youtu.be/4R3XpS3og1c?si=MFyCN2dqy7l9qucJ
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Israel imemuaa Mkuu wa Majeshi mpya wa Iran, Jenerali Ali Shademani, ambaye alichaguliwa siku 4 zilizopita

    Israel imemuaa Jenerali Ali Shademani yaani Mkuu wa Majeshi mpya wa Iran ambaye alichaguliwa kushika nafasi hiyo baada ya aliyekuwa mkuu wa Majeshi kuuawa na Israel. Jenerali Ali ametumikia nafasi hiyo kwa siku 4 na masaa 3 tu. Taarifa imethibitishwa na kiongozi mkuu wa Iran.
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Israel imekosea kama Hamas ilivyokosea

    Wanasema Israel ni taifa la Mungu lakini inaonekana kama ni taifa Marekani tu. Haimtegemei Mungu kwa Kila kitu bali inamtegemea Marekani kwa Kila kitu, hailindwi na Mungu inalindwa na Marekanani. Je, ni taifa la Mungu? Hamas walianzisha ugomvi na Israel ikapata sababu ya kupiga hadi Leo. Sasa...
  10. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ya Iran ilikuwa na malengo ya kulifuta taifa la Israel?

    Inakuaje Serikali ya nchi flani ijipange kuifuta nchi nyingine? Hapa najiuliza sipati jibu. Taifa kutafuta NGUVU za kivita ukiwa na lengo ya kuzitumia sio kujilinda bali kwenda kuliangamiza taifa lingine ambalo liko zaidi 2000 km kutoka hapo ulipo. Mbona Kuna mataifa MENGI ya kiislam tena...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Raia walionywa waondoke Tehran, sasa Israel imeanza mapigo rasmi, msije kulaumu, mlipewa muda wa kuondoka

    Kuna maeneo maalum ambapo raia waliagizwa waondoke, hivyo yeyote aliyebaki hapo anachukuliwa kama mwanajeshi, Israel imeanza kupiga.... Israeli Air Force fighter jets seen attacking Iranian nuclear targets, June 15, 2025(photo credit: IDF SPOKESPERSON'S UNIT) An evacuation has been issued to...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Ayatollah ni muovu sana ila Marekani na Israel wanajichanganya sana pia

    Kabla ya Trump kuingia madarakani awamu ya kwanza, Obama alikuwa amefanikisha kupatikana kwa makubaliano ya udhibiti wa nuclear Iran yaliyojulikana kama Joint Comprehensive Plan of Action(JCPOA) mwaka 2015 ambayo ilikuwa ni kuhakikisha Iran inarutubisha uranium kwa matumizi ya kiraia tu ya...
  13. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Iran kurusha video za rubani wa Israel waliyemdungua

    Iran wamesema nchi na dunia itashuhudia kupitia TV rubani wa kike wa f-35 akisema wapi ndege zao ziliongezewa mafuta kabla ya kuelekea Iran,pamoja na mengine Kumbe ndiyo maana israel imeshambulia TV ya serikali ya Iran,aibu ya f-35 na kupoteza soko
  14. Jeremiah Stephin

    JamiiForums Tanzania Sababu za mgogoro wa Israel na Iran

    Mgogoro kati ya Iran na Israel ni wa muda mrefu na umechochewa na sababu kadhaa za kisiasa, kijeshi, kiitikadi na kijiografia. Hapa kuna sababu kuu zinazochochea mgogoro huu: 1. Tofauti za Kiitikadi na Kifalsafa Iran ni Jamhuri ya Kiislamu inayotawaliwa kwa msingi wa Uislamu wa Kishia (Shia...
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzetu mliopo Israel na Iran, ni vyema mkaondoka katika nchi hizo mapema

    Huyu jamaa alikuwa anatafutwa kuguswa kwa bahati nzuri ameguswa,
  16. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili Marekani itajiunga na vita ya Iran-Israel. Rais Trump akatisha ziara ya G7

    Rais Trump kakatiza ziara yake ya kikao cha G7 huko Canada. Tayari inadaiwa ndege za kivita za Marekani zimeanza kuruka kulizunguka anga la Iran. Endapo Marekani itaingia kwenye hiyo vita, Iran ndo basi tena. Maana hakuna mpinzani wa Marekani ikija kwenye mambo ya kijeshi [ukiacha makomandoo...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa Iran dhidi ya Israel kunatupa mafunzo yafuatayo;

    Mpo salama! Tunajua kabisa Iran inaonewa na kudhulumiwa lakini ndivyo mambo ya falme na tawala za dunia zilivyo. mdogo kumtii Mkubwa. Na kama mdogo akikaidi basi njia zozote hata zisizo halali hutumika. Mwanadamu ni Mnyama aliyechangamka. Mifumo yake ya utawala haiko mbali na wanyama wa...
  18. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Israel imemuua Ali Shadmani mshauri mkuu wa Kivita wa Ayatollah

    Hali inazidi kuwa tetes hivi Israel inawapataje hawa? Hili ndo swali ninalojiuliza kila wakati. Maana naona wao wanaua mara moja tu. Sisi tulishamuua sana Benjamini Netanyau kwa mujibu wa Ritz kipindi flani alikuwa kila mara akipost habari za kuuawa kwa Netanyau.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mungu wa Israel ni mkuu

    Iran kwa miongo minne amekuwa akitengeneza na kutekeleza mikakati ya kuiangamiza Israel. Katika foreign policy yake kuifuta Israel ni moja ya sera zake za nje. Iran ameunda vikundi vya kigaidi kuizunguka, Israel katika nchi za Lebanon, Syria, Iraq, Yenen na Gaza; vikundi hivyo amevipatia...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Israel yaweka udhibiti mkali wa taarifa kuhusu vita yake na Iran

    Kama Israel inashinda hii vita na kweli inazuia mashambulizi dhidi ya Iran, Kwanini inazuia media kutoa taarifa? Hadi channel za YouTube zimezuiliwa kurusha matangazo upande wa Israel. Hii inamaana kutakua na mchujo mkubwa wa habari. Na huwenda tutakua tunadanganywa sana upande wa Israel...
Back
Top Bottom