Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,290
- 5,229
CCM nao ni Maisraeli?
Hii islael siyo Ile ya mussa hii ni ya mchongo mchongo tuuhHAO WAISRAEL KAMA WANGEKUWA WANAMTAMBUA YESU, NINGEWAELEWA; LAKINI KWA KUWA HAWAMTAMBUI YESU NA BIBLIA YAKE NA PIA HAWATAKI KABISA KUSIKIA HABARI ZA MAMA YAKE YESU;
ANAYEWASHABIKIA NI YULE ASIYEKUWA NA MAARIFA!
Hata hivyo vita imepigwa na Marekani , israeli ilikuwa pale kama kanya boya tu!
Umepotosha, Ahmed vahidi bado yupo na ndio kawa promoted kuwa mkuu wa majeshi.
Sasa hivi anavaa buibui kininja kama mwanamke kisa Myahudi 😆😆😆😆Umepotosha, Ahmed vahidi bado yupo na ndio kawa promoted kuwa mkuu wa majeshi.
View attachment 3621703