israel na iran

On 1 October 2024, Iran launched 200 ballistic missiles at Israeli targets in at least two waves, marking the largest attack during the ongoing Iran-Israel conflict. The missile attack was codenamed Operation True Promise 2 (Persian: عملیات وعده صادق ۲) by Iran. It was the second direct attack by Iran against Israel after the April 2024 strikes.
Iran claimed that the attack was an act of "self-defense" in retaliation for Israel's assasinations of Hamas leader Ismail Haniyeh in Tehran, Hezbollah leader Hassan Nasrallah, and IRGC general Abbas Nilforoushan. The attacks, while more successful at saturating Israeli air defenses than in April, did not appear to cause extensive damage. Israel said it had shot down most of the missiles and there had been no harm to its Air Force's capabilities. The US Navy and Jordan also reported intercepting missiles. The two fatalities caused by the attacks were a Palestinian man killed directly by missile debris and an Israeli man indirectly. Four Palestinians, two Israelis and two Jordanians sustained minor injuries.
20 to 32 missiles hit the area of the Nevatim Airbase in the Negev, damaging a hangar and taxiway. Several others hit the Tel Nof Airbase, a school in the nearby town of Gedera, and an area north of Tel Aviv around the headquarters of the Israeli intelligence services Mossad and Unit 8200, damaging homes and a restaurant. Israeli media were barred from publishing the exact locations of impacts. Analysts suggested that Israel had deprioritized protecting Nevatim since "the cost of repairing a damaged hangar or runway is far lower than the cost of using an Arrow interceptor." Iran used the Fattah-1 and Kheibar Shekan.
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu called it a "big mistake" and vowed that Iran "will pay" for it. The US promised "severe consequences" and pledged to work with Israel to ensure Iran faces repercussions for its actions. Iran claimed the targets it attacked were those involved in the Israel–Hamas war.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Kwa anachokifanya Israel dihidi ya maadui zake ni dhahiri kuwa yeye ndo bingwa wa 'Intelligence' duniani

    Wangapi tunakubaliana sasa kuwa kwa anachokifanya Israel hasa Kimashambulizi dhidi ya Maadui zake wao ndiyo Mabingwa wa 'Intelligence' duniani? Na wanachonifurahisha zaidi ni kwamba Mashambulizi yao yote yana Target halafu huwa wanayapangilia Kiuhodari kabisa baada ya Kujihakikisha pasi na...
  2. Allen Kilewella

    Israel wanaficha lakini Iran wanaonesha... Hapo vipi?

    Kwenye vita inayoendelea kati ya Israel na Iran, Kuna mambo yananishangaza Sana, lakini hili moja limezidi mengine. Kila Israel ikishambuliwa zinaonekana juhudi za kuficha madhara yanayotokana na kushambuliwa na Iran kwa nchi hiyo. Lakini Iran ikishambuliwa, unaona juhudi kubwa Sana ya...
  3. bwawani90

    Ikiwa ubashiri wako vita ya Israel na Iran, Israel akisaidiwa na Marekani ni mihemuko kiimani. Jitafakari

    Nimekaa na kuwaza kwa kina pamoja na ukweli kwamba imani yangu haifungamani na upande wowote, ni vizuri ukajiuliza. Wengi wa wachambuzi wanakimbilia maandiko yamesema kwamba iran itapotea kwenye ramani. Wengine wanadai Israel itapotea na wengine marekani inaendelea kutafuta shimo la kupotelea...
  4. R

    Maneno ya Askofu Suguye kuhusu vita ya Marekani, Israel na Iran asisitiza siyo vita ya Kidini

    Haya sasa wale wachambuzi wa hii vita wanaodai ni ya kidini kati ya wayahudi-Israel na Waislam upande wa Iran, Kwa upande wangu naunga kauli hii ya askofu. Hii vita tuache kabisa kuihusisha na masuala ya dini, hawa jamaa issue yao kubwa ni nani ana nguvu na ana nini ambacho ni tishio kwetu...
  5. Mhaya

    Chanzo cha Mgogoro wa Marekani, Israel na Iran uliopelekea kuuawa kwa Kiongozi wa Iran Ayatollah Ali Khamenei

    Mvutano kati ya Marekani na Iran una mizizi ya kina katika historia, itikadi na mapambano ya madaraka, na kupanda kwa nguvu kwa Maimamu Wakuu (Ayatollah) kulibadilisha kabisa uhusiano huo. Ili kuelewa kama Ayatollah alikuwa “tatizo” kwa Marekani na Iran, ni lazima tuanze kabla ya Mapinduzi ya...
  6. Sir John Deere

    Nikikumbuka vita ya siku 12 kati ya Israel na Iran nacheka sana

    Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.🤣 Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother...
  7. gallow bird

    Awamu ya pili vita israel na Iran inanukia

    Ndani ya wiki moja baada ya kusitisha mapigano, israel imepokea zaidi ya tani 800 za silaha toka marekani, ujerumani na nchi za magharibi,bila shaka na makombora ya udunguaji ya iron dome Pakiwa na taarifa kwamba awamu ya pili ya mashambulizi itakua mzito zaidi na kuenea zaidi ndani ya iran...
  8. ELI COHEN

    SI KWELI Iran wameanza kunyonga watu wanaowashutumu kushirikiana au kuisifia Israel wakati wa vita

    Wamekabwa koo vita nzima sasa wameanza kuua wenzao kwa hasira ya kushindwa🤣🤣
  9. Meneja Wa Makampuni

    Iran wamejitafutia matatizo

    Lengo la Israel ni kutaka kutengeneza fitina ndani ya Iran ili kutengeneza mazingira ya utawala wa sasa kupinduliwa. Utawala huu wa Kiislam uliingia kwa mapinduzi ya 1979 (wakati sisi tuko busy na Idd Amin). Kabla mwaka 1953 Marekani na ulaya walisaidia mapinduzi yaliyo uweka utawala wa...
  10. Mlaleo

    TRUMP Atangaza kusimamishwa kwa muda wa saa 12 vita Israel na Iran. - Baada ya Masaa sita yajayo war will stop

    Trump in dramatic announcement: Israel and Iran have agreed on a ceasefire US President Donald Trump announces that Israel and Iran have agreed to a 12-hour ceasefire, beginning in six hours: This is a War that could have gone on for years, and destroyed the entire Middle East, but it didn’t...
  11. Pearce

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, aomba ruhusa kwa Israel (Wayahudi) kusafiri kwa ndege kwenda Geneva

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, alikutana jana (Ijumaa, Juni 20) huko Geneva na mawaziri wa mambo ya nje kutoka nchi mbalimbali za Ulaya kujadili maendeleo ya kisiasa katika eneo la Mashariki ya Kati. Hata hivyo, kutokana na hali ya sasa ambapo anga la Iran lipo chini ya...
  12. Papaa Mobimba

    Serikali: Watanzania waliopo Israel na Iran kurejeshwa nchini

    HALI YA WATANZANIA NCHINI ISRAEL NA IRAN KUFUATIA MASHAMBULIZI BAINA YA TAIFA LA ISRAEL NA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN DODOMA, 19 JUNI 2025 Kufuatia mashambulizi yanayoendelea kati ya Taifa la Israel na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yaliyoanza tarehe 13 Juni 2025, hali ya usalama katika mataifa...
  13. R

    Trump atoa dirisha la wiki mbili kufanya majadiliano ya amani na Iran. Muda ukiisha atishia kuishambulia Iran

    Uamuzi wa Rais Donald Trump kufungua dirisha la majadiliano la wiki mbili kabla ya kuamua iwapo ataiamuru Marekani kuishambulia Iran umechochea harakati za haraka za kuanzisha tena mazungumzo ambayo yalikwama wakati Israel ilipoanza mashambulizi yake wiki iliyopita Kwa mujibu wa maafisa wa...
  14. Z

    Mods Tuanaomba habari zote za Vita ya Israel na Iran ziwe kwenye uzi Mmoja. Zimegeuka kero hapa JF

    Mods tunaomba hizo habari za Vita ya Israel na Iran ziunganishwe kwani zimekuwa kero na nyingi ni za uongo. Nawasilisha.
  15. Jeremiah Stephin

    Sababu za mgogoro wa Israel na Iran

    Mgogoro kati ya Iran na Israel ni wa muda mrefu na umechochewa na sababu kadhaa za kisiasa, kijeshi, kiitikadi na kijiografia. Hapa kuna sababu kuu zinazochochea mgogoro huu: 1. Tofauti za Kiitikadi na Kifalsafa Iran ni Jamhuri ya Kiislamu inayotawaliwa kwa msingi wa Uislamu wa Kishia (Shia...
  16. Crocodiletooth

    Watanzania wenzetu mliopo Israel na Iran, ni vyema mkaondoka katika nchi hizo mapema

    Huyu jamaa alikuwa anatafutwa kuguswa kwa bahati nzuri ameguswa,
  17. Orketeemi

    Vita ya Israel na Iran .. tuna safari ndefu kama taifa

    Niliacha kufuatilia au kusikiliza hotuba za rais Samia au wateule wake baada ya kuona hajui anachoongea. Ukifuatilia vita hii utaamini maneno ya Donald Trump kwamba nchi zetu ni Shit-holes (mashimo ya uchafu) Hivi bara la Africa ( nchi zote 52) Zina uwezo kijeshi nusu ya inaonesha Iran au Israel?
  18. Canto

    Je, Vita ya Israel na Iran Inaweza Kugeuka Vita ya Kidunia? – Uchambuzi wa Kijasusi

    Vita kati ya Israel na Iran sasa si tena mivutano ya chini kwa chini. Ni vita ya moja kwa moja, yenye mashambulizi ya makombora, drones, na mashambulizi ya anga yanayoathiri raia na miundombinu. Swali linalozidi kuulizwa sasa ni: Je, vita hii inaweza kusambaa hadi kuwa vita ya kidunia? Huu hapa...
  19. Atlast nimempata

    Katika vita ya Israel na Iran, wakati Israel anapiga kichwa cha Iran, huyo Iran anapiga mkia wa Israel

    Mod usifute huu uzu. Sijapendelea upande wowote ila nimesema ukweli. Nimefuatilia kwa karibu huu mzozo lakini nimegundua kitu cha tofauti. Iran inatuma utitiri wa mabomu ilimurani yepenye na kuanguka katika ardhi ya Israel. Wakati huo Israel ina mfumo wa kuyaripua yakiwa angani hivyo machache...
  20. Komeo Lachuma

    Picha : Uzi Maalum kwa ajili ya Kuwaombea Makamanda, Majenerali, Wakuu wa Majeshi na Vikosi, Viongozi wanaouawa na Israel huko Iran

    Tutaweka hapa picha zao ili waswaliwe kwa kweli maana gone too soon. Walipaswa wale wale bata hapa Duniyani kabla ya kwenda Ahera.
Back
Top Bottom