Israel imewaondoa kwa muda Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araqchi na Spika wa Bunge Mohammad Baqer Qalibaf kwenye orodha yake ya wanaolengwa kuuliwa baada ya kuombwa na Pakistan isiwalenge, chanzo cha Pakistani chenye ufahamu wa mazungumzo hayo kiliiambia Reuters siku ya Alhamisi...
Msemaji huyo, Ziv Agmon, alikanusha kuwa kauli zake zilikuwa za kibaguzi, akizitaja kuwa “za kipuuzi,” akidai kuwa yeye mwenyewe ana asili ya Morocco, hivyo hawezi kuwa mbaguzi dhidi ya Wamoroko.
Hata hivyo, alitangaza kujiuzulu katika taarifa iliyochapishwa Jumatano jioni, baada ya mwanahabari...
.Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr, aliyechukua nafasi ya Larijani, kuna uwezekano mkubwa aliangamizwa jana usiku baada ya maficho yake kusambaratishwa!!
Tusijisahau sana
SEKUNDE 40 zilitosha kwa Israel kuwabamiza VIONGOZI 40 (Akiwemo Ayatollah)
Tafsiri :
Unaweza kufanya nini ndani ya sekunde 40 ?
Unaweza kumimina maji kwenye glasi,
unaweza kuvaa viatu,
unaweza kuandika barua pepe,
unaweza kujipulizia manukato,
Kwa jeshi la Israel,
sekunde...
(CHANZO CHA PICHA, REUTERS)
Mkuu wa huduma za dharura anasema idadi ya watoto waliouawa nchini Iran tangu vita kuanza Februari 28 imeongezeka hadi 208.
Katika taarifa ya video iliyochapishwa na mtangazaji wa kituo kinachomilikiwa na serikali IRIB, Jafar Miadfar alisema kwamba kati ya watoto 208...
Licha ya kuharibiwa vibaya miji ya Telaviv na miji mengine. Idadi ya waliokufa Isreal tunaambiwa 5. Yaani hawa wana roho ya paka? Hata wapigwe mizinga miili yao inapangua?
Mbunge katika bunge la ulaya kaibua hoja kuwa taifa la Marekani ni silaha na walioshika silaha hiyo ni Israel na Wayahudi kauli hiyo imezua mtafaruko katika bunge la ulaya.
“Marekani ni bunduki, Wayahudi wanaishika”: Machafuko katika Umoja wa Ulaya huku Mbunge wa Ulaya akituhumiwa kwa chuki...
Huu ni mjadala unaoendelea hapa Canada kwenye moja ya social blog( Copy and Paste and Translated)
historically monotheism ilianzia pale middle east kwa hii jamii ya kiyahudi.
Baadae the whole world ikawa brainwashed na hizi man made faith ambazo zote zilikuwa instilled kwenye societies kwa...
Nachoka kabisa Mume wenu, Kaka yenu,Ndugu yenu, Rafiki yenu Chizi Maarifa. Nachoka sana.
Hawa jamaa wanasema sasa ndo wataanza kuua yaani ile mwanzo ilikuwa ni trailer sasa ndo picha litaanza rasmi. Na wamefanya onesho la mfano kwa kupiga kuangusha jengo ambalo walikuwa wamekutana viongozi wa Iran.
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu atoa ujumbe kwa watu wa Iran wakati Wafuga Midevu na Majini wanadai amekufa!!
"Niko hapa na Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Mkuu wetu wa Majeshi, mkuu wa Mossad, Mkuu wa Jeshi la Anga, makamanda wetu wakuu. Katika saa 24 zilizopita, tuliwaangamiza wakuu...
There has been a post circulating on Facebook with the caption that Yariv Levin has taken over from Benjamin Netanyahu, who is the Prime Minister of Israel.
The post was published with the following caption: "In a major political shift, Yariv Levin has been appointed as the interim Prime...
Iran’s intelligence minister Esmail Khatib
Israeli Defense Minister Israel Katz says Iran’s intelligence minister Esmaeil Khatib was eliminated in an overnight strike in Tehran.
Katz warns of “significant surprises” expected today across multiple arenas, signaling further escalation against...
Nimeshindwa kuelewa Wakristu wengi hata baadhi ya madhehebu wamekuwa wakinasibisha Israel kama njia yakwenda kwa Mungu hadi wengine Wameweka Bendera za Israel katika makanisa yao wengine wanatembe na bendera katika magari yao!
Swali nini kinawafanya waipende Israel wakati wayahudi walimtesa...
Masoud Pezeshkian ni Rais wa Iran aliyechaguliwa kwa kura nyingi za Wairani wakitarajia labda kutokana na misimamo yake ambayo haichagizwi na allah na pia mafundisho (hadith) ya Muhammad anaweza leta unafuu ktk kujiamulia maisha yao kwa Uhuru. Pezeshkian aliongezewa ktk orodha ya wagombea urais...
Uvumi wa kifo cha Netanyahu ulipoanza, Israel waliona taarifa hizo zinaweza kutumika kwenye vita. hawakupoteza muda, waligeuza uvumi huo kuwa silaha, kama msemo wa Wazungu unavyosema “ukipewa malimao, tengeneza juice ya lemonade.” Kwa ustadi wa hali ya juu, walitumia taarifa hizo kama chambo na...
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, amesema leo Machi 17, 2026 kuwa mkuu wa usalama wa Iran, Ali Larijani, ameuawa katika shambulio la Israel.
Ali Larijani amekuwa akijulikana kwa miongo kadhaa kama kiongozi mwenye msimamo wa wastani na mtazamo wa kimkakati ndani ya uongozi wa Iran...
Hawa Makafir tumeshawaweza tunataka mazungumzo ya nini nao? Tuendelee tu kupambana nao Irani inaenda kuwa Taifa kubwa Duniani. Marekani na Israel kwisha habari yao. Wameishiwa mabomu.
Wao walikuwa wanalipua michoro na matoy tu. Lakini silaha zenyewe sisi tunazo hatujatumia hata asilimia 1. Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.