irudishe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Serikali irudishe baadhi ya maeneo ya bonde la mto Kilombero kwa wananchi kuwanasuru wananchi hao na wimbi la umasikini.

    Hali ilivyo katika maeneo mengi ya bonde la Kilombero ni ya kusikitisha sana. Maeneo karibia yote yaliyokuwa yakitumika kwa shughuli za kilimo yamechukuliwa na serikali kwa kigezo cha kuhifadhi ardhi oevu na pia kuhakikisha mradi wa umeme wa bwawa la mwalimiu Nyerere una sustainability...
  2. Mkoba wa Mama

    SHULE NA WANAFUNZI BORA WATAMBULIWE NA WATANGAZWE

    Anayefanya vizuri lazima apongezwe na atambuliwe, haiwezekani mtoto amefanya vizuri mpaka kufikia kuwa Tanzania One lakini hatambuliwi na kupewa heshima yake, vilevile kwa shule zinazofanya vizuri zaidi. Kama kuna kasoro na mapungufu, mamlaka husika ziyafanyie kazi na sio kuondoa utaratibu wa...
  3. M

    FIFA irudishe sheria ya kuchomekea, vijana kwenye mpira wamekuwa wahudi sana

    Kuchomekea shati au tu kochomekea tu ni ishara ya udhanifu na heshima duniani kote. Hilo linafahamika wazi. Ukiangalia wachezaji wa mpira kabla 2005 kurudi chini walikuwa na heshima, dhanifu sana kwasababu walikuwa wanachomekea jezi. Lakini baada ya 2005 FIFA walipoivunja sheria ya...
  4. EINSTEIN112

    Bulgaria yaipigia magoti Russia yaiomba irudishe gas supply italipa kwa Rubble

    Bulgaria's energy minister Rossen Hristov said the country would likely go back to talks with Russia on resuming gas deliveries from state-run energy supplier Gazprom. Gazprom provided 90% of Bulgaria's natural gas until April, when it cut supplies after Bulgaria refused to pay in rubles...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Serikali irudishe Tsh 20,000/= Ada ya sekondari kwa mwaka

    Kwema Wakuu! Serikali inapaswa iirejeshe Ada kwa wanafunzi wanaosoma shule, nchi yetu bado hatujafikia nyakati za kutoa vitu bure, Shule ya Msingi ndio iwe Bure lakini sekondari, wanafunzi watoe pesa, Isiwe pesa kubwa Sana, iwe Tsh 20,000/= Kwa familia yenye watoto watano ni 100,000/= Kwa...
  6. B

    Rais, ikikupendeza irudishe TAMISEMI ofisi ya Waziri Mkuu; Waziri Mkuu Majaliwa atakusaidia zaidi ya ulivyo muundo wa sasa

    Mhe. Edward Lowasa alipokuwa Waziri Mkuu alikuwa msimamizi wa TAMISEMI na alitumia vyema nafasi hiyo kujijenga kisiasa na kuwa na network Kila Kona. Mzee Pinda na Mawaziri wengine wakuu waliowahi kuhudumu nchini awakufanya kama Mzee Lowasa. Lowassa alifanya vile Kwa sababu alikuwa amejipanga...
  7. DolphinT

    Serikali irudishe hadhi ya shule za Umma

    Kuanzia kipindi cha mwaka 2010 mpaka hivi sasa tumeshuhudia juhudi za makusudi zikifanywa na serikali katika kuhakikisha kuwa sekta ya elimu licha ya kukua pia inatoa huduma bora kwa wahusika. Miongoni mwa juhudi hizo ni pamoja na mpango wa ujenzi wa maabara katika kila shule ulioasisiwa na...
  8. ndenjii handsome

    Ombi: Serikali irudishe kodi ya kichwa

    Kila mmoja kwa nafasi yake inabidi awajibike kuichangia hii nchi tupate maendeleo Najua tayari kuna kodi nyingine ila hizi zilizopo sidhani kama zinatosha kuleta maendeleo kama wananchi tunavyotarajia sababu sio wote wanatoa. Nadhani ukiletwa utaratibu mzuri wa hii kodi Serikali yetu itapata...
Back
Top Bottom