iran

  1. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran asema mfumo wa ulinzi dhidi ya makombora wa Israel wa iron dome wa Israel ni mwepesi na laini kama glasi

    Wadau hamjamboni nyote? Mfumo wa ulinzi dhidi ya makombora wa Israel wa iron dome ni laini mno na upo sawa tu na glasi ya maji au juice Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: . October 02, 2024 at 08:45 Pezeshkian calls Iron Dome 'fragile,' warns of stronger response if Israel retaliates...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Israel Itapotezea kulipa Kisasi kwa Iran mpaka imalizane na Hizbola kwanza. Iran itawekwa kiporo kama Hizbola wakati wanashambulia Hamas

    Wakati Israel inashambulia magaidi wa Hamas na Hizbola ilianza kushambulia Israel ili ipoteze lengo Lakini wakaawacha tangu October 7 Hadi juzi zamu yao ilipofika Ayatollah akae Kwa kutulia asubiri zamu yake INGAwa Nia na nguvu ya kupigwa ilikuwepo sababu ndo ilikuwa inatafutwa Kwa Sasa sababu...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Iran ijipange upya. Walichoweza ni kuua Mpalestina moja wakati Israel inalipua viongozi, maghala ya silaha, pagers zikiwa mifukoni n.k

    Seriously !! Iran walichoweza hadi sasa ni kuua mplestina 1, Kupania kote kule kurusha makombora 200+ wameua mpalestina moja ? Israel Helikopta ya Rais wa Iran iliopotezwa mawinguni asubuhi, wataalam wabobezi wa Iran na Uturuki walihangaika sana kuitafuta siku nzima wakaja kuipata usiku wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao hawakuona "vimondo" vya Iran vikikung'uta Israel basi ushahidi mzuri uko katika video hizi.

    https://www.youtube.com/watch?v=O1isnJKJtVQ&ab_channel=Bobby%27sPerspective
  5. JamiiForums Tanzania Iran yasema Israel ikijibu, itaitwanga mara 1,000 zaidi

    BREAKING: Iran yasema Israel ikithubutu kurusha hata jiwe itapata kipigo zaidi ya kile cha Jana..Netanyahoo alizoea kupigana na Wanamgambo amekutana na Jeshi kamili. 🇮🇷 Statement by the IRGC: "if Israel responds, we will hit them a thousand times harder" 'In the name of God almighty; as a...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jenerali wa Iran asema tulilenga Kambi za Jeshi za Israel zinazohusika kufanya uharamia wa kuua watu wasio na hatia!

    Jeneral Mkuu wa vikosi vya IRGC vya Iran amesema kuwa Iran ilijaribu kuwa wavumilivu baada ya Israel kubreach sovereignity yao kwa kuingia ndani na kumuua mgeni wao Ismail Hanniyeh aliyekuwa amekwenda kuhudhuria kuapishwa kwa rais mpya wa Iran. Akasema kuwa baada ya Israel kumuua Jeneral wa Iran...
  7. JamiiForums Tanzania Israel vs Iran: Inaenda kutokea "Holly War" ambayo itasababisha "WW III" ambayo italeta "New World Order"

    Haya mambo hayatokei hivihivi tu, kuna injinia wako nyuma yake wanasuka mipango yao waijuayo wao. Sisi huku duniani tupotupo tu tunashangilia na ku take sides bila kufanya uchambuzi yakinifu wa "Reason Behind" ya yanayoendelea. Mwaka 2025 huenda ukawa mgumu sana kwa dunia nzima, tujipange kwa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania IDF: Mashambulizi ya Iran yamemalizika, wananchi wanaweza toka mafichoni na kuendelea na shughuli zao ila kwa tahadhari. Tutalipiza

    Msemaji wa Jeshi la Israel Brig. Gen. Daniel Hagari kupitia vyombo vya habari amewatangazia wananchi wa Israel kuwa mashambulizi ya Iran yaliyoelekezwa katika mji wa Tel Aviv yamekwisha hivyo watoke kwenye maficho yao waendelee na shughuli zao ila kwa tahadhari. Brig. Gen. Hagari amekiri kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Jeshi la Marekani ladai limetungua Makombora ya Iran, inadaiwa mpaka sasa hakuna Madhara yaliyoripotiwa

    US Navy destroyers in the eastern Mediterranean Sea intercepted Iranian ballistic missiles during Tuesday’s launch, according to a US defense official. The US currently has three guided-missile destroyers operating in the eastern Mediterranean: USS Arleigh Burke, USS Cole, and USS Bulkeley. US...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Ifahamu picha rasmi ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Iran Ayatollah Sayyid Ali Hosseini Khameneh

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeona niwaletee picha rasmi ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Iran Ayatollah Sayyid Ali Hosseini Khameneh Picha husika hutumika kwenye shughuli rasmi za kiserikali Kiongozi huyu ana Umri wa miaka 85 ya kuzaliwa Niwatakie usiku mwema
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Netanyahu kakimba Israel baada ya kusikia Iran itaishambulia Israel

    Wanaukumbi. ndege ya Waziri Mkuu Netanyahu, Zion Wing, imeondoka Israel usiku wa kuamkia leo. Hii inafuatia maonyo kutoka kwa washirika wa Marekani na Magharibi kuhusu shambulio linalokuja la Iran linalohusisha makombora ya balistiki, ndege zisizo na rubani na UAV. Mvutano unaongezeka huku...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mkuu kitengo cha kusafirisha silaha kutoka Iran kwenda Lebanon cha unit 4,400 auawa shambulizi la ndege za IDF

    Wadau hamjamboni nyote? IDF yaua Kamanda mwingine mwandamizi wa Hezbollah aendaye kwa jina la Jafar Qasir. Aliongoza kitengo maalumu almaarufu unit 4,400 kilichopewa jukumu la kusafirisha silaha kutoka Iran kwenda Lebanon. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: . October 01, 2024 at 16:36...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Je, tunaenda sasa kushuhudia kufutika kwa Utawala wa Kiayatollah kule Iran?

    Mimi mwenyewe ninaogopa kushuhudia kile kinataka kutokea, labda mwezi huu wa October. Kweli kabisa Iran ina nguvu za Kijeshi: kibaya zaidi kwa sasa inapata support kubwa toka Urusi na Uturuki. Niwajuze tu kuwa wakati wa Vikao vya UN kule New York kulikuwa na mkutano wa Foregn Ministers wa Iran...
  14. JamiiForums Tanzania Marekani yasema Iran itashambulia Israel masaa machache yajayo. Netanyahu anajaribu kumpigia Putin

    Marekani imetoa taarifa hivi punde kuwa Iran imepanga kushambulia Israel hii Leo masaa machache yajayo. Kupitia kwa intelligence mbalimbali maofisa wa marekani wanaeleza kuwa shambulio hilo litafanyika masaa 12 yajayo. Israel imesema imeshajiandaa kwa shambulio hilo na Wananchi wametelekezwa...
  15. JamiiForums Tanzania Jeshi La Israeli Limedukua Mawasiliano ya Uwanja wa Ndege wa Beirut, hakuna Ndege ya Iran kutua!

    The Israeli cyber army on Saturday hacked into the control tower of Beirut Airport, the Rafic Hariri International Airport. The IDF breached the communication network of the control tower and threatened an Iranian civilian plane attempting to land, reported the MiddleEastMonitor website. The...
  16. U

    JamiiForums Tanzania News Alert: Benjamin Netanyahu awaahidi waIran kuwa nchi yao itakombolewa hivi karibuni!

    News alert Netanyau awaahidi watu wa iran kuwa nchi yao itakuwa huru hivi karibuni , asema wataishi nao kwa amani kama ilivyokuwa zamani Waziri Mkuu huyo amewaambia watu wa Iran wasiruhusu kikundi kidogo cha wabakaji kukandamiza matumaini yao na kuua ndoto zako. Ameongeza kuwa Watoto wa...
  17. JamiiForums Tanzania Uchambuzi huu wa Saa 2 na dakika 22 utakupa mwanga wa uwezo wa Israel dhidi ya Iran, Hamas na Hezbollah

    Ukiondoa itikadi za dini na mihemko, huu uchambuzi uliofanywa na kituo cha SNS unatoa mwanga halisi wa kinacho endelea. Bigup kwa huyu ostadh ambaye anajadili facts sio zile story za vijiweni za akina Ritz na FaizaFoxy Karibuni. https://youtu.be/Fi1gKQxxBJw?si=YqdIVGOKsjvGAkpi
  18. JamiiForums Tanzania IDF inakaribia kuandaa tangazo kwamba Iran haitaweza tena kufadhili ugaidi kwa miaka 200 ijayo

    Tangazo la IDF litakuwa rahisi tu, "Iran will no longer be able to sponsor terrorism for the next 200 years" Israel atahack mifumo ya ulinzi wa anga wa Iran na kuitumia kulipua maeneo mbalimbali ndani ya Iran. Wakati huohuo ndege vita zitashambulia vyanzo vya maji na umeme ikiwemo vile vya...
  19. JamiiForums Tanzania Mullah wa Iran, Mostafa Karami: "Israel wanatumia majini katika shughuli za kijeshi"

    Hahaha mwamba anasema tangu kipindi cha Daudi na Solomon hadi sasa Israel wanatumia majini na sayansi ya nyota katika harakati zao za Kivita. Msikilize zaidi katika video.
  20. JamiiForums Tanzania Helikopta iliyobeba viongozi wa Iran na Houthi imepata ajali

    Ripoti zinaongelea kuhusu ajali ya helikopta magharibi mwa Iran, ikiwa imebeba viongozi wa Iran na Wahouthi. Hakuna taarifa rasmi kuhusu idadi ya waliofariki au kujeruhiwa kwa sasa kwani uchunguzi unaendelea. BREAKING: IRANIAN HELICOPTER CRASH WITH TOP LEADERS ON BOARD Reports are coming in...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…