PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,646
- 15,761
Nianze kwa Mastory. Kwanza ieleweke, pamoja na kile kinachoonekana kuwa ni uadui mkubwa kati ya Israel na Iran, kamwe uhasimu huu haupo kwa raia wa nchi hizi.
Uhasimu ni kwa serikali zao, lakini, miongoni mwa raia maisha yanaendelea kama kawaida na kuna to and fro za kawaida kati ya raia wa nchi hizi kwenda upende mmoja na mwingine ingawa hakuna direct flights kati ya nchi hizi lakini hiyo siyo issue kwani ni jambo lisilostua kukata ticket ya kwenda Israel kutokea Iran au kwebda Iran kutokea Israel ila lazima ni route ya kupitia nchi nyingine (lay over), hata Misri wenyewe hawana Direct flight na Iran.
Kuna Waisrael takriban 9,000 nchini iran na kuna Wairan takriban 250,000 nchini Israel. Nchini Iran, Israel ni kati ya minority groups, ambalo pia wamo wakristo na waarabu.
Myahudi au Muisrael anaishi vizuri bila ya bughudha nchini Iran. Kundi la
wasiotakiwa nchini Iran ni Wakristo. Iran inakadiliwa kuwa na Wakristo ambao ni raia wa Iran takriban 800,000, lakini wanaishi kwa siri sana na Ukristo wao.
Wakristo pekee wanaovumiliwa nchini Iran ni wale ambao ni raia wa kigeni, au Wairan ambao familia zao walikua ni wakristo tangu kabla ya Mapinduzi ya 1979. Hairuhusiwi nchini Iran mtu kubadili dini kwenda Ukristo. Unaweza ukafuata dini yoyote ile lakini siyo Ukristo.
Ingawa, katika Katiba ya Iran kuna article 13 inayokataza kuchunguza dini ya mtu, ingawa hapohapo inaji contradict kutambua minorities na kuwapa uwakilishi bungeni😃 na hapohapo Bahai hawatambuliwi na wala hawapo protected na hiyo article.
Hizi minority groups ndani ya Iran, ambazo ni Armenians, assyrians zoroastrians, Wayahudi, Wakristo na Sunni na Bahia, baadhi yao wamepewa nafasi za uwakilishi kwenye bunge la nchi hiyo ambapo Armenians wana viti viwili, halafu Wayahudi, zoroastrians na assrians hawa wamepewa kila kundi kiti kimoja cha uwakilishi wakati Sunni na Wakristo wao hawajapewa nafasi yoyote. Huku Bahia wakiwa hawatambuliwi kabisa na dini ilianzishwa hukohuko Iran.
Binafsi nina ukaribu na dada mmoja wa nchini Iran ambaye ni Daktari pia ni Mkristo na alibadili dini kutoka uislam, anasema siku ikija kujulikana itakua ndiyo mwisho wa kila kitu kwake, zaidi amesema hana mpango wa kuondoka Iran, anaamini katika uhai wake atakuja kushuhudia mabadiliko.
Nchini Iran ukijulikana kuwa wewe ni Mkristo basi watu wanaweza wakachukua sheria mkononi ya kukufanya chochote, ikiwemo kukudharirisha au kukupiga na hata ukilalamika basi hakuna msaada utapewa.
Ikitokea umefanya kosa, hata kama umesingiziwa au una mgogoro halafu ni Mkristo basi unaweza ukawekwa ndani na kutoka ni hadi hapo utakapoikana imani yako (Kumbuka kuna Article 13).
Huo ulikua ni utangulizi tu kujaribu kuonyesha kuwa Wairan na Waisrael hawana uadui, wana historia kubwa na ya muda mrefu, Iran na Israel adui yao ni mmoja tu, naye ni Ayatollah au tuseme Serikali ya Iran.
Turudi kwenye maudhui ya kichwa cha habari, Iran walifanikiwa kumpata muisrael mwenye asili ya Iran, ili kumtengeneza aweze kuwa Jasusi wao ndani ya Israel. Jamaa amefundishwa akafuzu. Akapewa vitendea kazi tayari kwenda kuianza kazi yake ya Espionage.
Siku ya safari ikafika, jamaa akapanda ndege pale Tehran Imam Khomeini International Airport kurudi Israel, ile ametua tu pale Ben Gurion Airport, kabla hata hajatoa taarifa kuwa ametua salama, akajikuta anatua mikononi mwa Shin Bet.
MOSAD tayari wameshafanya yao na sasa jamaa tayari anaendelea kufanyiwa interogation.
Daah, yaani utangulizi umekua mreeeefu kuliko story yenyewe. Haya niwatakie Mabata mema.