iran

  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Iran kabla ya mapinduzi ya Ayatollah mwaka 1979

  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania What if kama Mossad ndio wanalipua Israel na kuisingizia Iran?

    I have this intuition kwamba Mossad ndio wana lipua mabomu Israel na kuisingizia Iran, huku lengo likiwa ni kupata justification ya kuingia kwenye full scale war with Iran. My intuition is rooted from my personal understanding of Mossad's ' mode operandi". Ukisoma vitabu vilivyo andikwa na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Iran yaiondolea Israel Confidence iliyokuwa nayo

    Siyo siri, Israel ilishaanza kujisahau, ilidhani yenyewe ni superpower tayari, kumbe ni ka entity fulani ambako survival yake hapo middle east inategemea kulindwa, kukingiwa kifua, kupetiwapetwa na west. Kitu ambacho Iran kamfanyia Israel, kamwe Waisrael hawatakisahau. Israel ilidhani iko...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Trump: Marekani inaweza kumuua Ali Khamenei, ni "easy target" inajua wapi yupo ila haitafanya kwa sasa

    Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa Marekani inaweza kumuua Supreme Leader Ali Khamenei kwasababu ni "easy target" na inajua wapi alipo ila haitafanya kwa sasa ====== Trump: US could kill Iranian leader but won't - "for now" Donald Trump says the US knows where Iranian Supreme Leader Ali...
  5. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Putin: Hatutaondoa wanasayansi wetu wanaofanya kazi katika vinu vya nyuklia nchini Iran

    Putin amesema Russia haina mpango wa kuwaondoa mamia ya wanasayansi wake wanaofanya kazi katika vinu vya nyuklia nchini Iran. Itakuwaje sasa, eeeeh? https://x.com/BRICSinfo/status/1935659750152355862 JUST IN: President Putin says hundreds of Russian nuclear experts will continue working at...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Israel Katz Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ni "Hitler wa kisasa" na "hawezi kuendelea kuwepo

    Akitembelea eneo la shambulizi la kombora la asubuhi ya leo huko Holon, Waziri wa Ulinzi Israel Katz anasema Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ni "Hitler wa kisasa" na "hawezi kuendelea kuwepo." Anasema kuwa chini ya malengo ya vita ya IDF, "bila shaka mtu huyu hapaswi kuendelea...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Iran Kapeleka Ujumbe Jana Hakuna Red Line

    Iran jana kamtembezea kichapo Israel hakijawahi kutokea maisha yake na kawafikishia message US kabla ya Israel hakuna cha Red Line kwenye vita hi. Israel alizowea kupiga Hospital kule Gaza na kaenda kupiga Hospital Iran alidhani Iran hata jibu kwa kupiga Hispital jana kapiga Hospital kule...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Iran yaishutumu Israel kudukua televisheni ya taifa

    Vyombo vya habari vya Iran vimeripoti Jumatano kwamba Israel ilidukua kwa muda matangazo ya televisheni ya taifa, na kuonyesha picha za maandamano ya wanawake pamoja na wito kwa wananchi kujitokeza mitaani. Kwenye chaneli yake ya Telegram, gazeti la Hamshahri lilishiriki video ya tukio hilo...
  9. Huihui2

    JamiiForums Tanzania David Barnea: Mjue Boss wa MOSSAD aliye nyuma ya mashambulizi ya Israel kwa Iran

    David Barnea ni Mkuu wa Mossad (Shirika la Ujasusi la Israel) tangu Juni 2021. Hapa kuna muhtasari wa CV yake kwa ufupi: 1. MAELEZO YA JUMLA: Jina kamili: David (Dave) Barnea Tarehe ya kuzaliwa: 1965 Nchi: Israel Kazi ya sasa: Mkuu wa Mossad (2021–mpaka sasa) 2. ELIMU: Alisoma...
  10. kenny mtanashati

    JamiiForums Tanzania Iran imetangaza hali ya hatari kwa wananchi wa Israel, huenda ikapiga bomu la hatari duniani

    Taarifa kutoka nchini Iran zimesema kuwa leo siku ya Alhamisi huenda dunia ikaandika katika historia kwani Iran inaweza kupiga israel kombora lake la sumu ambalo halizuiliki wala kuonekana kwenye rada na linafika Israel ndani ya dk 6 tu Iran imesema haitalaumiwa kwa lolote
  11. U

    JamiiForums Tanzania Trump ameidhinisha mpango ya kuishambulia Iran

    Breaking News Trump ameidhinisha mipango ya kuishambulia Iran, - 19 Juni 2025, 12:30 asubuhi 2 Juni 18, 2025. (Brendan Smialowskyi/AFP) Rais wa Marekani Donald Trump aliwaambia wafanyakazi kwamba ameidhinisha mipango ya kuishambulia Iran, lakini...
  12. Kapepo

    JamiiForums Tanzania Erdogan asema Iran ina ‘haki halali ya kujilinda dhidi ya uonevu wa Israel’

    Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amesema kwamba Iran ina “haki ya halali, ya kiasili na ya kisheria” ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya mara kwa mara ya Israel dhidi ya malengo ya kijeshi na nyuklia, ambayo sasa yameingia siku ya sita. “Ni haki ya asili, halali na ya kisheria kwa Iran...
  13. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Kwanini Iran haitumi majeshi Gaza (Hamas) na Lebanon (Hezbollah)? : Ifahamu zaidi nchi hii inayopigana vita mtawanyo (asymmetric warfare)

    Kwanini Iran Haijapeleka Majeshi Moja kwa Moja Palestina na Lebanon? Ni swali muhimu kwa yeyote anayeangalia siasa za Mashariki ya Kati. Licha ya Iran kuwa na uwezo mkubwa wa kuingiza silaha, pesa, wakufunzi na hata kuathiri maamuzi ya makundi kama Hezbollah na Hamas, bado haijawahi kutuma...
  14. X

    JamiiForums Tanzania Kwa nini China haijaisaidia Iran kwenye vita vyake na Israel?

    Wengi wamekuwa wakisema China sio mshirika wa kuaminika kwa Iran. Ila tatizo liko kwa Iran yenyewe Kwanza kabisa China haina ushirika wa kulindana na Iran na wala hawajawahi kusign bilateral security and defence partnership. China ikiwa bado haina nguvu kubwa za kijeshi kama sasa imewahi...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Trump akataa kusema kama anapanga kuivamia Iran, asema Tehran inataka kujadiliana

    Rais wa Marekani Donald Trump amekataa kusema iwapo atauamuru mashambulizi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran, licha ya kutoa kauli hapo jana zilizoashiria kuwa anaelekea kufanya hivyo. “Naweza kufanya hivyo. Naweza pia nisifanye. Hakuna anayejua nitakachofanya,” Trump aliwaambia waandishi wa...
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Uelewano kati ya majeshi mawili ya Iran ukoje?

    Nasikia Iran ina majeshi makubwa mawili. Jeshi la kawaida na jeshi tiifu kwa Ayatollah. Uelewano kati ya majeshi haya ukoje? Maana ni kawaida majeshi kuwa na mabifu. Jeshi gani lina nguvu zaidi? Na kwa nini Israeli inaua viongozi wa jeshi moja tu?
  17. Daby

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelezwa : Iran akimiliki Nuclear Israeli inamhusu nini?

    Labda kuna sheria za kimataifa ndiyo sikatai. Najiuliza tu Iran akimiliki nuclear Israeli inam-bother nini? Je, Israel hana nuclear? Nadhani anayo. Kwanini sasa amemvamia Iran? Yaani mimi ninunue AK47 huyu jirani yangu aanzishe vita? Naomba kueleweshwa na non-mashabiki wa vita.
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Mods Tuanaomba habari zote za Vita ya Israel na Iran ziwe kwenye uzi Mmoja. Zimegeuka kero hapa JF

    Mods tunaomba hizo habari za Vita ya Israel na Iran ziunganishwe kwani zimekuwa kero na nyingi ni za uongo. Nawasilisha.
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Makao makuu ya usalama wa taifa Iran yasambaratishwa na Israel

    Kichaa Myahudi amewehuka, anapiga tu, hivi karibuni mtasikia ikulu na yenyewe ni majivu..... IAF strikes Tehran's Internal Security HQ ByJERUSALEM POST STAFF Israel Air Force jets destroyed Iran's Internal Security Headquarters in Tehran on Wednesday, Defense Minister Israel Katz said. Iran's...
  20. Sun Zu

    JamiiForums Tanzania Inasadikika China Yapeleka Makombora na Silaha Hatari Iran

    Siku moja baada ya Israel kushambulia Iran siku ya Ijumaa, ndege ya mizigo ilipaa kutoka China. Siku iliyofuata, ndege ya pili iliondoka kutoka mji wa pwani, Kisha Jumatatu, nyingine ikaondoka, wakati huu kutoka Shanghai - safari tatu za ndege kwa siku tatu. Takwimu zilionyesha kuwa katika...
Back
Top Bottom