Habari wana jf .
Kama mnafuatilia mgogoro wa iran vs Israel.Hii hapa habari mpya
---
Tel Aviv: In a major possible escalation amid the ongoing war between Israel and Iran, the Iranian army is preparing to respond to Israel’s attack that took place on October 26. Iran is expected to use more...
kama unakumbuka zile ngumi za zamani za utoto wetu unaanza kwa kuputa mchanga, kuchora mstali na kujipanga kunyukana .
leo hii Iran na wapambe wake wameputa mchanga kupigana na na Israel. Basi sisi tuwaache tukae mzunguko na kushangilia.
kula! kula! kula eeeh ! maana El Jazeera hawakawii...
Iranian woman strips clothes in protest after being assaulted for improperly wearing hijab - report
University officials claimed that the woman was suffering from "severe mental pressure and had a mental disorder."...
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran Esmaeil Baghaei amekosoa kile anachokiita uwepo wa Marekani unaotishia kuvuruga amani baada ya kutumwa kwa ndege za B-52 katika eneo hilo.
"Siku zote tumekuwa tukiamini kuwa uwepo wa Marekani katika eneo hilo ni uwepo wa kudhoofisha utulivu," Baghaei...
Yeeeerrrrreeeeh wanajamvi
Kuna uwezekano timu ya mpira maarufu kwenye ligi ya uingereza liverpool FC kukosa ubingwa msimu huu kutokana na vita huko mashariki ya kati.
Hii vita ya majibizano kati ya taifa teule Israel na Iran itapelekea kuwa vita kamili na kuwa vita ya tatu ya dunia.
Kwa...
Mwanamke mmoja wa Irana aliyejulikana kama Ahou Daryaei amezua gumzo Teheran nchini Iran baada ya kutokelezea mtaani akiwa na nguo za beach kupinga ukandamizaji unaofanywa na polisi wa maadili wa nchi hiyo kulazimisha wanawake wavae Hijabu.
Watu wengi wanauliza mchango wa kobaz wakijumlisha watu wa mashariki ya kati katika mchango wa teknolojia duniani.
Nawaletea makala kuhusu mchango wa Iran katika maendeleo ya teknolojia duniani.
Baada ya Iran zitafuata nchi zingine za mashariki ya kati.
stormryder
ward41
Bams
dudus
and 100...
Marekani imeionya Iran : “kwakweli hatutakuwa na uwezo wa kuwazuia Israel wasifanye maajabu dhidi ya Iran endapo Iran wakithubutu kulipiza kisasi, tunajua na tunaelewa nini Israel walikuwa wamepanga na haikuwa kazi rahisi kuwazuia wasifanye hivo, wakati huu hatutakuwa na uwezo si tu wa kuwazuia...
Iran imetangaza jioni hii kuanzia tarehe 4 saa 8 mchana Anga lake litafungwa Hadi tarehe 6 November saa 12.30 jioni.
Vyombo vya habari vya kimataifa vinasema tayari mambo yameiva ni wazi Iran anajiandaa kutekeleza operation true promise 3. Tukae mkao wa kula.
Katika shambulio la wiki iliyopita dhidi ya Iran, Israel iliharibu mifumo yote ya juu zaidi ya ulinzi wa anga na kuuacha utawala huo "uchi" kwa mujibu wa maafisa.
Maafisa wa Marekani na Israel wamesema katika duru mbili za mashambulizi mwaka huu, Israel imeharibu betri zote nne za mifumo ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel:
November 1, 2024
Germany urges citizens to leave Iran due to risk of hostage taking
By Reuters
Today, 1:10 pm
BERLIN, Germany — Germany has long had a travel warning for Iran and asked nationals to leave...
Habari za kuaminika kutoka vyanzo vikubwa vya habari duniani kuwa Iran itatekeleza ahadi yake ya kulipiza kisasi kwa nchi ya Israel kutoka sasa na kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani unaotarajiwa kufanyika November 5.
Iran preparing strike on Israel from Iraqi territory within days, Axios...
Wakuu jana jioni nimecheka sana. Yule jamaa aliyeongoza jopo la watu walionisomea Albadiri iliyogonga mwamba (Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana) jana kaja na mada nyingine anasema kuwa Iran inanguvu kuliko Marekani na imeizidi Marekani kwa kila kutu...
Vyombo mbalimbali vya habari Nchini Israel na Iran vimeripoti hii Leo kuwa Iran inajiandaa kuishambulia Israel kwa
makombora ya ballistic. Imeelezwa kuwa hii Leo Iran imehamisha makombora yake kuelekea magharibi mwa Iran kwaajili ya maandalizi ya kujibu mashambulio dhidi ya Israeli...
Kasheshe limeanza kueneza karibu nchi nzima kutowaamini Russia haswa wakati kama huu kuwa Russia sio kwamba anaweza kuwa bega kwa bega na Iran wakati wa Shida tu ila Russia hana uwezo pia wa kuwazuia Israel.
Russia wakizidiwa na Ukraine wanakuja kwetu tunawasaidia Drone na maroketi, tumewaomba...
Serikali ya Iran imeamua kuongeza bajeti ya kijeshi kwa asilimia 200%.
Kulingana na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI), Iran kwa sasa ina bajeti ya kijeshi ya dola bilioni 10.3. Kwa ongezeko la asilimia 200, matumizi ya kijeshi ya Iran yatapanda hadi dola bilioni...
Picha za satelaiti zilizochambuliwa na BBC zinaonyesha uharibifu wa maeneo kadhaa ya kijeshi nchini Iran kutokana na mashambulizi ya anga ya Israel siku ya Jumamosi.
Ni pamoja na tovuti ambazo wataalam wanasema zilitumika kwa utengenezaji wa makombora na ulinzi wa anga, pamoja na ile...
Channel 13 ya Israeli jioni hii inaripoti kuwa Baraza la Usalama la Israel limefanya uamuzi wa kuanzisha Hatua nyingine ya Kulipiza kisasi dhidi ya Iran hivi karibuni.
Hii ni kutokana na Jukumu lao katika Mashambulizi ya hivi karibuni ya Hezbollah, ambayo yalilenga Nyumba ya Waziri Mkuu wa...
Baraza la vita la Israel limepitisha azimio la kuishambulia Iran kutokana na shambulio la mauaji kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.
Haya yanajili baada ya picha za satellite zilizoonesha kushambuliwa kwa ulinzi na mifumo ya ulinzi ya Iran
Je kwa sasa Israel itafanya kile ambacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.