iran

  1. A

    JamiiForums Tanzania Israel Ameinua Mikono Hatuwezi Kuendelea Na Vita Bila Lengo Na Lengo Letu Si Kubadili Kiongozi Wa Iran

    Habari ya mjini ndio hio https://youtu.be/Zi_zcRCWIq8?si=EceJr5gN4HaAB4tI Iran pia kasema Dimona Nuclear inaweza kuwa target kutokana na vita inavyo kwenda.
  2. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Iran na israel watabadilishana majasusi hivi karibuni

    Iran iliwakamata majasusi watano wa Israel ikiwahusisha na kudukua mfumo wa anga la tehran na kuwatumia wenzao wa israel na siku moja baadae Iran ikapoteza uthibiti wa anga na kupelekea kushambuliwa vibaya Sasa kumbe israel ilikuwa inawajua majasusi ya tehran baada ya kuona ile habari na wao...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Nasrallah aliuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel nchini Iran

    Mlinzi wa Nasrallah aliuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel nchini Iran - Al Arabiya Aliyekuwa mlinzi wa muda mrefu wa Katibu Mkuu wa Hezbollah Hassan Nasrallah Abu Ali al-Khalil aliuawa katika shambulio la anga huko Tehran, Al-Arabiya iliripoti ikinukuu vyanzo vya Hezbollah. Mtoto wa...
  4. Sun Zu

    JamiiForums Tanzania Msemaji Wa Houthi: Tutashambulia kambi zote na manuwari zote za US ikiwa US itaigusa Iran

    —❗️🇺🇸/🇾🇪/🇮🇷 BREAKING: The spokesman of Yemen's Ansarallah, Yahya Saree, confirms that Yemen will target all American navy and commercial vessels in the Red Sea and Bab Al-Mandab if the U.S. bombs Iran @Middle_East_Spectator
  5. U

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 Iran ilishambulia kwa drones mitambo ya kuzalisha mafuta ya kampuni ya Saudi Arabia ya Aramco na kufanya uharibifu mkubwa

    22.09.2019 Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia Jumamosi alisema Iran inahusika na mashambulizi ya Aramco. "Tuna uhakika kwamba makombora yanayolenga Aramco yanatoka kaskazini, sio Yemen. Saudi Arabia inajaribu kutafuta mahali ambapo makombora yanarushwa," Adel al-Jubeir alisema katika mkutano...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu wa Iran Hassan Rouhani aliwahi kumuonya Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei kuwa "Mossad iko karibu na sisi kuliko masikio yetu"

    Rais Mstaafu wa Iran Hassan Rouhani aliwahi kumuonya Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei kuwa "Mossad iko karibu na sisi kuliko masikio yetu" - kauli ambayo sasa inaonekana kuwa muhimu zaidi kuliko hapo awali. Soma kwa kimombo,Years ago, former intelligence minister Ali Younesi revealed...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu Unampa ushauri gani Waziri Mkuu Benjamin Netanyau kuhusu sera nzuri kwa Israel baada ya kuisha kwa vita dhidi ya Iran

    Uzi Maalumu Kila jambo lina Mwisho njia bora kujenga amani ya kudumu ni muhimu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi la magnitude 5.5 limerekodiwa Iran karibu na fordow nuclear site

    Tetemeko la ardhi lime tokea Iran siku ya leo majira ya saa tatu asubuhi lenye ukubwa wa magnitude 5.5 kwenye jimbo la Qom ambalo lipo karibu na Fordow nucleur site. Hakuna ripoti ya majanga japo inahisiwa kuna kitu kilikuwa kinajaribishwa Mnamo mwaka 2017 korea kazkazini walijaribisha Atomic...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Mwanasayansi , Mabrigadia na makanali kadhaa wa Iran, wauawa kinu cha nyuklia pia chalipuliwa

    Katika muendelezo wa kuikomboa Israel kutokana na tishio la kufutwa kwenye ramani ya dunia, inaendelea kuhakikisha watakaobaki Iran hawatawahi kuwa na wazo kama hilo, hii itakua funzo pia kwa mataifa mengine yote ya waislamu, wakubali kuishi na watu kwa amani, acheni chokochoko dhidi ya dunia...
  10. kyagata

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengine wa kijeshi wa Iran wameuwawa na IDF

    Hawa wa Israel ni changamoto sana.
  11. Logikos

    JamiiForums Tanzania Jinsi USA na UK walivyoshirikiana Kuondoa Demokrasia Iran

    Mnamo mwaka 1953, serikali za Amerika na Uingereza zilipanga mapinduzi nchini Iran, na kumpindua Waziri Mkuu aliyechaguliwa kidemokrasia Mohammad Mossadegh. Hatua hii, inayojulikana kama Operesheni Ajax, ilichochewa na mambo mawili:- Wasiwasi juu ya utaifishaji wa sekta ya mafuta, ambayo hapo...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi yajitolea kuchukua madini ya uranium yaliyopo Iran ili vita viishe

    Rais Putin ametoa hilo wazo maana hayo madini ndio chanzo cha Israel kutembeza kichapo Iran, hivyo yakiondolewa huko Iran basi ugomvi utapungua, vinginevyo Israel itaendelea kuwinda vinyu vyote vya nyuklia na kivichakaza..... Vladimir Putin is willing to store uranium from Iran’s nuclear...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa jeshi la Iran ambaye huratibu shughuli za HAMAS auawa na Israel

    Israel endelea kupeleka moto, msijali hata Iran wakilenga apartments za raia, hiyo gharama ya kulipa kwa ajili ya vizazi vyenu vya baadaye, maana mkifaulu kusambaratisha Iran, ndio mtakua salama nyie na watoto wenu maana maana Iran tu ndio ilikua imesalia kama tishio kati ya mataifa ya waislamu...
  14. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Malipo ni hapa hapa Duniani safi sana Iran

    Watu Huwa wanasema malipo ni hapa hapa Duniani Kwa Sasa kati ya Gaza na Israel hakuna anayemchaka mweziwe Na ndio kwanza mashambulizi Yana wiki Moja ikifika mwezi mmoja sijui itakuwaje
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Jinsi B-2 Spirit (Stealth Bomber) kitaalamu inavyoweza ipasua Fordow ya Iran

    Kwa uwezo wa kijeshi na teknolojia ya kisasa, ndege ya kivita ya Marekani aina ya B-2 Spirit (stealth bomber) inaweza kuharibu kituo cha nyuklia cha Iran cha Fordow (au Fordo Fuel Enrichment Plant – FFEP) KIUWEZO, lakini utekelezaji wake ungehitaji maandalizi ya hali ya juu na ungeambatana na...
  16. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Vita za Iraq vs. Iran na Gulf War

    NOTE: Nitapitia baadaye kurekebesha typos pole pole; ukikutana nazo usizitilie maanani. Miaka takriban 45 iliyopita, Iraq ilipitia wakati mgumu sana. Kwanza, mwaka 1979 ulikuwa na matukio mawili makubwa ndani ya Iraqi na Iran. Mwaka huo, mwezi July huko Iraq, Saddam Hussein alimpindua rais...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Trump Asema Iran Inataka Kuzungumza na Marekani, Sio Umoja wa Ulaya

    Trump Asema Iran Inataka Kuzungumza na Marekani, Sio Umoja wa Ulaya Rais wa Marekani, Donald Trump, alisema siku ya Ijumaa kuwa Washington imekuwa na mawasiliano na Iran, na kuongeza kuwa Tehran haitaki kushirikiana na nchi za Ulaya. "Ulaya haitakuwa na uwezo wa kusaidia katika hili," alisema...
  18. snipa

    JamiiForums Tanzania Baada ya Iran kuzima internet, Israel wanazidi kugeuzwa kuwa Gaza, ssbabu hii hapa…

    Kwanza tuelewe kitu kimoja kuhusu PrSM (Precision strike Missile) Israel aliua viongozi wa juu wa kijeshi wa iran na hii sio kitu cha ajabu mana ni mpango wa US, kwanini nasema ni mpango wa US? US huwa anaitisha makubaliano baina ya pande mbili, kama mna mzozo na pia upande ulio pamoja na US...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi la kipimo cha 5.1 lilitikisa kaskazini mwa Iran

    Tetemeko la Ardhi la Kipimo cha 5.1 Laitikisa Kaskazini mwa Iran Wakati Israel Ikiendeleza Mashambulizi ya Anga Shirika la Jiolojia la Marekani (USGS) limesema kuwa tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa kipimo cha 5.1 limetikisa eneo la kaskazini mwa Iran, wakati ambapo Israel imeendelea...
  20. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Mshauri wa kiongozi Ali Shamkhani, aliyejeruhiwa katika uvamizi wa Israel, anasema 'alfajiri ya ushindi imekaribia'

    Mshauri wa kiongozi Ali Shamkhani, aliyejeruhiwa katika uvamizi wa Israel, anasema 'alfajiri ya ushindi imekaribia' Kukomesha uvumi, Admiral Ali Shamkhani, mshauri wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, amethibitisha kuwa anauguza majeraha aliyoyapata katika uvamizi...
Back
Top Bottom