iran

  1. I

    Iran inasema iko tayari kwa makubaliano ya nyuklia ikiwa Marekani itaacha vitisho vya kijeshi

    Iran inasema iko tayari kwa makubaliano ya nyuklia ikiwa Marekani itaacha vitisho vya kijeshi. Iran iko tayari kushirikiana na Marekani katika mazungumzo siku ya Jumamosi kuhusu mpango wake wa nyuklia "kwa lengo la kusaini makubaliano", Waziri wake wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi amesema...
  2. U

    Irani imehamisha makombora mapya hatari ya masafa marefu kwa makundi ya kigaidi nchini Iraq yana uwezo kupiga hadi barani ulaya

    Wadau hamjamboni nyote? Iran imehamisha makombora mapya ya masafa marefu kwa makundi ya wawakilishi nchini Iraq katika wiki iliyopita, na kukaidi matumaini kwamba wanamgambo wanaoipinga Marekani wangepokonya silaha huku kukiwa na wasiwasi wa kuongezeka kwa Rais wa Marekani Donald Trump...
  3. I

    Baadhi ya wanamgambo wa Iraq wanaoungwa mkono na Iran wako tayari kusalimisha silaha chini ya shinikizo la Marekani

    Baadhi ya wanamgambo wa Iraq wanaoungwa mkono na Iran wako tayari kusalimisha silaha chini ya shinikizo la Marekani - Reuters. Vikundi vya wanamgambo nchini Iraq vimejiandaa kusalimisha silaha zao kwa mara ya kwanza ili kuepusha tishio la kuongezeka kwa mzozo na Marekani, kulingana na makamanda...
  4. kimsboy

    Marekani kuishambulia Iran ndo utakua mwisho wa taifa hilo!!

    Hivi hamjui kuwa current situation ni kwamba muda wowote US na Israel wanaenda kuishambulia Iran kijeshi? Mpango uliopo mezani ni kutumia silaha za nyuklia zilizorutubishwa na urani chache kwa ajili ya kuvilenga vituo vya Nyuklia na jeshi la Iran Kwa maana wanaona sasahivi ndo wakati muafaka...
  5. Donnie Charlie

    Defense Minister Katz reveals: Iran funded Hamas with $500 million to destroy Israel

    Defense Minister Israel Katz revealed for the first time documents found in Hamas tunnels, proving a direct connection between Yahya Sinwar and Muhammad Deif and the commander of the Iranian Quds Force. In the documents, senior Hamas officials demand $500 million from Iran for the destruction...
  6. matunduizi

    Imekuwaje Iran Dhaifu KUWA na Vikundi karibu na Israel wakati Israel/US hawana hata migambo wa kukodi ili kuisumbua Iran?

    Kiuwezo US/Israel wako juu mara mia KWA Iran. Wanawashirika karibu Kila nchi ya kiarabu. Inasemekana hata kiongozi wa ISIS Albagdad alikiwa ni Mossad. Osama alikuwa CIA. Najiuliza nchi kama Israel/US wameweje kuruhusu Iran ikatengeneza Hesbullah karibu na Israel, Ikawapa nguvu Hamas karibu na...
  7. ELI COHEN

    Imam wa Iran: "Wanawake ni wanyama walioumbwa na allah ili kutumika na Wanaume"

    Anaendelea kusema: "Wanawake si tofauti na ng’ombe, kondoo, farasi, au nyumbu. Mungu aliwaumba wanawake wafanane na wanadamu ili wasiwaogope wanaume.”
  8. A

    US wamenza kulia Yemen wanataka nchi ziungane kuwapiga Yemen (Al Houthi ) si alijidai mwamba huyu Trump

    Tuliwambia Yemen huwa hashindwi vita, US ameanza omba nchi zingine wawasaide kupambana na Yemen ( Al Houthi ) https://youtu.be/zggM6Zu3ZYs?si=-bVmlSCOBTuYN7nq
  9. kbosho

    Kwanini Iran inakatazwa kuwa na Nuclear?

    Naomba kuuliza ni kwanini Iran haruhusiwi kua na Nuclear? Wakati India, south africa, uk, russia, israel, pakistan, china nk wanazo!!! Kwanini Iran haruhusiwi?
  10. Echolima1

    Baada ya majeshi ya Marekani kushusha kipondo cha kufa mtu huko kwa wahouthi Iran asalimu amri kuondoka huko Yemen

    Iran imeripotiwa kuwaamuru wanajeshi wake kuondoka Yemen na inapunguza uungaji mkono wake kwa Wahouthi huku kukiwa na mashambulizi makubwa ya anga ya Marekani dhidi ya kundi hilo la waasi. Gazeti la Telegraph la Uingereza limemnukuu "afisa mkuu wa Iran" akisema kwamba Tehran inapunguza uungaji...
  11. PureView zeiss

    Ungana nami katika kukuletea updates za maandalizi na mikakati ya US kuipiga Iran

    Mada hii itakuwa inakuletea updates zote zinazopangwa na US akishirikiana na Israel dhidi ya Iran Hadi siku ambayo Iran itaenda kupigwa...... Toka juzi kuna zaidi ndege 6 hatari za kivita za B-2 bomber zimewasili tayari Huko DIEGO GARCIA AIR BASE. Tukumbuke DIEGO GARCIA ni kisiwa kilichopo...
  12. Webabu

    Marekani kuilazimisha Iran iachane na nyuklia wakijua wao na Israel wanazo.Si ndio kulazimisha ujinga huko.

    Kisingizio kikubwa cha Marekani kutaka kuipiga Iran ni kwamba eti lazima iingie makubaliano mapya nayo katika muda uliowekwa na Marekani ili ipokee masharti mapya au ikishindwa ipigwe. Iran imesema hata wakitaka kufanya majadiliano mapya basi si kwa njia ya vitisho kama hivyo.Na kwamba wakipigwa...
  13. Webabu

    Dunia kushuhudia vita vibaya vitakavyoangusha mataifa jeuri. Iran amejirayarisha na haitanii.

    Benjamini Netanyahu amejisifu kuwa ramani mpya ya mashariki ya kati inaenda vizuri.Katika kujisifu huko ametaja jinsi ambavyo Hamas na Hizbullah zimedhoofika. Makamanda wake nao hasa waziri wa Ulinzi wamekuwa wakitoa kauli za kujiamini kiasi kama hicho zinazoenda sambamba na kuvunja maeneo...
  14. Echolima1

    Tv channel-14 ya Israel ikitoa uchambuzi jinsi atakavyopigwa Iran!

    Israel Channel 14: "Shambulio kubwa dhidi ya Iran litaanza hivi karibuni, shambulio ambalo halijawahi kutokea tangu Vita vya Kidunia vya pili."
  15. Mi mi

    Marekani ina shida gani na Iran na Korea Kaskazini ?

    Ningependa kujuzwa na wajuvi wa mambo na wataalam wa siasa za kimataifa katika hili swali langu. Je, nchi ya Marekani ina shida gani na haya mataifa mawili Iran na Korea Kaskazini ? Kwa nini tawala mbalimbali za Marekani zinayatendea haya mataifa kama tishio kwa marekani ? Maoni yangu binafsi...
  16. Sir John Deere

    Urusi yaionya Marekani dhidi ya shambulizi lolote kwa Iran

    Mambo yanazidi kuchukua sura mpya ambapo Urusi amesema kitendo cha marekani kuishambulia Iran kitakua na matokea mabaya sana. Wachambuzi wa siasa za kimataifa mje hapa Kila mmoja Atoe mtazamo wake kuhusu Hali inayoendelea kwa sasa baina ya marekani na Iran. Je Urusi anaweza kuungana na Iran...
  17. Dalton elijah

    Iran: Hatuna Chaguo ila Kutumia Silaha za Nyuklia

    Iran imesema haitakuwa na njia nyingine ila kutumia silaha za nyuklia endapo itashambuliwa na Marekani au Ali Larijani, Mshauri wa kiongozi mkuu wa Iran, Ayatullah Ali Khamenei, amesema kwenye mahojiano na televisheni ya taifa la Iran kwamba "hawaelekei kwenye kuunda silaha za nyuklia, lakini...
  18. and 100 others

    26 Oktoba 2024, Usiku Wa Kutisha na Usiosahaulika Kwa Marubani Wa Jeshi La Israel

    Hii ni siku ambayo jeshi la Israel waliamua kwenda kufanya mashambulizi ya anga nchini Iran kama kulipiza kisasi baada ya mashambulizi yaliyofuatana ambayo Iran iliita 'true promise one' na 'true promise two'. Naomba nisielezee sana huko, story itakuwa ndefu, ningependa niende kwenye mada moja...
  19. Echolima1

    Ndege-vita za Israel zafanikiwa kuingia iran na kuyapiga makazi ya ayatollah khamenei.!

    Majeshi shupavu ya Israel yameweza kujipenyeza na kuingia Iran kupitisha mpaka wa Iraq na kuweza kuyashambulia makazi ya Ayatollah Khamenei mpaka sasa hivi hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na serikali ya Iran kutokana na shambulio hilo lilivyokuwa kuna uwezekano mkubwa Ayatollah kuuwawa kwenye...
  20. Echolima1

    Baada ya Iran kupewa jambajamba na marekani kamanda wa jeshi la anga la Iran ajibu mapigo

    Amir Ali Hajizadeh, kamanda wa Kikosi cha Wanaanga cha Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, atoa tishio kwa Marekani: Kama Marekani anaishi kwenye nyumba iliyotengenezwa kwa vioo hapaswi kumchokoza kichaa. Kwa sababuWamarekani wana kambi 10 karibu na Iran, zinazohifadhi wanajeshi 50,000 wa Kimarekani...
Back
Top Bottom