iran

  1. Trump aipiga mkwara Greenland (Denmark) na NATO kuhusu vita ya Iran. Iran yasema safari hii itailinda NATO

    Niaje waungwana Raisi wa Marekani ndugu Donald Trump ameitishia NATO na EUROPE kwamba hivi punde wajiandae kukikabidhi kisiwa hicho katika mikono yake, kabla hawajakumbana na vifo vya kujitakia kutoka kwenye jeshi la Marekani. Hapo chini ni vitisho vya raisi Trump huku Iran ikiahidi kusimama...
  2. Netanyahu kama Trump aomba mataifa duniani yaingie kati kupigana na Iran

    Maelezo hayo ya kuchanganyikiwa Netanyahu ameyatoa siku moja baada ya kombora zito la Iran kupiga karibu kabisa na kinu cha nyuklia cha Dimona kilichopo kusini mwa Israel, ikiwa ni jibu la kushambuliwa kwa kituo chake cha nyuklia cha Natanz. Katika maelezo hayo,Netanyahu amesema mataifa mengi...
  3. M

    Bbc Swahili acheni upendeleo wa habari vita vya Iran

    Tupeni habari kamili bila upendeleo. Habari zenu zimegemea sana marekani na Isreal badala ya kutupa habari sahihi za vita. Mnatupa kauli za Trump na letanyahu huku kauli za Iran mnazitia kabitini na hamtaki kabisa washabiki wenu tuzisikie. Mnatunyima fursa washabiki wenu Tupeni taarifa za...
  4. Iran ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati (IRBMs) yakilenga kituo cha U.S.-UK huko Diego Garcia (~4,000 km

    Wanaukumbi. 🇮🇷🇺🇸🇬🇧 Iran ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati kuelekea Diego Garcia Airbase, yalizuiwa njiani, kwa mujibu wa Wall Street Journal. Hii ni zaidi ya safu ya makombora ya balistiki ya Iran inayojulikana. Mzee Ali Khamenei. Aliuliwa yeye ndiyo alikuwa hataki vijana wake...
  5. Iran yapiga kiwanda cha Kusafisha Mafuta cha Israeli HAIFA

    Wanaukumbi. Baada ya zaidi ya saa 12, udhibiti wa Israel unasema "iliruhusu" kuchapishwa kwa athari ya kombora la Iran karibu saa 1 asubuhi huko Haifa, https://x.com/aryjeay/status/2035001330511569060?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  6. M

    Wanaoshangaa nchi za kiarabu kuungana na Marekani dhidi ya Iran hawajui historia

    Waarabu ndio waliomfukuza mtume kutoka Makka na kumfanya akimbilie Madina. Waarabu ndio waliowatesa waliosilimu na kuwapa adhabu kubwa. Kwa hivyo asili ya waarabu wakipinga uislam. Kwa hivyo usishangae nchi za uarabuni leo kushirikiana na wasiokuwa waislam. History hujirejea. Wakiristo...
  7. M

    Iran kiboko, anapigana ramadhani

    Wakiristo hawawezi kabisa kupigana huku wakiwa wamefunga..
  8. Iran imejaribu kushambulia kisiwa cha Diego-Garcia kwenye Kambi za Marekani na Uingereza

    Ripoti: Iran Yajaribu Kushambulia Kambi ya Marekani katika Bahari ya Hindi Iran ilirusha makombora mawili ya balestiki kuelekea kambi ya Marekani huko Diego Garcia katika Bahari ya Hindi. Maafisa kadhaa wa Marekani waliambia The Wall Street Journal kwamba makombora hayo hayakugonga kambi hiyo...
  9. L

    Iran imeangisha F-35 na kuharibu ndegevita 60 za USA kwa siku moja

    Ndege Bora kabisa ya Marekani isiiyoonekana kwenye rada Leo Tena imepigwa na kombora la kuangusha ndege la Iran. Irani wamepiga picha ya tukio zima na kusambaza picha hiyo,ambayo rubani alifanikia kujirusha kutoka katika ndege hiyo. Tukio jingine nibkwamba Irani imefanikiwa kupiga uwanja wa...
  10. Kiongozi aliyezima maandamano kwa kuua raia Iran naye auawa

    Ni dhahiri raia wa Iran wanahusika pakubwa kwenye kutoa taarifa nyeti kwa Israel, maana sielewi hawa Israel wanafaulu vipi kuwapukitisha viongozi wa Iran, jamaa wanauawa kizembe sana. Huyu hapa aliongoza kikosi katili cha Basij kilichochinja sana raia kwenye maandamano, kashushiwa kitu kizito...
  11. M

    Wakiristo watapata shida kwa waislamu

    Muislam kupigania nchi yake hilo haweki silaha chini wala hanyanyanyui mikono juu ya kuomba poo. Anaamini akifa anaenda kustarehe peponi tofauti na wakiristo wao kufa kwao wanaona kama balsa flani
  12. Msemaji wa jeshi la Iran, Ali Mohammad Naini aliyekuwa anabeza sana naye auawa

    Ukiwa kwenye jeshi au uongozi Iran, usiongee sana, fanya kazi zako kimya kimya maana ukiwa mropokaji unasakwa na kushushiwa kitu, haya huyu hatunaye tena. ------- The IDF confirms killing the spokesman for Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps, Ali Mohammad Naini, in an airstrike in Iran...
  13. The financial times: Iran inapata faida kubwa kwenye vita, Urusi yaondolewa vikwazo

    AKILI NI NYWELE, KILA MTU ANA ZAKE! Mbali na kushambuliwa kijeshi, Iran inaingiaza zaidi ya Dola za Kimarekani Milioni 140 kwa siku kutokana na kuuza mafuta yalipanda bei. Hii ni zaidi ya Bilioni 300 za kitanzania kwa siku. Hii inamaanisha kwamba Iran ataendelea kupata mabilioni ya pesa...
  14. R

    Ujumbe wa Mange Kimambi na vita ya Iran na Trump

    Kwa wale ma low IQ ambao bado hawaelewi why niko nyuma ya Rais wangu POTUS on this Iran war mtanielewa in due time……. Kwenye hii vita ya Iran kila mtu anaangalia manufaa ya nchi yake. 1. Wa-Iran wanaotaka nchi yao ipigwe mabomu ili Islam Republic itoke madarakani bila kujali damage...
  15. O

    Iran imetekeleza hukumu ya kifo kwa watu watatu waliokamatwa kufuatia maandamano ya Januari akiwemo Mwanamieleka wa miaka 19

    Utawala wa Kiislamu nchini Iran leo umemnyonga Mwanamieleka (wrestler) wa miaka 19 aitwaye Saleh Mohammadi ambaye alikua mpingaji wa wazi wa utawala huo, pia alikua akihamasisha maandamano kupinga utawala huo. Iran imetekeleza hukumu ya kifo kwa wanaume watatu siku ya Alhamisi baada ya kutiwa...
  16. R

    Hivi USA anataka nini hasa kutoka Iran. Kwani akikifanya Iran vita inaisha

    Mwenye ufahamu anisaidie Hivi USA anataka nini hasa kutoka Iran. Kuwa akikifanya Iran vita inaisha
  17. A

    Saud Arabia ameamua kuingia vita na Iran

    https://youtu.be/aVbfiVTauiM?si=abCE4bBfVPTI561e Ujumbe ndio huo swali hapa Atafanya kitu gani akingia vita hahaha ikiwa USA na Israel wamemshindwa Iran iwe Saud Arabia. Walicho kipika USA na Israel ni hicho akingia Saud Arabia na nchi za Gulf states zitaingia halafu USA na Israel wanakimbia...
  18. Je, baadhi ya Viongozi Iran watakuwa wameshtukia huu Mchezo?

    Inaonekana kama mtu anakuchukia, hakupendi Irani kwa sasa au anakuona we ni tishio kwake anapendekeza upewe/uteuliwe cheo flani. Akipendekeza ukiteuliwa au chaguliwa anaanza kukuhesabia siku. Huo ndo uhuni unaofanyika Irani. Mtu hakupendi anakupendekeza upate cheo. Basi baada ya hapo anatulia...
  19. Video: Raia wa Iran asababisha polisi watoke nduki baada ya kuchezesha sauti ya drone

    Wananchi wa Iran wanapata burudani kwa namna mapolisi yao yanababaika kila yakisikia sauti ya drone.... Imekua mazoea kuchezesha hizo sauti za drone karibu na mapolisi ya doria halafu wanachekelea namna inavyokua tafrani. https://www.facebook.com/reel/1451297260343677
  20. Samia Suluhu na Mwigulu Nchemba ni Viongozi wazuri sana. Nashauri wapewe nafasi za juu kuongoza Iran

    Nimewaza tu. Hawa wanafaa sana kuongoza nchi kama Iran. Je kwa nini Iran isije kuazima wakawapa nafasi za juu kule nchini kwao? Na je hawawezi pia kumchukua na IGP wetu naye akaenda kuwa Mkuu wa kikosi cha Bajis? Nadhani katika kipindi hiki Iran ingepata viongozi wa karba hii tulio nao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…