iran

  1. U

    Taarifa IDF inasema inaendelea kulenga shabaha za nyuklia na wanasayansi, maeneo ya kijeshi na maafisa nchini Iran

    Wadau hamjamboni nyote. IDF says it’s continuing to strike nuclear targets and scientists, military sites and officials in Iran By Emanuel Fabian Follow Today, 11:55 am The IDF says it continues to strike in Iran, and its next step is to “operate freely...
  2. U

    Baraza Kuu la Usalama la Taifa la Iran lafanya kikao kujadili jibu kwa Israel

    Wadau hamjamboni nyote by Iran International. Iran’s Supreme National Security Council holds session to discuss response to Israel Iran’s Supreme National Security Council convened on Friday evening to review and reinforce ongoing plans for responding to Israel, the council’s secretariat...
  3. U

    Iran yatangaza kufungwa kwa anga hadi itakapotangazwa tena

    Iran yatangaza kufungwa kwa anga hadi itakapotangazwa tena Na AFP na Wafanyakazi wa ToI Leo, 11:41 asubuhi Mamlaka ya usafiri wa anga ya Iran imetangaza kwamba anga ya nchi hiyo imefungwa "hadi ilani zaidi," vyombo vya habari vya serikali vimeripoti, huku Israel na Iran zikiendelea kufyatua...
  4. U

    Njia ya kuelekea Tehran imejengwa': Wakuu wa IDF wasema Jeshi la Wanahewa kuanza kufanya kazi kwa uhuru katika mji mkuu wa Iran Tehran

    Wadau hamjamboni nyote. Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF Lt. Jenerali Eyal Zamir na Mkuu wa Jeshi la Wanahewa la Israel Meja Jenerali Tomer Bar walisema katika tathmini iliyochapishwa leo asubuhi kwamba "njia ya kuelekea Tehran imejengwa." "Kulingana na...
  5. U

    Iran confirms two more senior generals killed in Israeli strikes

    Iran confirms two more senior generals killed in Israeli strikes By AFP Today, 10:48 am Two senior Iranian generals have been killed in Israeli strikes, state television reports, as Israel kept up its assault on Iran’s military and nuclear capabilities. General Gholamreza Mehrabi, deputy head...
  6. Komeo Lachuma

    Israel yasema bado Itatuma tena mabinti wakatalii Iran na kusalimia. Imepata ilichotaka...

    Baada ya mabinti kutumwa kwenda kutia vidole vifinyio vya Irani. Wanasema wanataka waende tena kabla hawajawaachia wanaume kwenda malizia, kufika kileleni. Israel imefanikiwa kabisa katika kushambulia Iran — hususan katika operesheni ya Rising Lion ya tarehe 13 Juni 2025 — lakini mafanikio...
  7. Minjingu Jingu

    Takwimu za Mashambulizi yetu Iran zidi ya Mazayuni

    TUENDELEE KUIOMBEA IRAN ILI IWEZE LIPIZA KISASI KWA WALICHOTUFANYA HAWA MAZAYUNI. WAMETUTIA VIDOLE TUMEISHIA KUWARUSHIA MAWE. Mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel (Juni 13-14, 2025) Aina ya Mashambulizi Iran ilirusha zaidi ya 100 droni, makombora ya balistiki, na makombora ya cruise. Baadhi...
  8. Komeo Lachuma

    Mpaka sasa tathmini ya Maumivu kwa Iran vs Israel. Hawa Mayahudi hawafai kabisa

    Hali ya sasa nchini Iran imekuwa ya kukaushwa sana, kufuatia mashambulizi makubwa ya Israeli yaliyofanyika tarehe 13 Juni 2025. Hapa ni muhtasari wa hali: Mapigano na Uharibifu Mashambulizi ya Israeli: Operesheni iliyopewa jina la “Rising Lion” iliwashirikisha ndege za kivita zaidi ya 200...
  9. Minjingu Jingu

    Iran sasa tushambulie kimkakati tuache tu kurusha makombola kama vipofu

    Wasalam Alleykhum wa rahma tullay wabalaqatuh! Sasa natoa ushauri kitaalam. Naomba muanze kushambulia maeneo nyeti ya Israel kama ambavyo wametufanyizia wao. Tusirushe tu ngumi kama walevi. Tupige kama walivyotupiga hawa mayahudi. Tupige ikulu,maeneo ya kijeshi,tuue makamanda wao na wakuu wa...
  10. Webabu

    Hamas waipongeza Iran kwa kujibu mapigo ya Israel kwa ufanisi. Yasema hakuna iron dome wala David Sling zilizoilinda Tel aviv na Jerusalem

    Mmoja ya viongozi wa Hamas , Izzat al-Risheq amesema majibu ya Iran yameonesha kuwa hakuna kiburi cha Israel ambacho hakitapatiwa majibu na kwamba vifaa vyake vya ulinzi kama Iron dome havitaweza kuliokoa taifa hilo dhalimu kutokana na moto waliouwasha kwa muda mrefu ndani ya mashariki ya kati.
  11. The Dictator

    Kwanini Israel iwe na ruhusa kumiliki Nukes; ila Iran kwake iwe nongwa?

    Tuelimishane.
  12. Carlos The Jackal

    Serikali iko Kimya, Watanzania walioko IRAN na ISRAEL hawajui Hatima yao!!

    Mpaka Muda huu, Si Msemaji wa CCM Wala Wizara ya Mambo ya Nje imetoa neno !!! Ma CCM Huwa mpaka yashituliwe Wakuu!!. Hapo Sasa UTASHANGAA yanakuja na Barua ,inatarehe ya nyuma huko, kujifanya Et "Tulitoa Tahadhari Mapema". Hatuna viongozi, tuna wahuni wabinafsi tu !!.
  13. ILAN RAMON

    Namna Israel ilivolemaza Iran kwa muda mfupi

    🇮🇱 Uwezo wa Jeshi na Ujasusi wa Israel: Sababu ya Mafanikio Dhidi ya Iran kwa Haraka Iwapo Israel ingeweza kuangamiza uongozi wa kijeshi wa Iran na wanasayansi wa nyuklia ndani ya masaa machache tu, hiyo haingekuwa bahati mbaya bali ni matokeo ya: Miaka ya maandalizi ya kimkakati Uwezo mkubwa...
  14. MK254

    Iran yapigwa mabomu na Israel kwa siku ya pili, Tehran inawaka moto

    Myahudi amechafukwa, mpaka sasa ngoma inazidi kuwa moto, Iran wamefaulu kuua mtu mmoja Israel ila wao wanaendelea kupoteza, wamepigwa makambi ya kijeshi, viwanja vya ndege, na miundo mbinu mingine ya muhimu na Israel wamesema hadi watimize malengo kipigo kiko pale, watapiga hadi mifumo ya...
  15. matunduizi

    Unatabiri nini mwisho wa vita hii Iran vs Israel

    Moja ya kiumbe mwepesi kumuangusha katika vita ni mwarabu. Kwa sababu ni Rais kumnunua na kumtumia KUWA Adui wa NDUGU zake. Hii ndio maana maagents wa mossad walikuwa kwenye kazi maalumu KWA miaka mingi kufanikisha HIKI kinachofanyika ndani ya Iran. Iran itapigwa kirahisi sana kisha itafuatia...
  16. K

    Jinsi Iran ilivyoshusha mvua ya mabomu Tel Aviv na miji jirani kujibu mashambulizi ya Israel ndani ya Iran!!

    Iran hajachukua muda mrefu, amejibu mapigo, tusubirie vita kamili kati ya Iran na Israthuku USA akiichagiza Saudia na vibaraka wake wamtulize Iran, safari hii USA atafeli kutumia vibaraka na itambidi aingie front mwenyewe, Houthi na wao nawaona punde wakiungana na Iran kushusha makombora kwa...
  17. Nyani Ngabu

    Hivi inakuwaje makamanda 20 wa Iran wanauliwa ndani ya masaa machache?

    Kobazi ni bure kabisa! Makamanda waandamizi takriban 20 wa jeshi la Iran wameliwa vichwa na IDF. Huu si tu ni uzembe, ni upumbavu wa hali ya juu wa hao makobazi. Wanachojua ni kupayuka takbiiir tu lakini akili kichwani hamna. Tokea huu mzozo wa Israel na Hamas na Israel na Iran uanze, no...
  18. H

    Marekani Yaipa Onyo Iran. Mataifa ya Kiarabu Yaungana na Marekani Kudungua Makombora ya Iran

    Baada ya Israel kuishambulia Iran Kwa ndege, na kuteketeza vituo vya kurutubisha nuclear energy. Shambulio ambalo pia limeua makamanda 6 wa juu wa jeshi la Iran, akiwemo mkuu wa majeshi ya Iran, Rais wa Marekani ameipa onyo Iran na kuitaka kukubali mkataba na Marekani utakaoizuia Iran...
  19. M

    Iran yawa nchi ya kwanza kuangusha ndege isiyoonekana katika rada ya aina ya F-35

    Huku tukidhani kuwa air defense ya Iran imemalizwa nguvu, leo Iran imefanikiwa kudungua ndege mbili aina ya F-35 ambazo ni stealth (Hazionekani katika radar). Hatma ya Marubani wa ndege hizo haijulikani -------------------------- Logo News / Defense / Iran Retaliation Iran...
  20. Mlaleo

    Irani yalipua banda la kuku Waisrael wanahaha kuzima moto kuokoa Kuku Tzvi

    Timu nyingi za zima moto kutoka kituo cha Hadera zinapambana na moto kwenye banda la kuku huko Ma'ayan Tzvi. Banda la Kuku - Ma'ayan Tzvi Huduma ya zima moto na uokoaji Timu nyingi za zima moto kutoka kituo cha Hadera, chini ya uongozi wa Reshef Idan Khaliva, kwa sasa wanapambana na moto...
Back
Top Bottom