Habari ya mjini ndio hio hio Missile inaitwa Harmshaher 5 inafika California bila wasi wasi wowote kwa hio USA asilete ujinga tena. Hio Missile Ina range ya 12,000 KM ni Intercontinental Missile. Warhead yake ni 2 ton na yenye speed of Mach 16 times faster than the speed of sound hakuna air...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Kazem Gharibabadi, amesema kuwa, ujumbe wa masuala ya kiufundi kutoka Shirika la Nishati ya Atomiki (IAEA) hivi karibuni watazuru Tehran, lakini hawataruhusiwa kutembelea vituo vya nyuklia vya Iran.
Bw. Gharibabadi, ambaye yuko New York, alisema kuwa Iran...
We are ready to strike Israel again,' Iran’s president warns
1 hour ago
Updated 8:53 AM
Share
A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July 2025)
A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July...
Sasa wenzangu akina Ritz Adiosamigo na wengine ambao hatukuenda shule inabidi tusubiri kusikia sheikh kitinku atatupa tena maneno gani ya kuwajibu hawa waisrael.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anakiri kuwa walipata kipigo kibaya kwenye vinu vyao. Ingawa sisi tulijaribu sana kupinga. Na wenzetu...
Wakati sisi Wairan wa Samvula Chole, Manzese Majimatitu, Tandale kwa Tumbo, Manzese kwa Mfuga Mbwa, Buguruni kwa Mnyamani na Buguruni kwa Mnyamani tunasema Irani haikuumiziwa Vinu vyake vya kirutubisha Nyuklia.
Waziri akiri viliharibiwa vibaya. Na anasema hawajakoma. Watarudi tena kuanza...
Inaripoti kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, mwenye umri wa miaka 75, ameathiriwa na food poisoning (sumu ya chakula) na kupata intestinal inflammation (uvimbe wa utumbo) pamoja na upungufu wa maji mwilini (dehydration).
Ameanza kupatiwa matone ya maji moja-for-one (IV fluids) na atapumzika...
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amekiri kwa mara ya kwanza kwamba nchi yake ilikuwa na mapungufu ya kiusalama katika vita vyake na Israel.
Akizungumza katika kikao cha baraza la mawaziri mjini Tehran hivi leo.
Ukosoaji binafsi wa aina hii ni nadra sana nchini Iran.
Wakati wa vita va siku 12...
Watu wasiopungua saba wamejeruhiwa katika mlipuko uliotokea kwenye jengo la makazi pembezoni mwa mji wa Qom, Iran, kwa mujibu wa vyombo kadhaa vya habari vya Iran.
Angalau magari matano ya dharura yalipelekwa katika eneo la tukio baada ya mlipuko wa Jumatatu katika makazi ya Nasim Pardisan...
Iran’s political fault lines are widening in the aftermath of the 12-day war with Israel, with President Masoud Pezeshkian facing accusations of attempting a coup against Supreme Leader Ali Khamenei.
https://iranintl.com/en/202507149808
Ripoti ya Channel 12, kwa mara ya kwanza imefichua hadharani kuwa, ndege ya kivita ya Israel F-15 ilikaribia kutua katika ardhi ya Iran wakati wa vita vya siku 12 kati ya Israel na Iran.
Ndege hiyo ilipata hitilafu ya mfumo wa tanki la mafuta wakati ikifanya kazi ndani ya anga ya Iran.
Rubani...
Alinusurika kauwahishwa kwa mabikira 72 baada ya kutokea kwenye mlango wa nyuma wa jengo alilokua anafanya kikao, lilipigwa mabomu ikabidi aingie mitini.
Israel ni kichaa....
-_----++++++++
Iranian President Masoud Pezeshkian was injured in the leg during an Israeli airstrike last month on a...
Kipigo cha juzi ambapo Israel iliteka anga lote la Iran na kujipigia kila walichotaka kupiga, ni kitu kinawasumbua sana Iran, ilitokeaje yaani kivipi licha ya wao kuamini katika Allah wao, iweje Mungu wa Israel aliwezesha vyote hivyo.
Kuna viongozi wameanza kusema yote hiyo ilifanyika kwa nguvu...
Baada ya vituo vyake vya kurutubisha nuclear energy kupigwa, mamia ya askari, wanasayansi na wananchi wake kuuawa, Bunge la Iran lilipitisha azimio la kuvunja uhusiano na IAEA, taasisi ya umoja wa mataifa inayofuatilia masuala ya nuclear energy. Ilitangazwa kuwa Rais wa nchi hiyo. aliridhia...
Mshauri mkuu serikalini aonyesha picha ya namna ya kuifuta Israel kwa kutumia mabomu mawili ya nyuklia, hizi ndio sababu kwa nini hao magaidi wa waislamu hawapaswi kumiliki silaha zozote zenye maangamizi makubwa, maana adhimio lao kuu huwa kumaliza Wayahudi.
Kila wakipanga kujihami kwa nyuklia...
Exclusive: Iran ilishambulia kambi tano za kijeshi za Israeli katika vita yao ya siku 12.
Uchambuzi wa data za rada uliofanywa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Oregon(Oregon State University ) na kusambazwa na gazeti maarufu la Uingereza The Daily Telegraph, unaonyesha kwamba Iran ilipiga...
Kwa mujibu wa picha za satellite zilizo patikana hivi karibuni, zinaonesha uharibifu dhidi ya kituo kikuu cha mawasiliano cha kambi ya jeshi la anga la Marekani ya Al udeid kilichoko nchini Qtaar kutokana na mashambulizi ya makombora ya Iran iliyo yafanya kama jibu dhidi ya Marekani...
Wasalaam,naangalia Sky news Dstv 402 wanadai UK kuvamiwa mda wowote kutokana na visasi vya mauaji ya waandishi wa habari wa Iran toka 2022.
Bado kuna fukuto mana leo kuna meli imepigwa huko middle east na wahusi kama sikosei.
Usibonyeze batani ngoja tusuburi
Senior Israeli official: Intel shows Iran didn’t remove enriched uranium from sites hit by US, Israel
https://www.timesofisrael.com/liveblog-july-10-2025/
Habari hii sijaichakachua. Nairipoti kama nilivyoisikia. Tazama source ujiridhishe.
Habari kutoka Iran zinasema kwamba misikiti mingi sana(kwa maelfu) katika nchi ya Iran imefungwa na mamilioni ya watu wameamua kuacha Uislamu na kumfuata Yesu.
Ripoti hiyo imetolewa na Hooman Khalil...
Mtangazaji wa TV kutoka Marekani Tucker Carlson ametoa mahojiano yake na Rais wa Iran Masoud Pezzekian. Siku mbili zilizopita, alitoa video akisema kwamba alikuwa amemhoji Bw. Pezzekian na angeitoa hivi karibuni.
Bw. Pezzekian alimwambia mtangazaji huyo mashuhuri kwamba Israel ilijaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.