Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.
Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.
Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.
Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.
Hakuna anayemsaidia Iran...