iran

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kama Mohammad Mwenyewe Alisema Kuwa Alitokewa na Shetani au Jini Pangoni, Kwa Nini Watu Wengine Walimlazimisha Aamini Alikutana na Malaika?

    Simulizi la awali la Muhammad kwa mkewe lilikiwa kwamba alipokuwa pangoni Hira, alitokewa na kiumbe wa ajabu ambaye aliamini alikuwa shetani au jini, huyo kiumbe alimwambia asome, akasema yeye hajui kusoma, yule kiumbe akaanza kumbana na kumwachia, akirudia tena na tena, akimlazimisha asome, na...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani tayari imeshaanza kuishambulia Iran 🇮🇷 Ayatollah sasa Matatani!!!

    BREAKING: Milipuko imeripotiwa kote Iran — angalau miji 7 Tehran, Bandar Abbas, Tabriz, Parand, Qeshm, Nowshahr, Ardabil Kaskazini, kusini, mashariki, magharibi. Yote ndani ya saa chache. Israeli wala Marekani hawajatoa maoni. Kuna machawa wengi wa magaidi wa Iran walikuwa wanasema Marekani...
  3. JamiiForums Tanzania Kumbusho wakati wowote Iran anaweza shambuliwa na Marekani

    ⚠️ Ukumbusho Muhimu Kabla ya Kuongezeka kwa Uwezekano wa kipondo kwa Iran ⚠️ Makombora yanaporushwa kuelekea Israeli, kile tunachochapisha mtandaoni kinaweza kuokoa maisha, au kumsaidia adui. Hivi ndivyo kila mtu anapaswa kujua: 🔴 USICHAPISHE video za uzuiaji wa moja kwa moja au athari za moja...
  4. JamiiForums Tanzania Sababu Za Iran Kupigwa Tayari Zimepatikana Sasa Ni Suala La Muda;

    Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kulitangaza jeshi la Walinzi wa Mapinduzi la Iran (IRGC) kuwa ni kundi la kigaidi. Akizungumza mjini Brussels wakati wa mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa EU, Mkuu wa sera za kigeni wa umoja huo Kaja Kallas amesema “utawala wowote...
  5. A

    JamiiForums Tanzania USA kakimbia baada ya kupewa Warning na Iran

    Kelele za Trump oh dunia itaona majabu katika hi week kweli tumeona kweli, bada ya Iran kumwambia tunafanya exercise carries zote zipelekwe 500 Miles ama kama zitabaki zita tandikwa hatutanii ikabidi USA wakimbie.
  6. JamiiForums Tanzania Iran yaipa onyo USA!!!

    Iran imesema shambulio lolote kutoka USA litajibiwa vikali bila kupepesa macho. https://x.com/cnnipr/status/2016201365224108519?s=20 Tehran limewekwa bango linaonyesha Machumachuma ya USA yakizamishwa. Kazi kwa Trump sasa, ashupaze shingo.
  7. JamiiForums Tanzania Vita za kichini chini kati ya wana usalama wa US, Israel, Pakistan, Iran, Urusi, Qatar na Uchina. Aftermath yake hauwezi kuisikia kwenye media.

    Usiniulize nimejuaje, swali unalopaswa kuuliza ni kwa nini Cnn, bbc, fox, al jazeera hawaripoti japokuwa unakuta wamepata leak au kimemo😁 Ila ukweli ni kuwa wana usalama wa Marekani (CIA/NSA), Israel (Mossad), Pakistan (ISI), Iran (MOIS/IRGC), Urusi (FSB/GRU), Qatar (State Security), na Uchina...
  8. JamiiForums Tanzania Siku za utawala wa Ayatollah huko iran zinahesabika

    Baada ya utawala w Ayatollah Ali Khamenei kuua waandamanaji zaidi ya 16,000 utawala huo unabidi uanze kutia maji kichwani tayari kuanza kunyolewa wiki hii au wiki chache zinazokuja. Utawala huo lazima ushambuliwe maana umejaa damu katika mikono yake. Kulikuwa na mazungumzo mengi kuhusu...
  9. JamiiForums Tanzania BENJAMIN NETANYAHU aweka mstari mwekundu kwa Hamas na Iran

    🚨 WAZIRI MKUU NETANYAHU: aweka mstari mwekundu kwa Hamas na Iran. Akizungumza katika kikao cha bunge, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alielezea msimamo wa Israeli kwa maneno yasiyopingika: • Wanajeshi wa Uturuki au Qatar hawatakanyaga Gaza • Katika awamu ya pili, Hamas itanyang'anywa silaha na...
  10. JamiiForums Tanzania Anga ya nchi ya Iran inakwepwa kama ukoma

    Yaani hapa ndege zote zinazofanya safari kati ya ulaya na Asia mashariki zinaikwepa anga ya Iran kama Ukoma yaani. Hapa hakuna shirika la ndege lita risk ndege yake iruke kwenye anga la Muajemi kwa kigezo cha short route
  11. K

    JamiiForums Tanzania Dalili za Iran kushambuliwa usiku wa kuamkia kesho

    Ndege ya Waziri Mkuu wa Israel Bwana Benjamin Netanyahu inaripotiwa kuonekana kwenye radar ikiondoka kuelekea Ugiriki leo hii. Huku harakati za ndege vita za Marekani na Israel kusogezwa karibu na ghuba ya Uajemi zikiendelea. Inasemekana leo hii usiku huwenda Iran ikashambuliwa. Maana hata...
  12. JamiiForums Tanzania Iran imeua waandamanaji 12,000 baada ya kuzima Internet nchini humo

    Utawala wa Iran chini ya utawala wa jiislamu umewaua waandamaji zaidi ya 12,000 baada tu ya kuzima mitandao nchi nzima Hii inaonyesha ni jinsi gani utawala huo usivyo na huruma jwa watu wake wenyewe!! Na umeonyesha ni jinsi gani utawala huo ni wa kikatili.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa sana Iran, watu 12,000 wauawa; Ayatollah Khamenei aagiza waandamanaji wapigwe risasi za moto!

    At least 12,000 people were killed over two nights on January 8 and 9 during protests, Iran International’s editorial board concluded, based on a review of sources and medical data. Exiled Prince Reza Pahlavi said he was in direct contact with the Trump administration, calling it a potential...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Sarafu ya Iran Yaporomoka Dhidi ya Euro

    https://www.instagram.com/p/DTa9jEmklYS/?igsh=MzR4ZzViZDFqOXly
  15. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano usiku huu Iran akashambuliwa-Stay turned!!!

    Wakati waandamanaji wanaendelea kukiwasha huko Iran Marekani nao wanatrajia kuishambulia Iran kwa kuwaua watu wake yenyewe!!!
  16. N

    JamiiForums Tanzania Fundisho kutoka Iran

    Vyombo vya dola , naomba jifunze kutoka Iran, Mwanzo maandamano yalikuwa ya amani , wakaachwa wiki nzima yakiwa salama, Nilianza kulalamika kuwa Iran wanaanza kuwa wazembe , Baadae maandamano yakaanza na fujo kidogo kidogo na loeo yamesambaa nchi nzima majimbo 110 wakati kabla iyalikuwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya watu 500 wameuawa kwenye maandamano ya Iran

    Zaidi ya watu 500 wameuawa katika machafuko yanayoendelea Iran, kundi la haki za binadamu limesema Jumapili, huku Tehran ikionya kuwa itashambulia kambi za kijeshi za Marekani endapo Rais Donald Trump atatekeleza vitisho vyake vya kuingilia kati kwa niaba ya waandamanaji. Kundi la HRANA lenye...
  18. JamiiForums Tanzania Mchambuzi IBRAHIM RAHBY ni mzuri sana wa mataifa sio imani yako ila swala la IRAN mbona unakwepa na mda mwengine unakwepa nchi yako

    Huyu mchambuzi ana media nzuri na mpaka Azam wanamtumia na BBC. Ila swala la IRAN kama mda mwengine unaona ni la nchi yake kutaka kutoa dukuduku lake. Ila umefikisha ujumbe japo kama makonda kupewa uwaziri ,Ndugu yetu tumekusoma sasa.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Iran yamuonya Trump kwamba itajibu Mashambulizi yatakayotokea

    Iran imeonya Rais wa Marekani, Donald Trump, kuwa shambulio lolote la Marekani litalisababisha Tehran kulirejelea shambulio dhidi ya Israel na kambi za kijeshi za Marekani katika eneo hilo kama “malengo halali,” alisema Spika wa Bunge, Mohammad Baqer Qalibaf, mbele ya wabunge. Vyanzo vya...
  20. JamiiForums Tanzania Maandamano ya IRAN yamegusa imani za watu mbona wapo kimya

    Hapa JF na mitandao mingine yani ukiona mtu anavyoichambua Israel,GAZa, Venezuela na nchi nyingine zilizokuwa kwenye mivuruguano unaweza kusema jamaa noma. Ila tokea IRAN kuanza maandamano hata watu wa msikiti wapo kimya kabisa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…