iran

  1. Viwanja sita vya ndege Iran vyalipuliwa

    Jameni tosha sasa Myahudi.... Mapema asubuhi ya Jumatatu, Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilishambulia viwanja sita vya ndege katika maeneo ya magharibi, mashariki, na katikati mwa Iran, jeshi hilo lilisema. Jeshi liliongeza kuwa mashambulizi hayo yalisababisha uharibifu kwenye barabara za...
  2. Kuna watu wanafurahisha sana. Wanasema Marekani haja haribu miundo mbinu ya nuclear kule Iran

    Wakuu niketafakari kidogo namna hawa wenzetu wanaosema America haja fanikiwa mission yake pale Iran. Naona niwakumbushe tu kuwa America ndiye aliifunua Hiroshima na Nagasaki juu chini au tuseme chini juu. Sasa wale wairani wa huku Africa ya mashariki waliojaa ujuaji wao wa hovyo. Tuwakumbushe...
  3. Kukiendelea hivi, mpaka mwezi July Iran itakuwa imeanguka

    Tupo Salama! Wanasema ukipigana na adui mwenye nguvu usimshambulie kwa harakaharaka. Usiende kwa Kasi Sana. Kadiri unavyomshambulia kwa haraka adui mwenye nguvu kukuzidi ndivyo unavyojimaliza kwa upesi. Adui mwenye nguvu hupigwa na kuangushwa polepole! Polepole kwa uhakika. Polepole ni...
  4. Iran, ametangaza: Hakuna tena mazungumzo ya amani na Marekani au Israeli - mazungumzo sasa yanafanyika kupitia nguvu

    Wanaukumbi. 🚨🇮🇷 MAKOMBORA YANAPOSONGA 🚨 Picha zinazosambaa sasa zinaonyesha Iran ikituma makombora makubwa ya balestiki chini ya usindikizaji mzito. Tehran ametangaza: "Hakuna tena mazungumzo ya amani na Merika au Israeli - mazungumzo sasa yanafanyika kupitia nguvu." 📢 NI ISHARA GANI HII: ⚠️...
  5. Vitisho vya kufunga Straight Hormuz vikitekelezwa tunaweza kufa kwa Kiu ya Mafuta

    Analojia rahisi kwenye hili ni kufananisha Strait ya Hormuz kama mto mdogo wa kijijini ambao 30% ya maji tunapata hapo. Maji haya ndio kiungo muhimu katika shughuri za kila siku za kijiji chetu. Sasa, kuna bwana anyekaa huko kwenye chanzo cha mto aliweka bayana kabisa kuwa ataufunga mto kama...
  6. Marekani kutumia silaha ya nyuklia kuipiga Iran kwa hasira ya kushindwa ni aibu na balaa kubwa kwa dunia

    Tetesi zinazoelekea kuwa ushahidi kuwa Marekani haijafanikiwa kuleta madhara makubwa yaliyokusudiwa kwa vinu vya nyuklia vya Iran,kunaweza kukaitia hasira sana nchi hiyo na kuamua kuipiga Iran kwa nyuklia ili tu ionekane haijashindwa. Chini ya raisi Trump ambaye akili zake haziko sawa uamuzi...
  7. A

    Israel inasema USA Kagusa gusa tu Nucler ya Iran

    Ujumbe huo tuliwambia USA ataenda adhirika hata Israel kakiri USA hakufanikiwa kuidestroyed Fawder Nuckear Plant kapiga badhi tu ya sehemu. Ujumbe nikwamba Fawder Nuclear Plant ni kiboko yao wameanza kusema ukweli wamefailed na MOP hamna kitu ni tikiti maji tu. Weldone Iran...
  8. Jua mgogoro wa Iran vs Israel chanzo chake

    Mwaka 1950's alichaguliwa waziri mkuu wa iran aliyeitwa Mohammad Mosaddegh wakati wa kampeni aliahidi kurudisha umiliki wa visima vya mafuta mikononi mwa iran alivyoshinda alianza kutekeleza ahadi yake ya kuhakikisha visima vya mafuta vinabakia mikononi mwa irani hiki kitendo hakikuwafurahisha...
  9. Bunker-Buster Bomu la pekee duniani linaloweza kuharibu kituo chochote cha nyuklia cha Iran

    Kabla ya yote nitaomba kuderive formula nyepesi: We created this illustration to explain the mechanics behind the American-made B-2 bunker-busting bomb, recently referenced in coverage of ongoing events in the Middle East. Dropped from a B-2 stealth bomber flying at about 12 km altitude, the...
  10. Chelewa lakini Ufike; Iran iendelee pale ilipoishia kuunda nuclear weapons. Apate somo kwa North Korea kutokujali

    Kumbuka, kabla North Korea hajapata nuke yoyote alidharaulika hivi hivi kama Iran anavyodharaulika na kuletewa mizengwe. Sasa hivi North Korea inaheshimika na hata yule kichaa wa west kaacha kutikisa pua yake kwenye mambo yasiyomhusu. HISTORIA: Kifaa cha kwanza cha nyuklia cha Korea Kaskazini...
  11. Picha: Palivyokua kwenye kinu huko Iran, na palivyo sasa, utadhani jehanam

    Hawa wazungu na teknolojia zao, tuwaache bana, sisi tuendelee kuchoma na kuuza mkaa vijijini, na kufuatilia siasa za humu kwetu Afrika.... Sioni na sitegemei kama ipo siku tutanusia huu uwezo wao. US Joint Chiefs Chairman General Dan Caine and US Secretary of Defense Pete Hegseth on Sunday...
  12. Biden akiangalia Iran ilivyotepeta kirahisi na hakuna WWIII atakuwa anajuta sana kukubali kutishwa na Putin uvamizi wa Ukraine

    Matisho ya Putin wa Urusi kwamba akiguswa na West atafungulia milango ya kuzimu ni kama haya matisho ya MaAyatollah wa Iran tu. Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran iliyokwanguliwa yote na Israel ndani ya wiki moja na kulifanya anga zima la Iran kuwa shamba la bibi kwa ndege za Isreal na Marekani ni...
  13. Iran yarusha makombora kuelekea Israel, baada ya USA kuingilia kati

    Kadili siku zinavyosonga mbele idadi ya makombora yanayorushwa inazidi kupungua, kutoka makombora na drone 1000 kwa siku Sasa IRAN anarusha 30 tu Ndani ya muda mfupi ataanza kujaribu kutumia artillery
  14. Iran: Bunge limepiga kura kufunga njia ya bahari Strait of Hormuz

    Tujifunge mkanda mazee!!! https://x.com/BRICSinfo/status/1936773441832513712 BREAKING: The Iranian parliament has unanimously reached the decision to close the Strait of Hormuz. Now the final decision rests with the Supreme National Security Council and the Supreme Leader, Ayatollah Khamenei.
  15. Iran na Israel: Kutoka Mabest hadi Maadui wa Kuuana

    Iran na Israel: Kutoka Mabeste Hadi Maadui Basi hebu nikusimulie hii stori kali – kama vile tupo vijiweni tunagawana kahawa ya jioni. Zamani hizi, kabla mambo hayajaharibika, Iran na Israel walikuwa kama mabest wa damu. Walishirikiana kwenye biashara, walipigiana tafu kwenye siasa, na walikuwa...
  16. B-2A Stealth Bomber yaruka angani kwa masaa 37 mfulilizo kwenda kupiga vinu vya nyukilia vya Iran

    Huko mashariki ya kati nchi zote zipo kimya zimetulia kabisa wakati kuna mtu anafundishwa adabu.
  17. IRAN: Tulikuwa tayari, tupo tayari na tutatoa majibu yatakayokumbukwa na historia!

    Iran: ▪️ Adui ana ndoto ya kwamba ameharibu mitambo yetu ya nyuklia lakini tulikuwa tayari tumeshagundua njama zake tangu mwezi Machi! ▪️ Tulihamisha kwa wakati nyenzo zote muhimu na kuziweka sehemu salama. Urani bado ipo chini ya udhibiti wetu kamili; adui anapiga mahandaki na moshi mtupu...
  18. B

    Je, USA kuivamia Iran ili kumuunga mkono Israel kwenye vita inayoendelea ni mwanzo WW3

    Binafsi ninaona kitendo cha USA kuipiga Iran km sehemu ya kuungana na Israel ni mwanzo wa vita kuu ya 3 ya dunia. Kwanza Washirika wote wa Iran akiwemo Russia ilishaonya mapema mpango wowote wa USA kuingia moja kwa moja ktk hiyo vita. Pili, kwa mjibu wa sera za Iran nchi yoyote ikiivamia...
  19. Mashine hii hapa, Iran nehi nehi, Marekani ina silaha za hatari sana ambazo dunia haijui

    Wakuu marekani imeinyesha ni namna gani ikiamua jambo lake hakuna kima anaweza tia mguu. Iran nehi nehi. Iran ameonyeshwa ni namna gani yeye ni mchumba tu kwenye masuala ya vita, wanaume wameingia kwenye anga lake wamefanya yao haooo wamesepa na kuacha vilio nyuma.Iran nehi nehi.
  20. Marekani na Marafiki zake wameishaingia kwenye Mtego wa Iran. Hakuna rangi wataacha kuona

    Iran ilikuwa inafanya kusudi kuruhusu ndege za israel zinazoendeshwa na mademu ziingie kuua viongozi wake na kulipua maeneo ya silaha. Ilikuwa ni makusudi ili Marekani waingie mtegoni. Israel wameharibu sana silaha za Iran. Na maeneo mengi kwa kupiga kimkakati. Si sababu Iran haiwezi zuia. Ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…