iran

  1. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Iran na Israel: Media za Tanzania kaeni kimya tu

    MUUNGWANA AKIVULIWA NGUO HUCHUTAMA. Tukubali tukatae ila Tanzania tuna media za kipuuzi kuwahi kutokea, sio Clouds, IPP Media, mwananchi ila Media za Tanzania kwa 90% ni utumbo kabsa. Mwaka uliopita, wakati Tanzania ikipitia kipindi kigumu cha mvutano wa kisiasa baada ya uchaguzi, taarifa...
  2. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Super Power aomba msaada wa kijeshi kutoka kwa Ukraine ili wasaidiane kupambana na Iran

    Niaje waungwa Hii habari ingeandikwa na Al Jazeera misukule ya Netanyahu ingesema ni uongo, lkn kwa bahati nzuri imeandikwa na gazeti lao wenyewe kupitia kauli halali ya raisi wa Ukraine Mr Zelensky. Inapofikia hatua ya super power kumuomba maiti sanda, au muuguzi kumuomba mgonjwa uji, basi...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Meli ya Iran iliyokua inatumika kubeba na kushambulia kwa drones yagaragazwa

    Hii meli ilikua imejificha baharini, kazi yake kutuma mamia ya drones, imekutwa huko huko na kufutwa kwenye uso wa dunia. Yaani Iran imesambaratishwa na kuachwa hoi kabisa, kiasi kwamba hivi karibuni itakua mnyonge wa yeyote anayetaka kuipiga, hata kainchi ka Afrika kataweza kujipigia...
  4. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Iran yatishia kushambulia kinu cha nyuklia cha Dimona cha Israel

    Afisa wa jeshi la Iran amesema kuwa jaribio lolote la Marekani au Israel la kujaribu kuupindua utawala wa Iran kupitia “machafuko ya silaha” litakabiliwa na jibu la moja kwa moja ambalo linaweza kujumuisha kulenga kinu cha nyuklia cha Dimona cha Israel. Afisa huyo aliongeza, katika matamshi...
  5. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Vita iliyoanzishwa na Marekani dhidi ya Iran yaleta changamoto kubwa kwa Afrika

    Marekani na Israeli zimeanzisha vita dhidi ya Iran zikipuuza sheria za kimataifa. Ingawa bara la Afrika liko mbali na uwanja wa vita katika Ghuba ya Uajemi, lakini kutokana na utandawazi wa uchumi duniani, umbali si dhamana ya usalama. Bara la Afrika lina wasiwasi mkubwa: ingawa halitahusika...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mnadhani wananchi wa Iran na Venezuela wanajali Marekani kuchukua mafuta ? wananchi ni maskini, wanauawa, wamekimbia nchi, watakataaje msaada ?

    Hakuna free lunch hapa duniani. Lakini afadhali kusaidiwa na mtu wa mbali unajua kabisa atachukua sehemu flani ya rasilimali kisha awaache muendelee na maisha mengine kwa uhuru kuliko kuongozwa na ndugu yako mlafi, kakuacha katika umasikini, Mbaya zaidi ukimhoji, mnapigwa risasi au kufungwa...
  7. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tuliokwama Iran, tunahitaji ndege Ije kutuchukua

    Kupitia BAKWATA na mamlaka husika tunahitaji Msaada wa haraka ndege yetu ya ATC ije Tehran kutuchukua maana hali si hali huku ndugu zangu. Kama kuingia anga la Iran Itakua mtihani basi ufanyike utaratibu tutoke Iran kwa njia ya Barabara hadi nchi jiran mtakayoichagua
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kumbukeni hii vita sio ya US/Israel dhidi ya Iran bali ni dhidi mamlaka ya kigaidi ya Iran/IRGC

    Iran ni ya waajemi na sio ya utapeli wa itikadi kali.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Washirika wa Iran, wote wanaamini Trump aliwekwa na Putin uongozini, halafu hao hao wanalialia Putin aingilie kati vita vyao

    Kama Iran na washirika wake wanaamini Trump ni zao la Putin, kwa nini pia wasiamini kwamba Trump analinda masilahi ya Putin kwa kuwapiga Iran? Siku zote kobazi wamekuwa wakiamini, uchaguzi mkuu wa Marekani uliingiliwa na kuambiwa kupitia intelejensia ya Russia ikiongozwa na Rais wa nchi hiyo...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Iran Kisha Fanya Majaribio ya Nuclear

    Ujumbe ndio huo aliye kuwa anawazuia wasifanye majaribio wamemuwa sa walicho enda kushambulia Iran asiwe nacho kisha kuwa Nacho. Trump na Netanyahu watajuta kumuwa Ayatollah Ali Khomen https://youtu.be/2lMBup-xlVo?si=URBYVLXw-5Udseao
  11. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Iran yamnyonga jenerali wake wa jeshi kwa kumhisi ni msaliti

    Kumekuwepo na taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, zikidai kuwa Jeshi la Iran kupitia Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limemnyonga Jenerali Esmail Qaani, ambaye ni kiongozi wa Kikosi cha Quds. Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyochapishwa na ukurasa wa Smart tv...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na wazee wa hizi kazi wawili tu. Saddam Hussein na Osama Bin Laden, Viongozi wa Iran wanachojua ni kupiga domo na kutegemea proxy wars,

    Marekani walipoenda Iraq kwa Saddam Hussein hawakuweza kufikia hata kwa theluthi walichokiweza Iran, yani Iran wameigeuza kama sebule yao, wanajipigia tu. Osama alikuwa mwiba sana, hadi Marekani wanamkamata ilikuwa shughuli nzito. Iran alitegemea zaidi kufanya mashambulizi kwa Proxies kama...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Ndege za Israel zikielekea Iran

    Israeli Air Force in ACTION 🇮🇱🇮🇱🇮🇱
  14. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Israeli yashambulia ndege za bandia huko Iran baada ya kuingia mkenge

    Hii vita inahuzunisha na kuchekesha kwa wakati mmoja. Hii Leo Israel imetangaza kushambulia helicopter na ndege vita za Iran kumbe imeingia chaka na kushambulia michoro (paintings) iliyowekwa na jeshi la Iran kuwapoteza maboya. Nimecheka sana aisee 🤣🤣
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa ni suala la muda tu, lakini utawala wa Kiislamu wa Iran ilibidi uondoke ili Mathayo 24:14 itimizwe kwa watu wa iran

    Huu ni unabii very simple lakini mtu mwenye kuchunguza maandiko kwa makini atang'amua maana yake iliyo pana. 1. Internet inasaidia 2. Vita za wenyewe kwa wenyewe zilizotokea nchi za Kiislamu na kufanya waislamu wahamie nchi za magharibi imesaidia sana wengi kusikia habari njema za biblia 3...
  16. President of China

    JamiiForums Tanzania Updates: Vita vya USA-Israel vs Iran - Taarifa zangu za upande wa iran

    Hapa kuna habari ulizoandika zikatafsiriwa kwa Kiswahili: --- 🇮🇷 Gwardia ya Mapinduzi yatangaza udhibiti kamili wa Mlalakayuko wa Hormuz --- 🇮🇷 Shambulio la drone dhidi ya nafasi za Marekani mjini Erbil Reuters, ikirejelea vyanzo vya usalama: kambi ya kijeshi ya Marekani na hoteli huko...
  17. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Usahihi wa shabaha za Iran kwenye vita hii, macho ya China na Urusi yanahusika. Hasara za Marekani furaha ya China!

    Zamani, makombora mengi ya Iran yalitegemea GPS ya Marekani, ambapo Marekani aliweza kuizima au kuivuruga (jamming) wakati wa vita. Iran sasa imehamishia mifumo yake ya kijeshi kwenye mfumo wa BeiDou-3 wa CChina Mfumo huu unawapa Iran uwezo wa kulenga kitu kwa usahihi wa hadi sentimita chache...
  18. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Russia na China walivyomfanya Iran katika picha

    Wavaa kobazi mtihani sana
  19. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ronaldo amesepa Saudia kwenda Hispania kukwepa mabomu ya Iran

  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Iran yazionya nchi za Ulaya dhidi ya kujiunga na vita vinavyoendelea kati ya Israel na Marekani

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amezionya nchi za Ulaya dhidi ya kujiunga na vita vinavyoendelea kati ya Israel na Marekani. Alisisitiza kuwa hatua yoyote dhidi ya Iran itatafsiriwa kama ushirikiano na wale wanaoishambulia nchi hiyo, na itachukuliwa kama kitendo cha kivita. Kauli yake...
Back
Top Bottom