My people,
Huyu ni mwandishi wa habari na mwanaharakati wa Iran ambaye naye kama alivyo Kimambi anaishi Marekani
Akihojiwa na NBC News anasema familia nyingi za viongozi wakubwa wa Iran wanaishi Marekani,anahoji kama wanawatendea ubaya wananchi wa nchi hiyo basi na familia zao nao zirudi Iran...