iran

  1. JamiiForums Tanzania Hawa watoto wa Iran wanaohusishwa vitani na Iran hatima yao vipi

    Watu wazima wakifa vitani huwa mnasema watapewa mabikira 72, sasa je hawa watoto, hamuoni kama itakua child pornography kuwapa mabikira kule, maana wanatumika kushika doria na kufia huko.... ============ An 11-year-old Iranian boy killed in recent fighting was at a Revolutionary Guard...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani yaomba Ceasefire kwa masaa 48, Iran yakataa

    US naona kazidiwa ameomba Ceasefire ya masaa 48 Iran amekataa Sasa ndo naelewa kwanini Iran tangu mwanzo walisema kwamba ikitokea vita kati yao na Marekani yeye Iran ndo ataamua hatma ya vita ⚡️BREAKING The U.S. has asked Iran for a 48-hour ceasefire, but Tehran has refused United States is...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mmoja wa rubani wa ndege ya Marekani iliyotunguliwa na Iran aokolewa akiwa mzima

    One of two US pilots in the F-15 fighter jet which went down in Iran has been rescued by American forces, NBC News reports. The two-seater plane went down over Iran earlier today, our US partner network reported earlier, citing two American officials. A US official now tells NBC one of the...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Iran yatangaza kuiangusha ndege ya kivita ya Marekani, Mmoja wa viongozi wa Marekani athibitisha

    Iran imetangaza imefanikiwa kuidondosha ndege ya kivita ya Marekani Kwa majibu wa Iran, kwa sasa juhudi zinafanyika kuwasaka marubani wa hiyo ndege, huku ikitangaza donge nono kwa atakayefanikisha jambo hilo Wakati huo huo mmoja wa maofisa wa Marekani amethibitisha shirika la habari la Reuters...
  5. JamiiForums Tanzania Sasa rasmi Ndege-vita F-15E ya Marekani yaangushwa huko Iran!!

    🚨: Marekani Yathibitisha Ndege ya Kivita Kudunguliwa kwenye anga ya Iran Serikali ya Marekani imethibitisha kwamba moja ya ndege zake za kivita ilidunguliwa Juu ya eneo la Iran. •Operesheni ya utafutaji na uokoaji inaendelea kuwatafuta marubani •Hii inaashiria ongezeko kubwa la ajali, kwani ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Iran imeishiwa pumzi, Watoto wa shule ya msingi waandikishwa vitani wakianganywa pepo moja kwa moja wakifa

    Vikosi vya usalama vya Iran vinadaiwa kuanza kuajiri watoto wenye umri wa kuanzia miaka 12 ili kusimamia vituo vya ukaguzi (checkpoints) na kufanya majukumu mengine ya kijeshi. Kwa mujibu wa afisa wa kijeshi wa Iran aliyezungumza na televisheni ya taifa: Serikali imeanzisha kampeni ya...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akitoa taarifa kuhusu Iran

    Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu akiwa Kirya: Pamoja na marafiki zetu wa Marekani, tunaendelea kukiponda kichwa cha utawala wa kigaidi nchini Iran. Katika siku za hivi karibuni, Jeshi la Anga limeharibu 70% ya uwezo wa uzalishaji wa chuma wa Iran. Kwa uratibu kamili kati yangu na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Iran yalipua kiwanda cha kusafisha maji nchini Qatar kinachozalisha asilimia 90 ya maji safi

    Katika shambulio la Iran lililolenga Qatar siku ya Ijumaa shambulio hilo limeharibu sehemu za kiwanda cha umeme na uchujaji wa maji, ========= Kuwait imesema kuwa kituo cha kusafisha maji ya bahari (desalination plant) pamoja na kiwanda cha kusafisha mafuta vimeshambuliwa na Iran huku mataifa...
  9. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran: Iran Imepata Makombora ya Nuclear

    https://youtu.be/BOQwrEfjUR4?si=umaARmt1J63N6ZWo
  10. JamiiForums Tanzania SI KWELI Makao makuu ya Mossad yaliyopo Tel Aviv yameharibiwa na mashambulizi ya Iran

  11. JamiiForums Tanzania Iran yaweka kibanda cha tozo (Tollbooth) kutoza ushuru kwa meli zitokatiza kwenye mfereji wa Hormuz

    Iran imeweka njia ingine ya kupita meli ziendazo nchi za mbali na kuwapa uwezo IRGC kuziona meli hizo na kutoza ushuru kwa kila meli. Hadi meli kadhaa tiyari zimelipia tozo hiyo ya kupita kwenye mfereji wa Hormuz na kila meli italipa dola milioni 2.4 Picha na AP Ukiangalia katika picha hapo...
  12. JamiiForums Tanzania Daraja linalounganisha Tehran na Karaj, Iran laangamizwa iran walalama!!

    Baada ya shambulio kwenye daraja linalounganisha Tehran na Karaj, Iran inatishia kushambulia madaraja nchini Israeli, Kuwait, Abu Dhabi, Jordan, na Iraq. Nyoka kichwa kimebondwa anaanza kuwaya-waya ili akate roho!! ============== Airstrike detroys bridge linking Tehran and Karaj Meanwhile...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Trump: Tutashambulia Iran vikali zaidi kwa wiki 2 hadi 3 na kuwarudisha zama za mawe wanakostahili kuwa

    Akitoa hutoba yake kuhusu mwenendo wa vita vya Marekani-Israel dhidi ya Iran, Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa nchi yake inakaribia kufanikisha malengo yake makuu ya kimkakati, akionya juu ya uwezekano wa kuongezeka zaidi kwa mzozo. "Tutaishambulia Iran kwa nguvu kubwa sana kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Marekani inajihujumu yenyewe Sasa Iran inauza mafuta kwa Yuan

    Biden alianza kwa kuizua Russia kutumia Swift payment system ilikua ni sawa na Marekani kuikalia kisu Sasa iv Iran kaikataa Dola kwenye biashara yake ya mafuta anataka Yuan hapo Marekani imekalia Mtarimbo anatapatapa BREAKING: 🇮🇷 🇨🇳 IRAN HAS OFFICIALLY STARTED TO DEMAND YUAN PAYMENTS—Bloomberg...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Dunia sasa imeelewa Iran haruhusiwi kuwa na nguvu kashindwa vita ameamua kuumiza wote tukose Kwa kufunga Harmouz Hadi Tanzania wataumia Us Wanayo yao

    Hadi Leo Marekani Wana jicho la tai la kuona mataifa hatari Kwa Dunia miaka kadhaa Ijayo . Iran ni majawapo ya mataifa hatari ambayo Us ametusaidia kulipungizia nguvu zake zenye Nia mbaya. Kitendo Cha kuanza kushambulia majirani zake wote ambao walikuwa hawajamrushia hata jiwe inaonyesha...
  16. JamiiForums Tanzania Iran inawasaka askari wa Marekani waliokimbia kambi zao na kujificha mitaani na kwenye mahoteli arabuni kote

    Muungano wa majeshi ya Iran na walinzi wa mapinduzi ya kiislamu wa IRGC,umesema Iran haipigani na nchi yoyote ya kiarabu ambao ni ndugu na majirani zao,bali wanachofanya ni kupiga maslahi ya Marekani pamoja na kupiga kambi zao za kijeshi ambapo hakuna nchi ya kiarabu ambayo haina kambi kama...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Trump Alisema Iran Air Force Kaimaliza Kumbe Alikuwa Kwenye Ndoto

    Jf ujumbe ndio huo. Na kuhusu hawa kina Echolima1 na jina lingine anajiita Mlaleo Sa kichaa mwenzenu atasema nini hapa Iran karibu watanza kushambulia kutumia Fighter Jets https://youtu.be/ImHc0t4N7JM?si=y2YSieqz2zadMYuF Tunawasubiri kwenye vita vya chini pia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Iran wameishiwa mbinu wanataka kulipua makampuni binafsi, ni kama Tanzania ipigane na SA halafu ianze kulipua viwanda vya blueband na Vaseline, Kenya

    Iran imetangaza kuanza kushambulia makampuni binafsi ya raia wa Marekani ambayo yana ofsi ukanda wa mashariki ya kati,kampuni hizi ni kama Microsoft, Google, Nvidia, Tesla, n.k. Wameshindwa kabisa kuangusha hata ndege moja ya f35 na kumkamata rubani kuwe na ushahidi usio na shaka wameona...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran!!

    Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran, Hapa kuna mambo MUHIMU ZAIDI: -"Natumai naweza kukuambia kuhusu miungano muhimu hivi karibuni". -"Utawala wa Iran unatarajiwa kuanguka - mapema au baadaye". -"Tuliunda mabadiliko ya kimkakati - Iran ilitaka kutunyonga, leo...
  20. JamiiForums Tanzania Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka

    Wanaukumbi. 🇺🇸🇮🇷 Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka kwenye makampuni hayo ifikapo saa nane mchana kwa saa za Tehran siku ya Jumatano - The Hill Baada ya hapo wataanza kuwalipua. IRGC imetishia makampuni makubwa ya kiteknolojia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…