ipi

The Kumeyaay, also known as Tipai-Ipai or by their historical Spanish name Diegueño, are a tribe of Indigenous peoples of the Americas who live at the northern border of Baja California in Mexico and the southern border of California in the United States. Their Kumeyaay language belongs to the Yuman–Cochimí language family.
The Kumeyaay consist of three related groups, the Ipai, Tipai and Kamia. The San Diego River loosely divided the Ipai and the Tipai historical homelands, while the Kamia lived in the eastern desert areas. The Ipai lived to the north, from Escondido to Lake Henshaw, while the Tipai lived to the south, in lands including the Laguna Mountains, Ensenada, and Tecate. The Kamia lived to the east in an area that included Mexicali and bordered the Salton Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wewe / Jamaa yako anafanya biashara / kazi ipi inayomuwezesha kumudu maisha?

    Huenda ukawa ni wewe, ama ukawa hutaki kuwa wewe, let say jamaa yako (kwa ME) ama shosti wako (kwa KE), anafanya biashara gani inayomuwezesha kumudu familia? How such business is running? Changamoto je? Mtaji? Tusaidizane mawazo kwa kuwa sisi sote tu watoto wa Mama mmoja, Mama yetu mpendwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Budget ya 500k-700k Samsung mpya version ipi nzuri camera quality,betri chaji mda mrefu,fast charging

    Habar wakuu nataka kuhama kutoka kwenye Xiaomi kuja sumsung ,naombeni msaada wenu nitoleo jipi hasa matoleo mapya naweza pata Samsung yenye camera quality,betri kukaa na chaji mda mrefu,na iwe fast charging na je maduka Gani Hasa kariakoo napata mpya fullbox,
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ninunue gari ipi kwa safar ndefu

    Habar wakuu nimekuja kwenu mnishauri nataka kununua gari lakini mim nimtu wa safari ndefu,dar kigoma,dar mwanza,dar mbeya,,gari ipi itanifaa kwa safar ndefu budget 25-35m NB ni iwe family car
  4. JamiiForums Tanzania Ni ipi sauti huru ya walimu?

    Ni ipi hasa sauti ya walimu katika taifa letu? Je, ni sauti inayosikika, inayoheshimiwa, inayotetewa? Au ni sauti iliyozimwa kwa hofu, ukimya, na matumaini hewa? Walimu ndio wanaochonga maisha ya kila kada ya jamii – wanasheria, madaktari, wahandisi, hata viongozi wa kisiasa – wote walipitia...
  5. JamiiForums Tanzania Ni motive ipi inayofanya wanawake wa-cheat? Upande wa wanaume ni kwa sababu sex drive yake haiwezi vumilia kudatishwa na appeal ya mwanamke mwingine

  6. JamiiForums Tanzania Ipi tafsiri yako ya neno " Kuvuruga amani" ?

    Kuna tafsiri nyingi ya neno hili lakini tafsiri hutofautiana kutokana na mtu anayelitamka. Kuvuruga amani maana yake ni kitendo cha kuwafungua akili wananchi na kuwaeleza kuwa rasilimali zenu zinaliwa na watu wachache amkeni. Yes, wakiamka kwa mazingira hayo amani haiwezi kutulia lazima...
  7. JamiiForums Tanzania Ipi ni bidhaa yenye thamani zaidi: PESA au MUDA?

    Pesa ina kupa security na guarantee ya kuvuka mipaka mingi sana. Muda unakupa nafasi na fursa zaidi na zaidi. KARIBUNI.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Combi ya HGK na CBG ipi sio completed

    Wadau wa elimu na wazoefu wa hiz comb naomben ushauri. Nataka kusoma 5&6 kwa mwaka1 kati ya cbg na hgk niende na ipi ambayo haitakuwa ngumu sanaa au na mambo mengi sanaaa ili nisiathir shughul za utafutaj pia. Matokeo yang ni Chemistry D Bios C Geog C Hist D Kiswahili D Natanguliza shukrani🙏
  9. JamiiForums Tanzania Kuwanyima haki ya kuiona timu yao ikicheza fainali ya CAF maelfu kwa maelfu ya mashabiki wa Simba ni doa lisilofutika

    Kuwanyima maelfu ya Watanzania haki yao na fursa ya kuangalia mechi ya kihistoria katika uwanja wao kwa sababu za mvua ni kinyume cha juhudi zote za kuufanya mchezo wa mpira wa miguu uwafikie watu wengi zaidi. Kuna timu nyingi, zingine zina mafanikio ambazo zinahangaika kutafuta mashabiki ila...
  10. JamiiForums Tanzania Ipi ni CCM 'B' ACT Wazalendo au CHAUMMA?

    Wana chadema tuliamini CCM B ni ACT Wazalendo Sasa Leo baada ya CHAUMA ya Hashim Rungwe Mzee wa Ubwabwa kupokwa waasi wa chadema na kuwapa madaraka, hii inatuchanganya Awali upinzani wa ACT Wazalendo ulitiliwa shaka yaani ulikuwa upinzani wa zuga tu, binafsi naona hii kasi ya CHAUMA Kuna nguvu...
  11. JamiiForums Tanzania Ipi siri ya wewe kudumu muda mrefu na huyo mwenza wako?

    Either ni katika ndoa or mahusiano ya kawaida.
  12. JamiiForums Tanzania Watumishi wa kada ipi wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka?

    Uzi tayari
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ai Code editor ipi unatumia?

    Al ipo kwa kasii sana Windsurf, cursor, trae etc zipo nyingi ipi umewahii kutumia unaweza kutoa suggestions kwa wale ambao wapo kwenye game ya software development itasawasidiaa.
  14. JamiiForums Tanzania Tofauti ya limao na ndimu ni ipi?

    Kuna tofauti gani ya limao na ndimu?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Njia ipi Unatumia kuandika your code solution OOP(Object oriented Programing) vs FP(Functional Programing

    Nimeuliza hivi coz sio expert ktk Programing ila nina ufaham na nazid kuprogress ktk hii career na ni raha hiki kipind cha AI inafanya bugs kua rahis kusolve.. 😀😀 so Let's talk about it..
  16. JamiiForums Tanzania Kati ya Kamusi ya TUKI na BAKITA, nichukue ipi kwaajili ya kuwa konki kwenye Kiswahili?

    Wakuu wangu wa kazi, nahitaji kuwa konki kwenye kiswahili na hapa nimejipanga kwanza niweze kumiliki kamusi ili kila siku nipate maneno kadha wa kadha. Nahitaji pendekezo lenu kwa upande wa kamusi, nichukue ipi kati ya TUKI na BAKITA na kwa mwenye uzoefu, uniambie ni yupi mwenye chapisho jipya...
  17. JamiiForums Tanzania Wamefanikiwa kumchafua mpaka hauziki tena! Je wana plan B? Ni ipi?

    Watoto wa mjini wana usemi wao unasema... Ukijua hivi.. Sisi tunajua vile..! Ukijifanya unazijua sana shotikati za mjini.. Utaingizwa kwenye chocho refu ambalo linaishia chooni kwa mtu ama magetoni kwa masela! Hapo uamuzi ni wako kunyoa ama kusuka, kwakuwa yote mawili hayatawezekana kwa wakati...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Enyi wanadamu, Nia hasa ya kuvaa nusu uchi huwa ni ipi?

    Hellow! 1. Ni mke wa mtu, unakwnda kwenye closet, Kisha unachagua nguo nusu uchi, inayobana, au mini skirt Kisha unakwenda ofisini ukijua mumeo siye atakayekuwako huko uendako kuuangalia mwonekano wako, Nini hasa huwa umelenga? 2. Ni kijana wa kiume, unazo suruali kabatini, unachagua kipens...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika, Kati ya MD na DDS ipi nzuri kwenye soko la ajira kwa Sasa?

    Mdau mmoja anapitia changamoto juu ya program gani ya afya nzuri aende kusoma mwaka huu, yenye urahisi wa ajira.
  20. JamiiForums Tanzania Tuelimishane, Mipaka yetu ya kutoa maoni ni ipi ndugu watanzania ?

    Happy Muungano Day! Ndugu zangu Watanzania, kumekuwa na lugha inayotusisitiza kutoa maoni bila kuvuka mipaka ya nchi yetu , na hasa ikitolewa na viongozi wa ngazi za juu serikalini. Ni muhimu kama watanzania tukaelimishana au kuelimishwa, ni maoni gani hayo kisheria ambayo tukiyatoa tutakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…