Intaneti (kutoka Kiingereza Internet) ni mfumo wa kushirikiana kwa tarakilishi nyingi unaowezesha watu mbalimbali duniani kuwasiliana baina yao. Kupitia mtandao huo, watu huweza kutembelea tovuti mbalimbali, kupiga gumzo, na kuandikiana barua pepe.
Intaneti ni mfumo wa kimataifa wa mitandao ya tarakilishi inayotumia itifaki inayokubalika ya intarnet Suite (TCP/IP). Intaneti hubeba safu kubwa ya huduma na rasilimali za habari hasa hati za HyperText zilizoshikanishwa za wavuti wa ulimwengu mzima (www) na miundombinu ya kusaidia barua pepe.
Mbinu nyingi za jadi za mawasiliano ya habari, kama vile huduma za rununu na runinga, zimeundwa upya kutumia teknolojia za tovuti, na kusababisha huduma kama vile itifaki ya kupitisha sauti kwa kutumia tovuti (VoIP) na IPTV. Uchapishaji magazeti umeundwa upya katika tovuti, ubadilishanaji maoni, na kupatikana habari zinapotokea tu. Intaneti imewezesha au kuharakisha uundaji wa aina mpya za mafungamano za kibinadamu kupitia ujumbe mbashara, majukwaa ya tovuti na mitandao ya kijamii.
Kuna mawasiliano ya tarakilishi pamoja na habari zinazotunzwa kwenye mashine na kupatikana kwa programu za kutafuta wavuti (kama google) au kwa kamusi elezo kama wikipedia.
KUZIMWA kwa intaneti wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kumelisababishia Taifa hasara ya dola za Marekani milioni 238, sawa na takribani Sh. bilioni 560, kwa mujibu wa ripoti mpya ya utawala wa kidijitali.
Takwimu hizo zimetolewa na Ofisa Sera na Teknolojia wa Tech, Media Convergency (TMC)...
Mbunge viti Maalum wa Kagera Devotha Daniel Mburarugaba kwenye kipindi cha maswali na majibu bungeni leo Februari 5, 2026 amehoji Serikali imeweka mikakati gani kuhahakikisha maafisa wanapata vitendea kazi kwani wanawake wakienda kuomba mikopo wanaambiwa intaneti ipo chinihawawezi kupata huduma...
Kuzimwa kwa intaneti kote nchini Uganda wakati wa uchaguzi mkuu kumeathiri vibaya uchumi na maisha ya wananchi, hususan wafanyabiashara na vijana wanaotegemea huduma za mtandaoni. Biashara za fedha kwa njia ya simu zilisimama, waendeshaji bodaboda waliopata wateja kupitia programu walipoteza...
Kituo cha Televisheni cha Taifa (UBC) kimemhoji Waziri wa Nchi, Masuala ya Vijana na Watoto, Balaam Barugahara Ateenyi, kuhusu tatizo la mtandao nchini Uganda. Waziri alieleza sababu za kufungwa kwa intaneti.
Waziri amesema kuwa awali, Kamisheni ya Mawasiliano ya Uganda (UCC) ilifunga intaneti...
https://www.washingtonpost.com/world/2026/01/15/tanzania-samia-suluhu-hassan-internet-shutdown-october-election/21b8d8a0-f24f-11f0-a4dc-effc74cb25af_story.html
Huyu Samia ni kiumbe wa ajabu sana.
Katika busara zake kaona ni sahihi kuwaomba radhi mabalozi kwa kuzima intaneti wakati ule wauaji...
Kufuatia mapendekezo mazito kutoka Kamati ya Usalama ya Taasisi za Serikali (Inter-Agency Security Committee), Tume ya Mawasiliano ya Uganda (UCC) siku ya Jumanne ilitoa maelekezo kwa waendeshaji wote wenye leseni wa mitandao ya simu (MNOs) na watoa huduma za intaneti (ISPs) kusitisha kwa muda...
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema uamuzi wa kuzima mtandao wa internet ni chaguo la mwisho kabisa pale ambapo hali ya kiusalama inakwa mbaya ambapo amesema hadi kufikia sasa hali ya Tanzania bado ipo shwari na hakuna tishio la kuwafanya TCRA wazime internet kesho December...
Tarehe 29 Oktoba 2025, Tanzania iliingia kizani kimawasiliano baada ya Mamlaka kuzima Mtandao wa intaneti (internet), upande wa pili Serikali ikidai kufanya hivyo kumeweza kuwadhibiti waandamanaji kuhamasishana kuandamana.
Kuzimwa kwa Mtandao kulisababisha madhara mengi kwa Wananchi ikiwa...
Wakati kukiwa na malalamiko ya wananchi na jumuiya ya kimataifa kuhusu hatua zilizochukuliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuzima intaneti intaneti siku ya uchaguzi Oktoba 29, 2025, mamlaka hiyo imekanusha ikisema, “TCRA haikuzima intaneti bali ilichukua hatua za...
Kwa mujibu wa taarifa za NetBlocks, takwimu za moja kwa moja zinaonyesha kuwepo kwa vikwazo vikubwa kwenye mitandao ya kijamii na programu za ujumbe nchini Tanzania, hata baada ya huduma za intaneti kuanza kurejea taratibu kufuatia kukatikwa kwa mtandao kwa zaidi ya siku tano tangu Oktoba 29...
TAARIFA YA AWALI KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA TAREHE 29 OKTOBA 2025 KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Leo, tarehe 31 Oktoba 2025 - Sambamba na dhamira yake ya kukuza chaguzi za kuaminika, amani, huru, na haki kupitia uangalizi wa kikanda usio na upendeleo na uchambuzi kote Afrika Mashariki na...
afrika
afrika mashariki
amri
huduma
huduma za intanetiintaneti
kurejesha
kutotoka nje
mashariki
mtandao
nje
serikali
serikali ya tanzania
tanzania
uchaguzi
waangalizi
Huduma ya intaneti inaonesha kuongezeka utumiaji kutoka milioni 54.1 mwezi Juni 2025 hadi kufikia milioni 56.3 mwezi Septemba 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 4.1.
Kwa mujibu wa ripoti ya takwimu ya sekta ya Mawasiliano ya robo mwaka inayoishia Septemba 2025 inaonesha idadi ya...
Unachangamoto ya kompyuta kutumia bando la Intaneti sana? Suluhisho ni data saver, Bei 30,000 Tsh.
Programu ya data saver itakusaidia kuepusha Windows OS kujiupdati na kuzuia background usage la bando lako.
Napatikana mkoa wa Dar es salaam, Mbezi.
Mawasiliano: 0756704145
Unahitaji kupunguza matumizi ya kifurushi Cha Intaneti kwenye PC kompyuta Yako? Jipatie Data saver programu. Utaokoa matumizi ya kifurushi Chako Cha Intaneti
Eneo: Dar es salaam, Mbezi
Gharama: 10,000 Tshs
Mawasiliano: 0756704145
Mbunge wa Bahi, Kenneth Ernest Nollo amesema kuna mazingira kadhaa yanayosababisha Watu wengi kutotumia intaneti ikiwemo baadhi ya Mitandao ya Simu kuwa na huduma mbovu ya intaneti.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari , Jerry Silaa amesema Watumiaji wa intaneti nchini wameongezeka kutoka milioni 37.3 April, 2024 hadi milioni 49.3 April, 2025 sawa na ongezeko la asilimia 32.3.
Waziri Silaa amesema hayo leo May 16,2025 wakati akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma...
Katika kuhakikisha Mtandao wa Starlink unazidi kushika Kasi ulimwenguni Tajiri Elon Musk ameamua kuongeza nguvu zaidi kwa kuleta huduma hii nchini Uganda.
Mtandao wa Starlink ambao unasifika kwa kutoa intaneti yenye Kasi na usio na wasiwasi Hatimaye wameomba leseni
Rasmi ya kufanya kazi nchini...
Data saver 99% software inasaidia kudhibiti matumizi ya kifurushi Chako Cha Intaneti kwa kuchagua programu gani itumie intaneti kwa wakati unaotaka kwenye kompyuta (Windows OS 7, 8, 10, 11) yako. Programu inauzwa 30,000 Tsh.
Kumbuka bila kuwa na hii programu kifurushi Chako Cha Intaneti...
Waziri wa Posta na Mawasiliano wa Madagascar, Stéphanie Delmotte (katikati), akionesha mkataba wa dola za Marekani milioni 100 uliosainiwa kati ya Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) na Axian Telecom (Kampuni mama ya Yas) kwa ajili ya upanuzi wa huduma za intaneti kwa ajili ya Tanzania na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.