innocent bashungwa

Innocent Bashungwa (Bashungwa)
Innocent Lugha Bashungwa (born May 5, 1979) is a Tanzanian politician and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Karagwe in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    DOKEZO Walimu Sekondari ya Hassanal Damji Bagamoyo hoi bin taaban. Wanakaa chini ya miti, hawana vyoo

    Barua ya Wazi kwa Waziri wa TAMISEMI, Mhe Innocent Bashungwa Sisi wananchi Bagamoyo ambao ni Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Hassanal Damji iliyoko Bagamoyo tunayo masikitiko makubwa juu ya mazingira mabovu ya walimu wetu wanaofundisha kwenye shule hiyo ya Serikali. Mazingira ya...
  2. Robert S Gulenga

    Waziri Bashungwa, kuhusu Stendi Kuu ya Dar es Salaam, Tusaidie Watanzania

    Mhe. Innocent Bashungwa (MB) Waziri wa Nchi OR - TAMISEMI, Hongera kwa kazi nzuri unayofanya ya kuendelea kumsaidia Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Mhe. Waziri abiria waliolalamika au kukataa kushuka pale stendi ya mkoa wa Dar Es Salaam wana hoja ya msingi...
  3. saidoo25

    Jumaa Aweso, Hussein Bashe, Innocent Bashungwa nyota zinang'ara

    Hawa ni miongoni mwa Mawaziri wachapakazi na muda wote wanaonekana site kutatua changomoto za zinazowakabili wananchi na kusimamamia miradi inayotekelezwa chini ya Wizara zao. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akiwa Kigoma alichukua hatua kwa msimamizi wa mradi wa maji ambaye mkataba ulikuwa wa miezi...
  4. M

    Kafulila chapa kazi usitolewe kwenye reli na wapigaji

    Kwa muda mfupi ambacho Kafulila ameongoza Mkoa wa Simiyu tumeshuhudia mageuzi makubwa ikiwemo kumtaka Mkandarasi aliyejenga barabara ya Maswa- Mwigumbi chini ya kiwango kuirudia kwa gharama zake jambo ambalo watangulizi wake hawakuliona kama ni tatizo. Kafulila amesimamia nidhamu ya ukusanyaji...
  5. Z

    Waziri Bashungwa atoa siku 7 mabasi yote ya mikoani yawe yanaingia Magufuli Bus Terminal, si Shekilango

    Waziri wa Tamisemi Mhe. Bashungwa leo amesisitiza mabasi yote yaendayo Mikoani pamoja na nchi jirani lazima yapakie na kushushia abiria katika kituo kikuu cha Mabasi cha Magufuli ameyasema hayo leo wakati akizungumza na wadau wa usafirishaji. Ni vyema waziri kalizungumzia hilo maana hali ilipo...
  6. The Sunk Cost Fallacy

    Waziri Bashungwa aagiza ukamilishaji wa ujenzi wa vituo vya afya 233 kabla ya Aprili 2022

    Twende kwenye mada. Unaweza mbeza na kumchukia na ukamfanya vyovyote unavyojiskia ila ukweli itabakia pale pale kwamba rekodi anazoweka mh.Rais SSH hazijawahi kuwekwa na Rais yeyote aliyemtangulia. Afya ikiwa ni moja ya kipaumbele chake, Serikali inajenga jumla ya vituo vya afya vipya zaidi ya...
  7. Countrywide

    Hawa wanafaa kuandaliwa kwa ajili ya Urais 2040, siyo dhambi tuwajenge tufaidike

    Moja ya sababu kubwa ya nchi nyingi kutoendelea ni kutoandaa viongozi kwa ajili ya vizazi vijavyo na vijavyo. Leo Mimi countrywide msomi ninatoa maoni yangu kuhusu kuandaa watu Hawa kwa ajili ya uraisi 2040. Ningeweza kusema 2030 lakini naona ni karibu sana kiasi ambacho itakua sio Tena...
  8. Analogia Malenga

    Innocent Bashungwa: BASATA haitafanya kazi za Kipolisi

    SERIKALI imesema kuwa kutokana na kuwepo kwa ugonjwa wa Korona Wasanii wanaojisajiriwa na BASATA sasa watatumia mfumo wa Kidigitali badala ya kufika moja kwenye taasisi hiyo ili kupunguza kuenea kwa maambukizi ya Korona nchini. Kauli hiyo ya Serikali imetolewa na Waziri wa Habari, Utamaduni...
  9. GENTAMYCINE

    Waziri (Mwanayanga) Innocent Bashungwa toa kauli ya mwisho ya Serikali je, Dar es Salaam "Derby' ya tarehe 3 July, 2021 ipo au haipo?

    Katika ile Barua ya Kusimamisha Mchezo (Mechi) ilisema Serikali yako na kupitia Wizara yako ya Michezo ndiyo mliisimamisha. Siku zinakaribia na kuna Timu inasema haitocheza hadi ipewe sababu ya maana ya Kusimamisha ile ya awali. Tafadhali Waziri Bashungwa jitokeze hadharani, toa sababu ya...
  10. Linguistic

    Maagizo ya Rais Samia kwa Waziri Bashungwa kuhusu kujenga Academy ya michezo kila mkoa nchini ni mazuri

    Wakuu wakati akiwa Mwanza nilimsikia Rais Samia akizungumzia suala la uanzishwaji wa academics kwa kila mkoa ili kukuza sekta ya mchezo wenyewe. Ni jambo jema sana ila mimi nina mawazo tofauti na ushauri pia kwamba academy hutayarishwa na timu zote zinazoshiriki kwenye ligi, kuanzia timu kubwa...
  11. tzkwanza

    Waziri Bashungwa na Dkt. Abbas muwe makini na kiki ya Yanga itawatokea puani

    Mlitaka kumfurahisha mama kwa kusogeza mechi mbele ili watu waangalie uzinduzi wa kitabu cha Mwinyi pia kumpa mama nafasi ili aje uwanjani. Kiki hii iligonga mwamba. Kiki ya pili mnataka kuwapa lawama Yanga na TFF wakati UJINGA mmeufanya nyinyi wizarani. Hii kiki ya pili nayo itawatokea puani...
  12. beth

    Naibu Waziri: Timu zinapofungwa na Yanga zikubaliane na matokeo

    Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi, amesema kumekuwepo na tabia ya Viongozi wa timu mbalimbali Nchini kutoa kauli za kwamba walihongwa hususan wanapofungwa na Yanga. Akiwa Bungeni Dodoma amesema, "Ifike wakati Viongozi wa Timu hizi na Watanzania kwa ujumla wakubali...
  13. Papaa Mobimba

    Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

    Wabunge wapya walioteuliwa kuwa wabunge ni pamoja na Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Kakurwa Ali, Mbarouk Nassor Mbarouk na Liberata Mulamula. Rais Samia Suluhu akitangaza Baraza la Mawaziri amesema... ''Kuondoka kwa Mpango kumefanya nifanye mabadiliko kidogo kwenye Baraza la...
Back
Top Bottom