Msaada: Anayejua kuhusu Kozi ya Instructional Design and Information Technology anijuze

Status
Not open for further replies.

Marluck

Member
Oct 22, 2022
32
28
Anayejua kuhusu Kozi ya Instructional Design and Information Technology anijuze

Nauliza juu ya hii kozi, mwenye kujua juu ya hii anihabarishe.
 
Nauliza juu hii kozi ikoje na mwenye kujua juu ya hii ananihabarishe
Hii course ipo UDOM-CIVE bila shaka. Hawa ni graphics designer. Kwa CIVE jiandae kusoma programming, kwa mwaka wa kwanza wanasoma language ya C++. Jiandae kukutana na Mr.Mahenge kwenye C++, ni mwalimu mzuri ukiachana na usumbufu wake.

CIVE ni pazuri, mazingira ni conducive provided with free Internet kwa ajiri ya kujisomea. Ukienda pale kasome hasa, vinginevyo utaula wa chuya.

Kila la kheli!
 
Hii course ipo UDOM-CIVE bila shaka.Hawa ni graphics designer.Kwa CIVE jiandae kusoma programming,kwa mwaka wa kwanza wanasoma language ya C++.Jiandae kukutana na Mr.Mahenge kwenye C++,ni mwalimu mzuri ukiachana na usumbufu wake.
CIVE ni pazuri,mazingira ni conducive provided with free Internet kwa ajiri ya kujisomea.Ukienda pale kasome hasa,vinginevyo utaula wa chuya...

Kila lakheli.
Thank you mr nimechaguliwa hii lakini nimevutiwa sana na BACHELOR YA MULTIMEDIA TECHNOLOGY unanishauri nini ndugu yangu
 
Thank you mr nimechaguliwa hii lakini nimevutiwa sana na BACHELOR YA MULTIMEDIA TECHNOLOGY unanishauri nini ndugu yangu
Kijana hiyo kozi na multimedia ni mapacha tena wale identical ko kakomae na hiyohiyo.
Nyongeza kwa Arch.katunzi utakutana na kila unachokitaka kama utakuwa serious katika kilichokupeleka.
Mengine utayakuta huko karibu dodoma.
 
Hii course ipo UDOM-CIVE bila shaka.Hawa ni graphics designer.Kwa CIVE jiandae kusoma programming,kwa mwaka wa kwanza wanasoma language ya C++.Jiandae kukutana na Mr.Mahenge kwenye C++,ni mwalimu mzuri ukiachana na usumbufu wake.

CIVE ni pazuri,mazingira ni conducive provided with free Internet kwa ajiri ya kujisomea.Ukienda pale kasome hasa,vinginevyo utaula wa chuya...

Kila lakheli....!
Mahenge 😂😂😂😂 mr ifupa.
 
Sema IDIT haina security, hapo ungekutana na Mgimba mzee wa security na ubishoo wake yule jamaa! All in all kama utachagua CIVE kasome mdogo wangu pale ni uzuri wa majengo tu lakini msuri wake siyo wa kitoto!Hakuna course nyepesi pale!
 
Sema IDIT haina security,hapo ungekutana na Mgimba mzee wa security na ubishoo wake yule jamaa...!All in all kama utachagua CIVE kasome mdogo wangu pale ni uzuri wa majengo tu lakini msuri wake siyo wa kitoto...!Hakuna course nyepesi pale...!
Nashukuru ndugu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom