Car4Sale Toyota Noah inauzwa

Sawa pamoja na kwamba umetoa namba za simu tangazo lako liongezee nyama kidogo
 
Noah ya ukonga inauzwa. Inafaa na inauzoefu wa kubeba nyama kutoka machinjio na kusambaza kwenye mabucha. Ni gari nzuri ya kazi
 
Kwa nini usiiuze hiyo gari kwa bei rafiki ili itoke mapema? Kwa bei hiyo si bora mtu aagize mwenyewe nje!! Yaani gari umeitumia kwa miaka minne, usajili wa DG, halafu bei mil.13!!

Anyway, ngoja nisijione mjuaji. Kila la heri katika biashara yako.
 
Nakuelewa Mkuu ndio maana nimeweka maongezi tuzungumze mpaka tutapopatana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom