inauzwa

  1. Jujan

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa

    Kwa wanaopenda makazi yaliyo karibu na barabara kuu hii inawafaa zaidi. Nyumba ipo Gongo la mboto(Kwalala). Bado ina eneo na bei ni nafuu kabisa. Tsh 35,000,000. Karibu kwa mazungumzo. Call 0755519358
  2. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Land Lover Defender inauzwa

    Cc 3000 Diesel Bei 16,000,000 Ipo Dsm Temeke Mawasiliano 0673728756 Weka Mafuta
  3. A

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba inauzwa maeneo ya Tabata TOT ila Gari haliingii

    Habari wana jamii?? NYUMBA INAUZWA IPO maeneo ya tabata TOT ila Gari haliingii ndani mpaka katikaeneo la NYUMBA NYUMBA Ina vyumba vitatu na jiko na uwanja ulio baki Ni huo unaouona katika picha ninyumba ya kupangisha. Beii milioni 15. Mazungumzo yapo. Kwa mawasiliano 0766244848
  4. Dith

    JamiiForums Tanzania Gari Hilux inauzwa

    Nauza gari, yenye namba usajili B. Gari ipo kijichi Dar. Gari haina shida yoyote. Bei ni 23M. Kwa mawasiliano na maswali zaidi piga 0769917961. Asante
  5. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania SOLD: Friji mpya ya Boss BS 70 SVR inauzwa

    Friji/Jokofu mpya Inauzwa Model: BS 70SVR Location: Mbezi luis Bei: 290,000/= Mawasiliano: 0768776716
  6. Atheds

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Picha ya ndege kitongoji cha Kimegele

    Nyumba ina vyumba vitatu(kimoja master), Sebule, Jiko, na choo cha umma. Eneo la kiwanja ni Futi 50 urefu na futi 40 upana. Inapatikana Vikindu, kijiji cha picha ya Ndege, kitongoji cha Kamegele. Eneo hili linafikika kwa gari, pikpiki, nauli ni Tsh 1000/= kutoka Vikindu kwa Usafiri wa pikipiki...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale itel A24 inauzwa

    itel A24 inauzwa, Simu haina shida yoyote, imetumika wiki 3 tu, Nakupa na earphone na charger yake Bei 65,000/=
  8. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania SOLD: Itel Tv Double Glass 32 Inch inauzwa

    ITEL TV DOUBLE GLASS 32 INCH INAUZWA Hali yake: Mpya Screen Size 32 2 HDMI Port 2 USB Port VGA Port AV COAX Port RF Port Earphones jack Bei 280,000 Mawasiliano: 0768776716
  9. M

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Itel A20 inauzwa bei nafuu

    Sim bado mpya kabisa Haijatumika hata chembe Ni dual Line moja tigo, nyingine yoyote Ipo Manzese Tip top Price 70 Internet yake ni 4G Sorry jamani ni A24 heading imenishinda ku edit
  10. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Liteace inauzwa. 9mil only

    HAINA CHANGAMOTO YOYOTE 0713096076 IKO DAR
  11. Beah

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha Mjini Maili Moja kwa mkuu wa Mkoa

    Nyumba inauzwa kibaha mailimoja karibu na kwa mkuu wa mkoa nyumba ina hati ina ukubwa wa eneo la 400 sqmtrs (20×20) bei 35,000,000/= (milioni 35) mazungumzo yapo haina udalali mimi ndio mmiliki kwa mawasiliano 0765882717
  12. geofreyngaga

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Arusha tshs 35 millioni

    1.nyumba ipo Arusha morombo dampo kwa kaburu 2.ukubwa wa kiwanja miguu 15kwa 20 3.umbali km5 kutoka lami hati kwenye nyumba 4.ina vyumba 3, kimojawapo ni masta 5.ina jiko, sebule, umeme maji yameshalipiwa auwasa 6.haina fence 7.Document: serikali za mtaa 8.bei 35m maongezi yapo piga/whatsapp...
  13. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Funcargo inauzwa, Vingunguti Dar

    Bei ni 5mil. call 0713096076
  14. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki TVS no CQB inauzwa Mwanza Mjini

    TVS hio. Cc 150 gia 4. Imetumika mwaka mmoja. Full document. Bei 1.8 mil. Iko nyakato Mwanza Piga 0713096076 tuongee biashara achana na comments.
  15. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Car4Sale IST no DMU inauzwa 8.5mil

    Ist DMU Full document Full Ac Cc 1490 Price M8.5 0713096076 simu moja unakagua gari, at Yombo Dar es Salaam.
  16. Tembele

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nissan Murano Inauzwa

    Habari, Gari Excellent Condition inauzwa Nissan Murano - T879 DRW In a good condition, Full Ac Bei. - 10.5 M Contact - 0685020831 Gari ipo Tegeta - Kibo Complex, unaeeza nipigia muda wowote kuiona gari. ( 0685020831)
  17. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Friji inauzwa

    refridgerator
  18. Kibenje KK

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nyumba kali sana na furniture zake, Iko Bunju. Inauzwa

    Nyumba inauzwa bunju A Ina vyumba vitatu sitting room dining room kitchen store public toilet Uwanja ni sqm700 Inauzwa pamoja na fenicha zake ndani. Bei 150m 0762815104
  19. M

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung Galaxy Note 10+ inauzwa

    Habari Wanajamvi, Nauza simu yangu mwenyewe ni Samsung Galaxy Note 10+. Ina mwezi mmoja tangu niinunue, ina risiti niliyonunulia na boksi lake Bei ni laki 8.5, inapungua kidogo sana Kwa aliye serious anifuate DM Location, nipo Dar es salaam
  20. PANZI DUME

    JamiiForums Tanzania Boti Inauzwa Tsh Milioni 4

    Inafaa Kwa Matumizi mbalimbali. Bei:45 ML
Back
Top Bottom