inauzwa

  1. Bexb

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Fuso Tandam inauzwa

    Habari ya jioni wakuu. Ninaileta kwenu hii gari ya kazi Make: Mitsubishi Fuso Engine:16D Location: Dar Bei: 47M kwa mwenyewe NB: Gari ina turbo full miluzi na nguvu. Ukitaka kukagua 0755963775 calls/WhatsApp
  2. Mc FR

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mitungi empty 20 jumla inauzwa sh. 350,000. Mikubwa 3, midogo 17

    MITUNGI EMPTY IPO 20 INAUZWA JUMLA 350,000/- MIKUBWA MITATU; Oryx 1, ogas 2 MIDOGO KUMI NA SABA; oryx 4, lake 4, ogas 3, taifa/mihan 5, Manji 1 Ipo Mikwambe, Kigamboni Siuzi mmoja, nauza yote jumla MAWASILIANO; +255658628441
  3. S

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa

    Nyumba inauzwa Bagamoyo mjini Ina vyumba 3 vya kulala Kimoja master Eneo square mita 800 Bado mpyaaaaa Bei 190M Maongezi yapo 🙏🙏 Mawasiliano 0757854660
  4. M

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop inauzwa

    Habari Wadau, Inauzwa laptop yenye ukubwa wa Hard disc 500 GB, Ram 4, Kwa anaehitaji tuwasiliane kwa +255 676 796168 Ahsante
  5. Nuno esparito santo

    JamiiForums Tanzania Compressar 150l inauzwa kigamboni

    Compressor ina ujazo wa 150l, inatumia mafuta. Imetumika kwa mda wa mwezi mmoja tu haina shida yoyote. Bei 950,000/= Mawasiliano 0769452934 or 0685854119
  6. Nuno esparito santo

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Compressor 150l inauzwa Kigamboni

    Compressor ina ujazo wa 150l, inatumia mafuta. Imetumika kwa mda wa mwezi mmoja tu haina shida yoyote. Bei 950,000/= Mawasiliano 0769452934 or 0685854119
  7. Interest

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Camera mpya Canon 5Dsr inauzwa kwa bei ya sikukuu

    Professional Camera, Canon EOS 5Dsr inauzwa ikiwa imetumika mara 2 tu tangu inunuliwe mwezi uliopita. Bei: 6.5m Location: Tabata, DSM. Package includes lens ya kisasa (24-105), Speedlight, stand, batteries na chargers zake. Camera bado ni mpya. Haina tatizo lolote.
  8. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Kilo moja ya Ruby inauzwa TZS billion 657

    Kilo moja ya rubby inauzwa TZS billion 657 CONVERSION OF CARAT TO GRAMS 1 carat = 0.20 grams Therefore 8400 carats -=420 grams= 0.42 kg Hii rubby haifiki hata nusu kilo, lakini bei yake ni billion 276. Kwa hiyo kilo moja ya rubby inauzwa billion 657 Source: Ruby yenye thamani ya bil 276...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Used Pioneer Amplifier 1000watts inauzwa

    Original imenunuliwa Nje na imetumika kwa mda mfupi.Bei yake ni Shillingi 350,000.Kama unauhitaji tupigie simu au tuma meseji namba 0742662669.Napitikana Dar es Salam Mwananyamala Komakoma karibu na CRDB bank
  10. jndetembea

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Stationery Inauzwa

    Stationery Inauzwa. Bei 2,500,000 (Hakuna Punguzo). Stationery Ipo Mwanza, Jirani na chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino. Stationery ipo katika eneo zuri sana na inawateja wengi sana. (Sababu za kuuza ni mwenye nayo kukosa usimamizi). Ndani kuna vitu vifuatavyo: 1. Computer 1 2. Printer 2...
  11. J

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya ghorofa inauzwa Dar-Es-Salaam - Kigamboni maeneo ya Dege

    Nyumba ya ghorofa inauzwa. Ipo Kigamboni sehemu moja inaitwa DEGE,.. ni kama 20 km's kutoka Ferry. Documents zote zipo(Hati). Ghorofa lina vyumba sita vya kulala vyote ni self contained na sitting rooms mbili, moja chini moja juu. Limezungushiwa ukuta na eneo la kiwanja ni Square Meter 947 na...
  12. Farsan

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Feni ya juu inauzwa

    Feni inauzwa Brand:Evernal Bei: 50000/= Piga simu no: 0653499987 Mahali: Dar es salaam - Gongo la mboto
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale iPhone 11 plain inauzwa 900,0000

    Simu inauzwa Laki 9 Brand ni Iphone11 plain Ni mpya imetumika miezi 2 tu! Mahali ilipo ni Mbezi Mwisho Dar es Salaam Mawasiliano - 0688986066
  14. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale iPhone 8+ GB 64 inauzwa. Used for 3 moon only

    Imetumika miezi mitatu tu Gb 64 Afya ya Betrii: 100% bei elekezi: 600,000 0713096076, Chamanzi, Dar es salaam
  15. The Finesse Kid

    JamiiForums Tanzania LENOVO LAPTOP X131e INAUZWA

    Lenovo X131e HDD 500 CHARGE 3HRS PRICE 200K FIXED CONT; 0766345199 IMETUMIKA MIEZI MINNE(4)
  16. Bexb

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Scania semitrailer inauzwa

    Habari wakuu, gari ya kazi inauzwa Make: Scania Model: 114L-380 Trailer: Continental Axels: BPW Double lala Bei: 75M (vyote horse na trailer) Location: Dar Gari haina tatizo lolote ndio imerudi toka Congo. Ukitaka kukagua na mazungumzo nipigie 0755963775
  17. J Mbungi

    JamiiForums Tanzania House4Sale Jengo la ghorofa inayosubiria kupauliwa tu! Linauzwa milion 120 - madale njia panda

    NYUMBA YA GHOROFA INAYOSUBIRIA KUPAULIWA TU! INAUZWA -* ( MADALE NJIA PANDA YA NGUZO MTAA WA NYUMA YA KITUO CHA POLISI MADALE) Ni nyumba yenye eneo kubwa na mchoro wa kisasa kabisa"( Jumla ya vyumba 5) BEI ELEEZI NI 120M (million 120 za kitanzania) "Ila mazungumzo ya kina yapo..Karibu...
  18. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Chapati yapanda bei Himo Kilimanjaro, moja inauzwa shilingi 500

    Hii ni hatari! Kitafunwa pendwa kwa Watanzania nikimaanisha chapati kimepanda bei ghafla isivyoelezeka! Mfano hapa njiapanda ya Himo muda huu chapati tena kwa mama ntilie wa kawaida inauzwa 500! Kwenu studio.
  19. Last sentinel

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Huawei P20 Lite inauzwa

    Hello jf,nauza huawei P20 lite Storage 128GB RAM 4GB NETWORK 4G/H+ Colour right gold IMEI 05 CPU 659 Screen size 2280x1080 EMUI 8 Price:350,000/-..but it is negotiatable Contacts:0759-124378
  20. geofreyngaga

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop HP inauzwa TShs 300,000 Arusha

    Laptop HP processor intel core i5 2.5ghz ram 4gb HDD 500gb. Inafanya kazi vizuri. Note: Tatizo lake haikai na chaji hivyo betri sio nzuri Ipo Arusha Piga simu 0765390225 au 0652494919
Back
Top Bottom