Urine Chemistry Analyzer AX-1688 Machine inauzwa.

Divine_lady

Member
Jul 19, 2021
22
13
Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine ( strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti) inaprint majibu hapo hapo, hahitumii muda mwingi ukilinganisha na toleo la zamani. Ni nzuri na imara pia, inapima UTI, mimba na magonjwa mengine ambayo hupimwa kwa kutumia kipimo cha mkojo.

Kwa mawasiliano zaidi 0624-000771

IMG-20211105-WA0000.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom