INAUZWA Transcend External Hard Drive GB 1000 inauzwa Tshs 80,000

Sensei Tai

Senior Member
May 26, 2022
126
359
Nauza External Hard Drive aina ya Transcend yenye ukubwa wa GB 1000

Haina changamoto ya aina yoyote na ukiinunua ndio utaamini nilikua nasema kweli au natania.

MREJESHO
Imeshauzwa

IMG_20230307_145420_226.jpg
 
Si wabangaizaji tu haikua kwenye budget ndio maana nakwambia hiyo bei
 
Habari

Nauza External Hard Drive yenye ukubwa wa GB 1000 (1TB) ambayo nimeitumia kwa muda wa mwezi mmoja na nusu tu.

Bado ni mpya kabisa haina mchubuko wa aina yoyote wala tatizo lolote na ukiiona ndo utaamini kama namaanisha au natania.

Bei ni Tshs 95,000 maongezi kidogo yapo

Karibu tufanye bishara kwa wateja walio serious

Napatikana Mbezi ya Kimara jirani kabisa stand ya Magufuli Terminal

Mawasaliano yangu ni 0764368588

IMG_20231018_090105_693.jpg
 
Habari

Nauza External Hard Drive yenye ukubwa wa GB 1000 (1TB) ambayo nimeitumia kwa muda wa mwezi mmoja na nusu tu.

Bado ni mpya kabisa haina mchubuko wa aina yoyote wala tatizo lolote na ukiiona ndo utaamini kama namaanisha au natania.

Bei ni Tshs 85,000

Attachments

  • IMG_20231018_090105_693.jpg
    IMG_20231018_090105_693.jpg
    669.9 KB · Views: 2
Habari

Nauza External Hard Drive yenye ukubwa wa GB 1000 (1TB) ambayo nimeitumia kwa muda wa mwezi mmoja na nusu tu.

Bado ni mpya kabisa haina mchubuko wa aina yoyote wala tatizo lolote na ukiiona ndo utaamini kama namaanisha au natania.

Bei ni Tshs 85,000

Karibu tufanye bishara kwa wateja walio serious

Napatikana Mbezi ya Kimara jirani kabisa stand ya Magufuli Terminal

Mawasaliano yangu ni 0764368588
Kazi yake ni nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom