inaumiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Idara ya Uhamiaji Arusha unaomba Pasipoti leo unaambiwa usubiri miezi mitano au 6, inaumiza sana hii!

    Ofisi ya Idara ya Uhamiaji Mkoani Arusha mnatuumiza sana, pasipoti unaomba Januari unaambiwa usubiri Miezi 5 mpaka 6 sababu foleni ni kubwa. Mara karatasi za ku-print zimeisha au kuna Maafisa wanakwambia utoe laki wakusaidie ku-push upate pasipoti kwa haraka. Kuna nini kinaendelea hadi...
  2. Hali ya Barabara Didia – Solwa eneo la Ndagwa, Kijiji cha Kasingili, Kata ya Ilola inaumiza Wananchi

    Diwani wa Kata ya ILOLA, KISENA FRED KISENA amelazimika kuchelewa kwenda kwenye hitimisho la ziara ndani ya kata kutokana na ubovu wa miundombinu ambapo ilimlazimu kuanza kuvusha watoto wa shule kwenye maji ambao walihofia kusombwa na maji ndipo akaanza jukumu la kuwavusha kwenye maji kwa...
  3. Vijana mkipewa kazi fanyeni kazi. Inaumiza sana mnapewa kazi mnalipua kazi

    Sina muda wa Salamu. Nina hasira kichizi. Wadau kuna hawa vijana wanaoingia na kutoka VETA huku mtaani wanafungua showroom zao za aluminium kufanya ufundi majumbani kufunga vioo kwenye madirisha. Vijana mnapopewa kazi fanyeni kazi msilete utoto utoto na ujanja ujanja kwenye kazi ukipewa kazi...
  4. Je, kwa siku, week au mwezi April 2025 kuna Matamshi Mabaya ambayo Mdude aliyasema?Labda tuanzie hapo inaumiza sana

    Ndugu wadau wote wapenda amani naomba msaada wa post yoyote iwe maandishi au video ya mdude ambayo ilipelekea kutafutwa ama kuuliziwa na Afande Shabani na Afande Veda. Tafadhari itusaidie kujua chagizo la kupelekea hadi kuvunjiwa mageti na milango ili wampate. Tafadhari ndugu zangu si kwa...
  5. Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

    Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa ovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
  6. Inasikitisha Inaliza, inaumiza, Video ya Mke wa Mgombea Uenyekiti CHADEMA Akisimulia Jinsi Polisi walivyomuua Mumewe Kwa Risasi usiku wa Manane!!.

    Ni katikati ya Mkutano wa Wanawake wa BAWACHA , anapewa nafasi ya kuzungumza Mke wa Marehemu. Mjane wa watoto Wanne, anakiri Mumewe kuuwawa na Jeshi la Polisi Kwa kufyatuliwa Risasi nne mbele ya macho yake na mbele ya watoto wake. Mjane anahoji, Angekua ni Rais Samia ameuliwa Mume wake...
  7. Huu ni Ushahidi kuwa Viongozi wetu walipambana Sana. Inaumiza kwa kweli

    Viongozi hatuna cha kuwalaumu kwa kweli. Soup walitupa na tickets walitupa. Tume fail wapi sisi? Inaumiza sana. Sisi tutakuwa wakuishia Makundi kila mwaka mpaka lini?
  8. Inaumiza sana umri huu Mbowe ana report kwa Abdul? Pesa ndiyo sabuni ya roho

    Abdul ni mtoto ambaye walio karibu watakuambia hata hayupo smart. Sema ndo anatumika tu na mzazi wake. Mbowe umri huu ndo maana aliamua kuwa na washauri kama akina Ntobi, Yericko and the likes watoto wadogo tu. Mbowe inasemekana mshauri wake mkuu sasa ni Abdul. Yaani kila kitu anachofanya...
  9. Inaumiza sana. Sisi tunapambania chama, tunasifu na kuabudu viongozi wanakuja faidika wengine

    Tupo humu daily tukilamba makalio na miguu ya viongozi wetu wa chama. Tukisifu na kuabudu wao daily. Kazi yetu haionekani. Kwa sasa nani mwana CCM mzuri humu kwa kusifu na kuabudu kama Mwanaishambwa na tilatilaa? Hawa watu juhudi zao kila siku tunazisema kwenye vikao. Dulla hawaoni hawa? Pesa...
  10. Kile ambacho Israel inakifanya Gaza inaumiza sana. Hezbollah na Hamas mnatizama tu?

    Toka mwanzo nlisema hawa Israel suala la watu wao kutekwa walikuwa wanatafuta tu sababu. Now wamezidi imega Gaza. Wame advance kuchukua eneo kubwa zaidi Gaza. Wamejiongezea maeneo zaidi. Hawa jamaa waliitaka hii vita kwa hima fahima. Hii Vita ilianzishwa kiujanja ujanja sana. Israel walitaka...
  11. Mikopo ya waajiriwa serikalini inaumiza. Benki gani inatoa mikopo yenye riba nafuu kwa waajiriwa wa serikali?

    Ndugu wataalam wa fedha, wachumi na wabobevu wa mambo ya pesa. Nauliza ni benki gani inatoa mikopo walau yenye riba nafuu kwa waajiriwa wa serikali, kuna mfanyakazi mwenzangu amekopa benki moja kongwe hapa nchini, naona kama riba kubwa sana, angalia hapa 1. MKOPO-16,000,000/ 2. MUDA-MIEZI 60...
  12. Kodi hii imefikia wakati Serikali iitazame upya kwa watumishi, inaumiza

    Kwa mujibu wa utumishi wa umma, mtumishi anatakiwa kukatwa kodi kwa kile anachokipata kwenye mshahara wake. Kama tunavyofahamu kodi nimuhimu kwa taifa lolote, lakini changamoto ya kodi hii ni maumivu kwa watumishi ktukana hali ya kupanda kwa gharama za maisha hasa mfumuko wa bei, mishahara ya...
  13. Majibu ya Uchunguzi wa binti aliyebakwa, inaumiza sana lakini inabidi tuzoee

    Wakuu, Kutokana na majibu ya uchunguzi wa kesi ya binti aliyelawitiwa na kubakwa kikatili kutolewa leo ni wazi kabsa kwamba hapa hakuna kesi wala hakuna atakaye fungwa kwa kesi hii Wanaweza kutolewa wahuni mahabusu wakafunikwa na vitenge vichwani tukaambiwa ndo hawa tumewakamata Inaumiza sana...
  14. Mchango wa Ester Matiko Bungeni na Reaction ya Serikali na kiongozi wa Bunge inaumiza na kusononesha

    Preamble : jamaa mmoja ughaibuni alikamatwa na polisi akisingiziwa na mkewe kuwa kampiga. Pamoja na kusingiziwa polisi na mwendesha mashtaka walihakikisha anapelekwa mahakamani japo hakuna ushahidi. Wakati aki deal na polisi kuhusu kesi walimwambia kuwa hata kama hakuna ushahidi ni lazima...
  15. M

    Inaumiza sana mtu ana masters degree ila hawezi hata kujilipia kodi ya chumba kimoja. Elimu ya juu imesababisha wategemezi wengi wenye umri mkubwa

    INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI. Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara, degree/masters zinawaaibisha watu mitaani Wazazi tunapaswa tubadilike sana kwenye kuwekeza kwa ajili ya watoto...
  16. M

    Hii biashara ya utumwa ukiitafakari inaumiza sana: Waafrika tulifanywa kama bidhaa!

    Tunachotakiwa kukidai kwa wakoloni na wote waliojihusisha na biashara ya utumwa ni kwamba wanatakiwa kuomba radhi na wakiri kuwa, walitufanyia jambo la kinyama sana! Cha kusikitisha ni kwamba hadi sasa hakuna aliyewahi kujitokeza kuomba radhi rasmi, japo wanakubali kuwa biashara hiyo...
  17. Binti mdogo anayemfungia ndani Mama yake mgonjwa aliyepooza kutwa nzima na kwenda kutafuta pesa za kumuhudumia inaumiza wengi mtaani

    Ni Binti mdogo mwenye umri wa miaka 23,na mwenye mtoto mmoja Familia hii haina Baba kwani baba yao alishafariki Miaka mingi iliyopita na kijana aliyempa mimba binti alimtelekeza tangu mtoto akiwa ana miezi 6. Mama wa huyu binti ana umri wa miaka 63 alikuwa mzima kabisa tangu kuzaliwa huku...
  18. Inaumiza mnoo

    Alikuta ofisi imepewa kazi ya kuunda kadi za Harusi ya mrembo fulani. Alipojua ni yule kimeo ndio anaenda kuolewa na Rafiki yake mpofu wa akili aliamua jambo kwa makusudi. Maagizo yalisema aandike: 1 Yohana 4:18 Kuweka muonekano vizuri Designer akaondoa ile moja pale mbele ikabakia Yohana...
  19. Inaumiza sana Mtoto wa Masikini anapokosa Mkopo wa Elimu ya Juu

    Nimefuatilia kwa ukaribu sana hili suara la board ya Mikopo. Ni kama serikali imeendelea kulifumbia macho, yaani haioni kitu kabisa. Bungeni nako wameamua wanafunzi wapokelewe vyuoni bila kuwa na mikopo. Hapa ni danganya toto, vyuo vitajiendeshaje ? Wanafunzi wataishije huko vyuoni? Serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…