inauma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yanga wametoka bwanaaa! Inauma ila itabidi mzoee

    Vyura wamerudi matopeni. Red black Vincenzo Jr Mbaga Jr, what's up!
  2. Umeshawahi kumsaidia Mtu kile Kidogo kabisa ulichonacho kisha baada ya kumsaidia akaingia Mitini hana Habari na Wewe unajua inauma Kiasi Gani?

    Wakuu, hivi nyinyi imeshawakuta yaani unampiga mtu tafu kile kidogo kabisa ulichonacho yaan ndio akiba yako hio mtu anaitaka hio hio umsaidie unaingia unavunja kibubu unampa kwa moyo mmoja kabisa sababu ya kukamilisha kutenda matendo ya Huruma. Ila baada tu ya kumsaidia mtu huyo anaanza kukuona...
  3. Siku kama hizi zipo tu kwenye maisha ila inauma sana sio siri

    Nasikitika kuwapa taarifa members wenzangu wa humu kuwa, Leo tumepokea taarifa rasmi mbaya kuwa mtoto wetu wa miezi sita tuliemtarajia na kumsubiri kwa hamu sana anatakiwa kutolewa tumboni baada ya missed abortion. Ni taarifa mbaya kiukweli nadhani niishie hapa tu.
  4. Qatar ni hatari zaidi kuliko Iran' Inauma na kupuliza ni “Yuda Iskariote”

    'Qatar imekuwa mpatanishi katika migogoro mingi inayotokea huko Mashariki ya kati kati ya Israel na magaidi wa Hamas ni mara nyingi imejulikana katika ubadirishanaji wa mateka waliotekwa na magaidi wa Hamas hapo Oct 07 ,2023. Kwa upande wa pili Qatar ni mfadhili Mkuu wa magaidi wa Hamas ukiondoa...
  5. D

    Inauma lakini ndio maisha unakubaliana nayo

    Iko hivi kipindi nasoma miaka hiyo nilikua na jamaa yangu mmoja tulikua majirani na wazazi wetu walikua marafiki sana. Tulikua tunasoma darasa moja kuanzai darasa la tatu hadi form four. Kiukweli huyu jamaa alikua anauwezo sana darasani hata nipambane vipi nikijtahidi nikipata hamsini basi...
  6. B

    Nilikutana na Mdada anayekula vichwa 10 kwa usiku mmoja, alisema nyama kwa nyama inauma sana.

    Si vibaya tukawa tunashare stori za hapa na pale. Zinatuwezesha kujifunza lakini pia kutupa Burudani. Mwezi uliopita nikiwa katika Mishe mishe zangu nza kusaka Maisha nikiwa nimebeba mafaili ya No Reform, Poor Election. Basi nikakutana na Dada Mzuri tu alikuwa kavaa Baibui, Mweupe Kiasi...
  7. Umewahi kusalitiwa kwenye mapenzi, Ilikuaje?

    WanaMMU kwema, natumaini nyote hamjambo, kama hauko poa nakuombea uwe sawa, Amen! Mapenzi Mapenzi Mapenzi Kwenye mahusiano huwa inatokea kusaliti na kusalitiwa kimapenzi wengine hadi wanafikia hatua ya kufumaniwa kabisa. Kucheat na kucheatiwa kupo nje nje kwa sasa, kwa sisi wanaume hii kitu...
  8. Uhusiano unapovunjika inauma lakini kuna haya yafuatayo

    Ni sawa kuumia kwasababu mnakumbukumbu pamoja na mwenza wako ambazo huwezi kuzifuta mara moja na kuzisahau ghafla Ila tambua kwamba mlipitia machungu pamoja wakati wa maisha yenu ya kimapenzi,hivyo hiyo iwe ni sababu ya kuku kumbusha kwamba,kuna wakati ambao mlishea maumivu pamoja,hivyo ni...
  9. Ban inauma

    Ase ban inauma sana mod just help me
  10. Inauma unapojiona mpweke

    Inauma Sana Unapojiona Mpweke Inaumiza unapokuwa gizani, bila mtu wa kujali. Lakini, kitu cha kwanza unachopaswa kujua ni kujipenda mwenyewe. Anza kuelewa kwamba jambo la kwanza unalopaswa kufanya maishani ni kujipenda. Kujipenda zaidi ya chochote kingine ndilo jambo la msingi. Badala yake...
  11. Kamwe usimwamini mwanamke

    Sielewi nianzie wapi sielewi nimalizie wapi, kwakifupi kamwe usimwamini mwanamke (Mke au Mpenzi) usimwamini hata kwa %0.5. Ipo hivi, nimeishi na mke wangu miaka 3 sasa sijawahi kumtilia shaka(kuhusu kuchepuka), sijawahi kuona kasimama na mwanaume yeyote hata kwa_bahati mbaya, sijawahi kuona...
  12. Hiyi hali inatokana na nini nikiwa mbali nae hujikuta namuwazia sana mpaka roho inauma

    Wakuu nimepatikana hata kama Ni kupenda hiyi Ni too much Iko hivi Nina mpenzi nimezaa nae Mara ninaposafiri kuwa mbali na yeye zikipita siku tatu hujikuta namuwazia sana Na nikiendelea kujikausha nisimtafute hujikuta roho inaniuma sana Ila nikimtafuta tukaongea basi nakuwa na amani Kuna...
  13. Kumbe kumuita demu gheto halafu akukazie inauma hivi?

    Hii kitu inauma sana, yaani kitu unaiona kabisa halafu demu anakaza serious duh sio poa yaani
  14. G

    Inauma sana unapoombwa pesa au msaada unapambana kumsaidia mtu, ukimpa hakujulishi kapata, anakwambia alishasaidiwa, atautumia siku nyingine, n.k

    Mtu anakuja kwako anaonesha shida imembana anakuomba umsaidie iwe ni pesa, nguvu zako, connection zako, n.k. Yawezekana haupo vizuri kifedha inabidi ukope, umebanwa na ratiba lakini unazivuruga kwajili yake, connection unazo lakini hadi zinyenyekewe kwa kujishusha, n.k. unaamua kujitoa umsaidie...
  15. Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila mimi nitaongelea sababu zinazofanya wanaume wenzangu wengi wawe wagumu kuoa au kuanzia mahusiano ya...
  16. Chama kipo madarakani zaidi ya miaka 60 lakini..

    Wasalaam CHAMA kipo madarakani zaidi ya miaka 60 lakini, 1. Barabara mbovu 2. Maji Safi na salama ni shida 3. Elimu mbovu 4. Afya duni 5. Lishe duni 6. Viongozi kuishi kwa anasa 7. Umasikini uliokithiri Nashauri tuendelee kuwachagua atuletee maendeleo kwani vyama vingine vitaleta Vita Kama...
  17. N

    Simba inaangamia roho inauma

    Habari Mimi nishabiki kindaki ndaki wa YANGA,yani nikichanjwa damu inatoka na jina la YANGA. ILA kusema ukweli naumia sana tena sana,simba inapoelekea. Mpira wa Tanzania ni wa YANGA NA SIMBA sasa kama simba itaangamia YANGA itakuwa na hali ya huzuni kweli. Sipo hapa kwa unafiki ila...
  18. Inauma sana na haivumiliki

    Unakuwa na mahusiano na mtu kipato cha chini umeamua kumpenda na kumvumilia jinsi hali yake yamaisha ilivyo mnavuka mabonde vichaka na milima kwa pamoja dharau kejeli na maneno ya hovyo kutoka kwa ndugu kisa uliyenae hohehae. hata zile salamu kutoka kwa ndugu hakuna unaamua kuziba masikio...
  19. Vizinga vinawapotezea wanawake potential husbands. Hela uliyoitafuta kwa jasho inauma sana

    Mwanaume kavutiwa na wewe, karusha ndoano, umekubali. Usiku huo huo unaanza mizinga, naomba 150,000/- mama mdogo ana fibroid anatakiwa upasuaji. Kwa shingo upande unampa. Baada ya siku mbili, mzinga mwingine tena, mdogo wangu kakamatwa na bodaboda ya wizi yuko Oysterbay inatakiwa laki 7 tu...
  20. Y

    Nikiwa nimelala nikisimama nasikia maumivu makali upande wa shingo kulia kwenda kwenye bega. Na kugeuza shingo inakua inauma

    Wakuu nina shida, mwanzoni nilienda kwenye polyclinic nikaambiwa nina UTI kali, so nikachoma sindano tano nimezimaliza juzi. Shida ni kua nikiwa nimelala, nikisimama ghafla nasikia maumivu makali yanayotoka kwenye upande wa sikioni kushuka kwenye bega upande wa kulia. Na kitu kingine nikiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…