Inasikitisha sana!

Inasikitisha sana!

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
1,662
Reaction score
3,017
Inatia huzuni, mtu unamwambia nikopeshe milioni tano nifund my business, au wekeza 5M kwenye hii business, some day you won't regret anasema kwa sasa sipo vizuri.

Hazipiti hata siku mbili anaenda bar anawagharamia walevi bar nzima milioni 7.
 
Unahuzunika nini sio zako, hujui kama amezitafuta na hao walevi
 
Ukiona hivyo hukopesheki…

Na pia hela ya mwingine usiione uchungu, hujui ka hustle vipi kuipata. Wacha afurahishe nafsi yake. Ukikutana nae fainali vimemuendea kombo utamcheka yaishe, sawa?
 
Ukiona hivyo hukopesheki…

Na pia hela ya mwingine usiione uchungu, hujui ka hustle vipi kuipata. Wacha afurahishe nafsi yake. Ukikutana nae fainali vimemuendea kombo utamcheka yaishe, sawa?
Sawa, umepiga kwenye mshono
 
Mkuu ukiona mtu ametumia hela nyingi kwenye pombe hata usimshangae, wengi huwa wanajuta baada ya pombe kuisha kichwani.

Wengine ni hela za mikopo anaenda bar anasema amwagilie moyo na kili mbili tatu aende home, ila baada ya hapo ndio unakuta kanunulia bar nzima.
 
Bora umemuona bar je ungemuona kwenye harambee ya mboga mboga jana anatamka tachangia milioni 7 si ungezimia
 
Acha kuleta mipango yako kwenye mipango ya pesa za wengine.
 
Back
Top Bottom