Mnunuzi anatafuta gari ya Toyota yenye sifa zifuatazo:
Uwezo wa Injini: 1500cc au chini.
Hali: Gari iwe katika hali nzuri, isiwe na matatizo makubwa.
Historia: Haijawahi kuhusika na ajali.
Bajeti: Hadi TZS 5,000,000 (Milioni 5).
Ikiwa una gari inayolingana na maelezo haya, tafadhali...